Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hizi ni tetesi ambazo zimeanzishwa.kwa lengo la kuwapoteza maboya Simba. Simba wana tatizo kubwa sana la mchezaji wa ukabaji na sio box to box. Tatizo hilo liliwapelekea kushinda game 1 kati ya...
9 Reactions
35 Replies
3K Views
LICHA ya kutimiza idadi ya wachezaji 12 wa kigeni, Mwanaspoti limebaini Simba inaendelea na mikakati ya chinichini ya kumalizana na mido mpya kutoka Nigeria. Lakini wanafikiria pia kumalizana na...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Ahlan Ahlan bik Habari zenu wana Jf, wadau wa soka na wapenzi wa wana lunyasi, giants of Africa, Simba Sc. Jana nilipata safari kidogo kutoka Bergamo kwenda katika jiji la bandari, Piraeus...
14 Reactions
23 Replies
2K Views
Bongo hatari sana, kuna siku Pambalu wa CHADEMA kwa niaba ya BAVICHA aliitisha press kuzungumiza upandaji wa uongo wa mshahara na siku hiyo hiyo s Alhaji Takadini alikuwa na press yake ya...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Madau wa michezo hebu mtueleze nini kitampata mtu aliyefungiwa na taasisi yetu ya kusimamia mchezo wa mpira wa miguu nchini TFF kujihusisha na mchezo huo kwa kipindi fulani let's say mwaka au...
0 Reactions
10 Replies
830 Views
Nashangaa mzungu wa Simba anakejeliwa na watu wanacheka na amebeba kejeli zote ,ila Mzungu pori wa Yanga akikejeliwa ni nongwa. Huyo wa Yanga asikimbilie kuonewa huruma au kusingizia ukilema...
4 Reactions
12 Replies
954 Views
Juzi yanga wakasema wana jambo lao saa tano jana. Ghafla viongozi wote wakatoka mashimoni kujibu kuhusu usajili wa manzoki kumbe wao wapo kwenye mambo yao ya biashara. Kiujumla viongozi waache...
2 Reactions
13 Replies
926 Views
Habari za weekend wakuu, Tukiwa tunajiandaa kuhesabiwa baada ya burudani ya kesho huku league ikiwa imeanza kushika kasi ila pale lunyasi hali si swari kabisa. Wakati ligi kuu nchini Tanzania...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Dada msomi, dada mzungu ,msouth america, mlatino , m colombia, miss gonzalez, masihara yakizidi hutumbua usaha, the chickens are coming home to roost Hizi tetesi kama ni kweli narudia tena kama...
14 Reactions
149 Replies
11K Views
Chelsea wanataka kufanya usajili unaotajwa kuwa unaweza kuwa wa kushtua baada ya kudaiwa wanamtaka Harry Maguire wa Manchester United. Chelsea wanataka wamsajili beki huyo katika dili la...
0 Reactions
2 Replies
866 Views
Ikiwa ni majira ya Saa 4 usiku huku niliko, na Saa 5 Usiku hapo Nyumbani Tanzania, napenyezewa habari nzito kidogo kutoka mitaa ya Msimbazi. Ikiwa imepita miezi miwili tangu dirisha la usajili...
8 Reactions
46 Replies
9K Views
Kwa mujibu wa Barua iliyotumwa kwa vyombo vya Habari, Kupitia kwa Bodi ya Ligi, Bodi imeboresha kanuni ya Ngao ya Jamii ambapao kwa kwa kanuni mpya kutakuwa na shindano la Ngao ya jamii ambalo...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
HAYA HAYA HAYA HAYAAAAA KESHO TUTAKOMA DADEEEKI UUUWIIII CONFIRMED kabisa na mtangazaji wa michezo huko Uganda ka confirm kwamba SIMBA WALIKATAA KUTOA USD 200K na walimpa offer ya mshahara usd...
3 Reactions
66 Replies
6K Views
Baada ya simba kuonyesha jezi kwenye mkataba wa m-bet wana utopolo wakiongozwa na kubwa la ma NINCOMPOOPS Alhaji sope takadini zeru square waliwasikitikia sana wanasimba kwamba wametapeliwa kwa...
1 Reactions
35 Replies
2K Views
Manchester United imekubali kutoa Paundi Milioni 60 (Tsh. Bilioni 167) kwa ajili ya kumsajili kiungo mkabaji wa Real Madrid, Casemiro baada ya klabu hizo kufanya mazungumzo kwa siku kadhaa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Klabu ya Yanga leo Agosti 19, 2022 imetangaza kuingia mkataba wa miaka miwili na Kampuni ya Marketing ambayo ipo chini ya mtaalamu wa Marketing nchini KELVIN TWISA. Mkataba huo kati ya Johnson...
11 Reactions
31 Replies
3K Views
Hili sakata la usajili lilivyokosewa kiuzembe kwenye namba 6 na 9 ukilichunguza kwa makini ni uzembe mkubwa sana wa bodi yote ya simba plus Mohamed dewji Sasa kinachotokea ni nini? PROPAGANDA...
7 Reactions
33 Replies
2K Views
Naona mashabiki wanachanganya mambo hapa juu ya suala la manzoki, Ukweli ni kwamba yanga wamekubali kuvunja mkataba wa manzoki na kulipa pesa ambayo vipers wanaitaka na hilo limejiri baada ya...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Mshambuliaji wa timu ya Vipers(Uganda) Cesar Manzoki muda mchache uliopita ameweza kushare picha kwenye ukurasa wake wa Instagram wenye kumaanisha bado yupo kwenye mahaba mazito na timu ya Simba...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
Tumeanza Kwanza leo na Kiungo Mkabaji Fundi Morice Chwuku kisha tunamalizana na ama Kumuuza Kanoute au Sakho ili Ceaser Lobi Manzoki atue Simba SC. Haendi Yanga SC msidanganywe.
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom