Kwa tunaojua boxing hii ni kawaida stunts kama hizi. Ila kibongo-bongo Mandonga kazidi mikwara. Kama una roho ndogo unaweza usitokee ulingoni.
Kesho sio mbali Mandonga Vs Kaoneka
Huu ni ushauri kwenda kwa Mamlaka zinazosimamia mchezo wa Ngumi , huyu jamaa hana uwezo wa kupigana , anasukumwa na usela tu , ngumi ni mchezo wa hatari sana kwa afya ya mtu , unaweza kusababisha...
Baada ya kuanza msimu vibaya kwa kupoteza mechi mbili mfululizo, Manchester United imeamka na kuipa Liverpool kipigo cha magoli 2-1 katika mtanange wa Premier League kwenye Uwanja wa Old Trafford...
Kama Magufuli alivyo saidia Tanzania kuwa maarufu saana nje ya Africa na ndani ya Africa kutokana na misimamo yake
Na Mayele naye amesaidia league yetu kuwa maarufu saana inje ya Tanzania na...
Cedric Kaze nakukubali sana Mwalimu unajua sana kukaba mashabiki lia lia tunajua kuwa Yanga haifungiki sasa msimu huu mbona naona kama Yanga haiko imara sana pasi si nyingi kama mwaka jana, uwezo...
Kushabikia #utopolo ni dhambi na wanaoshabikia lunyasi wazee wa Tanzania na Africa na wana julikana kote duniani kwamba muwakilishi wa Tanzania inajulikana simba pekee na hakuna kidume zaidi yao...
Kwa watu ambao wanajua tactics za mpira vizuri watakubaliana na mimi. Yule kocha wa Geita gold ni kocha mzuri sana na ana mpira wa kisasa zaidi. Ukicheki jinsi Geita Gold wanavyocheza...
Simba imemalizana na Cesar Manzoki na sasa striker huyo ambaye alikuwa akililiwa mno na mashabiki kiasi cha kutaka kusababisha taharuki atavaa uzi mwekundu, ataanza kuonekana dimbani kwenye gemu KMC.
Aliyekuwa kipa wa Young African SC(Yanga) Ramadhani Kabwili amesainiwa katika club ya RayonSport(Rwanda) yenye maskani yake Katika jiji la Kigali.
Kabwili amepewa kandarasi ya mwaka mmoja ambayo...
Bila ya salamu!!
Toka karne hii ya 21 ianze hakujawahi kutokea katika ligi kuu ya soka ya Tanzania kupata mshambuliaji mwenye movements bora ndani ya eneo la kumi na nane kama alivyo mshambuliaji...
Hapa bongo yanga wameshashinda gemu nje ya uwanja, nawaona wanakwenda kubeba ndoo tena msimu huu,
Kwanza ratiba ya ligi imewaweka pazuri, hili ni kosa Simba wamelifanya, mchezo wao yanga wa kutoa...
Mpaka sasa wachezaji wa Simba, Dejan, Phiri, Okwa na Okrah wamefunga mabao katika mechi mbalimbali za Simba, hatujaona wachezaji kama Aziz Ki, Kambole nk waliosajiliwa kwa mahela mengi wakifunga...
Nabi Ball Nabi Tactics.
* Yanga iliingia na system ya 4-2-3-1 ,wakati iliingia na system ya 4-4-2 .
* Kwenye 4-2-3-1 Yanga wali win kwenye eneo la kiungo kwasababu 4-2 ya Coastal Union...
Jaman aisee huwa naipenda sana Soccer 24 App kwa ajili ya LiveScore games ila sasa hivi nataka kui-download siipati Playstore wala Google au wamebadili jina wakuu? Naipataje?
Kama kweli wewe ni mfatiliaji mzuri timu ya Yanga. Mara nyingi Fiston Mayele amekuwa akiingia golini kwa wapinzani na kugusa nyavu zao.
Na akimaliza kugusa nyavu kinachotokea kwa mpinzani ni...
Nami nawaambieni hapa hapa kuwa huyu Habib Kiyombo akituliza tu Akili na Kuacha Kucheza kwa Presha na Kujiamini atakuja kuwa Bonge la Mshambuliaji tena hata kuliko tuliokuwa na tulionao kwa sasa...
Mkongwe wa ndondi Mike Tyson (56) ameonekana akiwa mdhoofu kwenye kiti cha magurudumu katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Miami Nchini Marekani.
Tyson ambaye ni mmoja wa mabondia waliofanikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.