Habari za wakati huu wadau wa soka na mashabiki wa kandanda nchini Tanzania,
Mapambano yaendelee maana sio kwa msoto huu huku kitaani mambo ni magumu twende kwenye mada:–
Ukiangalia mambo...
Usajili wa wachezaji wageni: Kutumia social media kusema kuwa kila mchezaji mpya unaemsajili ni Bora kuliko aliyeko kwenye position Sasa sio lugha sahihi kutumiwa na kiongozi mkubwa ndani ya...
Napenda niwapongeze benchi la ufundi na wachezaji wa yanga kwa kuondoka ugenini na point 6 muhimu, akuna asiyejua namna ratiba yanga ilivyopangwa msimu huu, kamaliza mechi ngumu ya dabi jumamosi...
Leeds United imeendelea kuwa na mwanzo mzuri wa msimu baada ya kufanikiwa kupata ushindi magoli 3-0 dhidi ya #Chelsea kwenye Uwanja wa Elland Road, leo Agosti 21, 2022.
Wafungaji wa #LeedsUnited...
Shirikisho la Mpira Tanzania linatakiwa kuchukua hatua kali zaidi kwa @hajismanara kwasababu ameendelea kukiuka adhabu aliyopewa ya kufungiwa miaka miwili. Hii ni dhihaka kubwa kwa chombo chetu...
Wakati Jose Mournho anaenda EPL ilikuwa inajulikana sifa yake ya kuongea ovyo ..wakati Fulani walimpa jina la "the mouth"...Mourinho alikuwa anafanya "mind games".
Akiwashambulia marefa kabla ya...
Lengo ili kumpa muda mrefu wa kucheza na sis watazamaj pamoja na bench la ufund liweze kuona mapungufu take au mazur yake.
Lakin akicheza dakka chache huwa tunashndwa kujua stregh na weakness...
Ramadhan Kabwili amefunguka kuwa klabu yake ya Yanga iliamua kumpa likizo ya muda mrefu huku akiendelea kulipwa na Yanga kama kawaida
Anasema alipewa likizo ili akili yake itulie na atafute...
Naaam..Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kupigwa leo Agosti 20, 2022 ambapo Wataalamu wa kusakata Kabumbu la viwango vya CAF Simba SC, Wekundu wa Msimbazi wanatunishana misuli na...
Hamna kitu na chukia kama kuitwa kolo tena wakati ambao yanga wametuzidi kila kitu na mbaya zaidi awe kafunga Mayele.
Nikiona yanga wanavyotetema inaniumiza sana.
Muache kutuita kolo
Viongozi...
Kuna kila aina ya ushahidi kuwa Kocha mkuu wa Simba hahusiki na Usajili wa wachezaji hawa ndio maana hawataki baadhi yao, ni nani kapendekeza Usajili huu? Hapa ni kocha mkuu aondoke au kocha...
Hali si shwari kwa ndugu zetu Al ahly kwenye ligi ya Misri kwani badi sasa wanashika nafasi 3 huku ligi ikielekea ukingoni. Kwa hali ilivyo kunauwezekano wakaikosa CAF CHAMPIONS LEAGUE. Msimamo wa...
Wana lunyasi wenzangu ni kweli wachezaji tajwa hapo juu hawapo kwenye squad ya kumkabili Kagera Leo sababu majeruhi??
Taarifa hizi zinasambaa kwenye hizi zinazoitwa online tv ( rock star tv)...
Dejan ni straika mpya wa Simba ,ni straika kweli kama umefuatilia timu alizochezea na magoli aliyofunga. Kacheza timu kubwa Ulaya na anafunga magoli mazuri sana, lakini mashabiki wa nchi hii...
Taharuki iliyotokea jana Miss Gonzalez nafikiri umeiona hata wewe na Magori ilibidi muingilie kati kutoa maneno ya faraja huko twitter na instagram na bado leo pia na wewe umerusha vijembe vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.