Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

"Jambo la Nchi kwa Wananchi. Kaa tayari......." 🔍 Young Africans sports club Tunaenda Kusimamisha Nchi
2 Reactions
80 Replies
12K Views
TANGU MWEZI AUGUST UANZE Simba imecheza mechi 3 (St.George, Yanga na Geita) Imeshinda mbili imefungwa moja Imefunga goli 6 imefungwa goli 2. Goal difference ni 4+. Wachezaji 6 wamefunga (Kibu...
1 Reactions
0 Replies
554 Views
Nimeona tambo nyingi kuwa Yanga wanawinda saini ya Manzoki. Kwa intelijensia yangu ni kuwa wanasini mkataba na mdhamini mwingine. Hahaaaa bado Manzoki ni Mnyama. Wanasimba tutulie ni swala la...
0 Reactions
1 Replies
802 Views
Kule kwetu siku za nyuma, nyumba ilijengwa nyuma ikiwa na pori dogo. pori hili lilikuwa mahsusi kwa kujisaidia wanawake, wagonjwa, wazee na watoto. pia mbali ya nyumba, umbali kama kilometa nne...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Anthony Joshua na Oleksandr Usyk wanatarajiwa kupanda ulingoni kesho Agosti 20, 2022 katika pambano la Uzito wa Juu, taarifa ni kuwa mabondia hao kila mmoja anatarajia kupata zaidi ya Dola Milioni...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wakuu Me ni shabiki wa Team ya Simba Sc Kuna kitu nakiona kwenye team yetu hasa idara ya kiungo mkabaji ambayo iko chini ya Wajina wangu JM Ni wazi kwa sasa team inacheza kwa uwezo...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Wakuu, Huu uongozi umeshindwa kuwafunga Yanga, wakubali hatuwezi kuishi bila kuwafunga Yanga. Wajiuzulu tupate watu wenye mipango mipya. Kufungwa na Yanga ni aibu isiyo na excuse! Ni kama...
31 Reactions
145 Replies
9K Views
Leo tena Mabigwa wa nchi, FA na Ngao ya jamii timu ya Yanga inaanza rasmi mbio za ubigwa wa ligi kuu Tanzania Bara. Leo majira ya saa 10:00 jioni macho na masikio ya Watanzania yataelekea huko...
1 Reactions
197 Replies
16K Views
Beki wa Manchester City, Benjamin Mendy (28) imeelezwa kuwa alitumia mashine ya alama za vidole kumfungia mwanamke chumbani kabla ya kumbaka. Hayo yameelezwa Mahakamani ambapo Mendy anatuhumiwa...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Hivi huyu jamaa Simba, Yanga, Azam hawakumwona ?imekuaje akabaki Geita Gold? Kuna maslahi gani pale au kati ya hizo timu hamna iliyomfuata? Maana msimu huu sidhani hata goli 8 kama atafikisha...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Nguvu moja hatukatai, Lakini sasa kwa hali hii uongozi wa Simba mmeanza kutukatisha tamaa asiee, Ni kivipi deal ya Manzoki imebuma ?? ...... nimeanza kuamini hata maneno ambayo sipendi kuyaamini...
3 Reactions
45 Replies
4K Views
Baada ya mechi ya ligi msimu uliopita ya Simba na yanga iliyofanyika uwanja wa taifa na CEO wa Simba kuzuiwa kuingia uwanjani, viongozi wa Simba, wanachama na mashabiki walikuja juu na kuamua...
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Mnaojiuliza na Kuumizwa kama Mimi ni kwanini Simba SC ni sawa na Mke Mkongwe wa Mume Shababi Yanga SC ( nikimaanisha anafungwa muda wowote ule ) majibu ni haya yafuatayo..... 1. Mjumbe Mulamu...
11 Reactions
40 Replies
4K Views
Ikiwa ligi kuu bara alimaarufu NBC ikiwa imeanza jana tarehe 15 Agosti 2022. Hii ndio top 4 yangu kwa msimu wa 2022/2023. 1. Yanga SC 2. Simba SC 3. Singida BS FC 4. Azam FC Tupia na yako...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Ninawapongeza watani kwa ushindi. Lakini ushindi wenu umejaa sintofahamu sana. Maana usajili wenu hauendani na aina ya mpira mnaocheza. Yaani butua butua zimekuwa nyingi mno. Mmekosa kabisa...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Ahlanbik kutoka Lombardia ndani ya jiji la Bergamo kaskazini mwa nchi ya Italy: Jana nlifanikiwa kuitazama mechi ya miamba ya soka nchini Tanzania ,Simba dhidi ya timu ya Geita Gold nikiwa hapa...
7 Reactions
23 Replies
3K Views
Huyu bwana ni striker wa ukweli ila sasa majeruhi imekuwa donda ndugu kwake.. Kama asipojilinda na kucheza kama staa akawa anaendelea kukomaa kama anavyofanya sasa, kila siku mabeki watamkamia na...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Watu wa Soka, Tumejiandaa vya kutosha kuanza mchezo wetu wa kwanza wa Ligi Kuu kesho dhidi ya Tanzania Prisons. Mashabiki wetu tunawakumbusha kukata tiketi mapema kupitia N-CARD kisha mjitokeze...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Nasikia muda wowote Mzungu 'Mserbia' anasainishwa na Kutangazwa badala ya Mchezaji ambaye wana Simba SC wote tunamtama, anajua Kufunga na tumemsubiria muda mrefu Ceaser Lobi Manzoki. Naandaa sasa...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally jana Asubuhi ukiwa Wasafi FM ulisema tena kwa Kujiamini kabisa kuwa Mchana au Alasiri mtamtangaza rasmi Manzoki kuwa Mchezaji Wetu na haikuwa hivyo. Nilitegemea...
3 Reactions
35 Replies
4K Views
Back
Top Bottom