Kwa media ama Public figure ambayo ina fuatiliwa na kuamiwa na waTanzania wengi kama hii ya Millard ayo huwezi kutegemea kuona mambo ya ajabu kiasi hiki yanafanyika! hata kama kipaumbele chake sio...
Wanasimba wenzangu, nakubali kwamba huenda Inonga akawa na mzaha mwingi na over confidence, lakini suala la KUHONGWA haliwezi kuwa Na uhalisia wowote.
1. Yanga wana kikosi kizuri sana, na kwa...
Ukiiangalia vizuri mechi hii unaona kabisa kocha wetu sidhani kama yupo vzr.
Tshabalala siku hiyo alikuwa uchochoro kuliko hata Israeli kama ambavyo watu wetu wanamlaumu. Tshabalala goli la pili...
Ligi kuu ya NBC Tanzania bara inaendelea tena leo Agosti 17, 2022 kwa mechi 4.
Simba SC watakuwa na nafasi ya kujiuliza kufuatia kipigo cha Ngao ya jamii wakichuana na Geita Gold katika dimba la...
Naona kama huyu ndugu hatendewi sawa, na ni kama vile inaelekea katika hali ya kubaguliwa na kinyanyaswa kwa rangi yake na asili yake.
Taasisi za haki za binadamu zitoe angalizo kwa watanzania na...
Baadhi ya Waandishi habari wetu wana walakini ya wazi kabisa. Maswali yao kwa makocha na wachezaji wa nje na ndani yanamtia kichefuchufu hata msikilizaji.
Wanaiangusha taaluma ya habari, hayana...
"Anayesema kanuni hazipo kihalali (Manara) kanuni hizohizo ndizo zinasema mwenye pointi nyingi awe bingwa, sasa kama mtu anasema hazipo kihalali ina maana ligi yetu ya msimu uliopita ilikuwa...
Nawashauri Watanzania tuwekeze katika kujenga shule za michezo kila mkoa.
Kila tunapofanya mashindano yale ya shule za msingi tunawachukua wale best students katika kila mchezo na kuwahamishia...
Akizungumza kwenye Pre-Meeting ya Watani wa Jadi Simba SC na Yanga SC, Kocha Zaron Maki alisema kuwa amekutana na derby nyingi, huku akiamini kuwa ubora wa wachezaji ndo unaamua mechi kushinda na...
#MICHEZO Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta amerejea tena katika klabu iliyompa mafanikio barani Ulaya, KRC Genk kwa mkopo wenye kipengele cha kumnunua moja kwa moja akitokea Fenerbahce ya...
Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) limetangaza kulifungia Shirikisho la Soka la India (AIFF) kutokana na mamlaka zisizohusika kuingilia uendeshaji wa soka, hali ambayo inaweka shakani ushiriki...
Kuna anaejua idadi ya wachezaji kutoka nje wanaocheza Tanzania kwa sasa hasa ligi kuu?..
Tunaweza weka list kujua ni nchi ngapi zina wachezaji ligi yetu..
Nigeria ..
Ghana
Ivory coast
Senegal...
UFUNDI WALIOUNESHA SIMBA kipindi cha kwanza hadi kufikia kupata bao la kuongoza ni tahadhali nzuri ya kujifunza kuelekea kuchukua bingwa mfululiizo. Huyu kocha wa SSC ni mzuri sana sana na...
Mpira Ni burudani, mpira sio ugomvi, dhana ya mpira Ni kutuweka pamoja
Hivyo wewe usiye mdau wa yanga SC tia neno moja la nguvu kwa mtani wako wa nguvu
Happy Mwananchi day
Kila la kheri Tate...
Simba One team one dream
Hii nchi ni ngumu sana kwa upande wa pili ila kwetu raha kama zote ndio maana tukipiga chafya wanatuambia tuna korona
Kuna hoja mfu sana na dhaifu yaani aibu hata...
Kinachoendelea dhidi ya Mshambuliaji wa Simba, sio sawa wala huu sio ushabiki ni ubaguzi na upumbavu wa hali ya juu!
Sijui uko alipo anajiskiaje huyu mwamba!
Kibinadamu sio fair kabisa hii
Ukifuatilia matokeo na mwenendo wa timu hizi mbili hasa katika ligi yetu utagundua Simba anabebwa sana katika game zake kwa mambo mengi, mfano tu mechi ya majuzi hapa
1)Faulo ya Inonga dhidi ya...
Kuna dhana duni na hoja dhaifu zinaanzishwa na watu dhaifu hususan wale Mashabiki waliopasuka vidali baada ya kuona timu yao Ni dhaifu hivyo kuanzisha hoja dhaifu ili kutafta furaha kwa nguvu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.