Mashabiki wa simba wana promote jina la mzungu mpaka mimi mwenyewe sasa naona aibu leo nilikuwa zangu FB na soma zangu comment za Wakenya kuhusu uchaguzi wao cha ajabu si nikakutana na comment ya...
Muhimu: Mchina kamwaga milioni 930 kuinasa saini na mshahara mnono, wanaoaminishwa na tetesi kwamba Manzoki atacheza China miezi minne na kisha kurudi simba wajaitafakari upya, Ni sawa na rubani...
Habari za weekend wadau mapambano yanaendele tulipe tozo kwa ujenzi wa taifa letu na maendeleo ya SINGIDA BIG STARS,
ikiwa umepita mda mchache toka kumalizaka kwa mechi kati ya Tanzania dhidi ya...
Kule EGYPT team zilizofuzu Club bingwa ni ZAMALEK na PYRAMID japo ligi haijaisha huku umebaki mchezo mmoja ZAMALEK ana point 77 huku PYRAMID ana point 71 , AHLY point 67.
Kwenye RATIBA ya club...
Tozo tunazochapwa ndizo zinafanya hii kazi ?
klabu ya Singida Big stars inayomilikiwa na Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba imeweka rekodi Tanzania kwa kuwa klabu ya (1) kusajili mchezaji kutoka...
Beki wa kati wa Simba, Joash Onyango amegomea kwenda nchini Sudan kwa ajili ya kucheza mechi mbili za kimataifa za kirafiki dhidi ya Asante Kotoko ya Ghana na Al Hilal ya Sudan.
Kikosi cha Simba...
Mashabiki wa simba kuna mda na shangaa nanyi saana sijui tabia zenu ziko vipi au ndo tuseme mnapenda sifa
Simba Queen ndo wamebeba ubingwa cha ajabu kuna mabwege fulani wanatukana yanga ya...
Manchester United inafanya mikakati ya kuipindua Chelsea katika mchakato wa kumuwani mshambuliaji wa Barcelona, Pierre-Emerick Aubameyang ambaye imekuwa ikidaiwa anaelekea Chelsea.
Aubameyang...
Manchester United imefanikiwa kupata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Southampton katika mchezo wa Premier League, leo Agosti 27, 2022 ukiwa ni ushindi wa pili mfululizo.
Bruno Fernandez ndiye...
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF Wallace Karia amewataka Wadau wafuate sheria zilizowekwa katika mpira na kuacha kushindana na mamlaka kwani wataumia.
"Taasisi ya TFF ina...
Nimepitia mitandaoni. Pamoja na talent yake mchezaji kinda wa Man utd ana Hali mby Sana.
Makampuni yanajitoa na kuapia kutojihusisha na mwingereza huyo mshambuliaji wa united.
Kwa hali hiyo...
Singida fc imemsajili Miguel escobar ili kuimarisha sehem ya kiungo, nimemuangalia escobar kwenye clip, dah, jamaa ana ufundi wa hatari, anajua kumiliki mpira, anajua kuhangaisha bwege wenzake...
Kwa wale Wapenzi wa klabu ya Simba jezi za Simba Kwa AWAMU ya pili zimetoka zipo sokoni kazi kwenu.
Kwa wale mliopo kariakoo nadhani mnajua washushaji wa jezi hizi kazi kwenu mfano davirnhoo...
Msimu wa 2022/23 ni msimu wa 52 wa michuano hii, ikiwa ni wa 14 tangu michuano hii ibadilishwe jina kutoka UEFA Cup ni msimu wa pili tangu kuanza kwa mfumo mpya.
Hatua ya makundi inaanza lini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.