Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kwa wale mashabiki wa uefa champions league leo jioni tutegemehe kuona wababe wa ulaya nani na nani kukutana. Mimi kwangu natamani sana hizi timu kuwa kundi moja. Barcelona vs Man city PSG vs...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Wafuatao ni wachezaji wapya wa kigeni na mafanikio yao kwenye mechi za awali. SINGIDA BIG STARS Wabrazili wawili kati ya watatu wametupia. SIMBA: OKRAH([emoji460]️) OKWA([emoji460]️)...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Mchezaji wa Manchester United Mason Greenwood ameshikiliwa leo na Polisi kwa kosa la kumbaka Girlfriend wake na kumpiga. Msemaji wa Polisi jijini Manchester UK amesema kwamba walianza uchunguzi...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
PRINCE JOKES SIJUI nani alimdanganya akaibuka na kumzodoa Rais wa TFF, Wallace Karia mara baada ya kufungiwa miaka miwili na faini ya Sh 20 milioni. Najua ulimsikia Haji Sunday Manara...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
ndo mjue mkiona kimya hivyo ndo wameishiwa na mawazo hii timu msimu huu hakuna cha simba wala yanga, mpaka sasa mwenendo ni mzuri sana na usajili umefanyika vzr tu, kwa wale wanaopenda maumivu na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Real Madrid striker Karim Benzema has won the UEFA Men's Player of the Year award after his stellar 2021/22 season. --- Real Madrid and France forward Karim Benzema has been named 2021/22 UEFA...
5 Reactions
7 Replies
899 Views
Simba Nguvu Moja. Tunaomba radhi kwa kuruhusu hilo goli 1. Toka mashindano yaanze leo ndio tumeruhusu goli
18 Reactions
22 Replies
2K Views
Hii leo kuna habari kuwa nyota yacouba anaelekea kwao burkina faso,inaweza ikawa ndio bye bye hiyo. Kwenu viongozi wa Yanga yacouba angekuwa na msahada mkubwa kwa timu zaidi ya ambao Makambo...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Haya sasa haina shida mzungu wetu keshazoeana na team plus kiyombo, phiri, boko hao ndiyo strikers wetu ndugu zangu tuzoeee tu hali halisi Hili la manzoki limekwisha sasa hata dirisha dogo...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
The 2022/23 Champions League group stage draw is only a few hours away and clubs across Europe are eagerly awaiting their fate in club football's single biggest competition. The holders, Europa...
0 Reactions
3 Replies
583 Views
Simba ndiyo timu pekee ukiwasikiliza kwa maneno unaweza kufikiri labda wao ndiyo mabingwa wa Tanzania na muda wote na wana makombe mengi ya Africa kwa maneno tu. Yaani huwa hawataki yanga...
3 Reactions
11 Replies
922 Views
Baada ya Medali ya Kwanza ya Fedha kutoka Kwa Mwanariadha Alphonce Felix Simbu aliyoipata kwenye Mbio Ndefu Marathon Tarehe 30/07/2022, Leo Jioni Tanzania imehitimisha ngwe ya ndondi kwenye...
2 Reactions
39 Replies
2K Views
Tulitegemea kusikia adhabu kali kwa mchezo mbaya na wa hatari kwa rafu aliochezewa Sure boy siku ya Derby na Mlinzi wa Simba Inonga Je,tafsiri ni nini? Hawa bodi ya ligi ina maana hawakutazama...
1 Reactions
49 Replies
3K Views
Kocha Mkuu wa Geita Gold, Fred Felix Minziro, amesema wapo katika hatua za mwisho za kukamilisha vibali vya nyota wao, Shinobu Sakai raia wa Japan, tayari kwa kuanza kumtumia kwenye mechi za Ligi...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakati bingwa hili la usemaji na u afisa habari likiitumikia team asiyoipenda ya Simba lilipiga marufuku mashabiki wa Yanga kuhudhuria mechi ya CAf iliyohusisha Simba uongozi wa Simba ulitoa...
6 Reactions
53 Replies
5K Views
Msimu mpya wa soka Ligi Kuu ya Ukraine umezinduliwa wiki hii licha ya uwepo wa vita dhidi ya Urusi, ikielewa kuwa mechi zitaendelea bila uwepo wa mashabiki kutokana na sababu za kiusalama...
0 Reactions
0 Replies
475 Views
Hii ligi itakua na changamoto zake maana hawa jamaa nao wana mjapani na leo wamemuongeza Saidoo kule kuna Singida big stars,jamani kuna hatari mnyama mkubwa akamaliza nafasi ya Nne ligi ngumu...
3 Reactions
7 Replies
892 Views
Yaani huyo Manzoki anavyowatia watu wazimu utasema jamaa hakabiki, jamaa anajua sana, jamaa kila gemu akicheza hakosi mabao matatu, kumbe ni wa kawaida tu, najiuliza hivi wangekuwa wachezaji kama...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Wayne Rooney kashangaa Mbappe anatoa jeuri wapi ya kumletea ujeuri Messi wakati Messi alipokuwa umri huu wa Mbappe alikuwa na Ballon d Or nne? Naona Mbappe anazidi kuongeza maadui, hata Perez...
24 Reactions
283 Replies
16K Views
Back
Top Bottom