Mzabuni wa jezi za klabu ya Simba Fred Ngajiro 'Vunjabei, amevunja ukimya na kufichua kuwa amepata hasara ya Dola 150,000 (zaidi ya Sh349 milioni).
Hasara hiyo imetokana na kubadilisha mfumo wa...
Ukweli ni kuwa mkubwa hakosei. Rais wa TFF ni mtu mkubwa sana kwenye mpira wetu Tanzania. Ndiye kioo Cha mpira wetu kwasasa, yaani kama ni ukatoliki yeye ndiye wa kanisa nchini na kama ni uislamu...
Sikumbuki mara ya mwisho Simba kukaa kileleni ilikuwa lini lakini hatimae leo kaongoza ligi.
Nadhani Matola atalala usingizi maana tayari alishaanza kudondoshewa jumba bovu.
Hongereni watani...
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kupigwa leo Agosti 17, 2022, ambapo Mnyama Mkali Mwituni Simba SC, anakiwasha na Geita Gold kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam...
Ahlanbik:
Kongole kwa kocha zoran maki kwa kupata ushindi wake wa kwanza katika ligi kuu ya NBC hapo nchini Tanzania dhidi ya Geita Gold. Pia pongezi nyingi kwake kwa kumtoa nje kabla ya kipindi...
Yalikuwa ni maamuzi ya wazimu kabisa. Tazama ndani ya muda mfupi tu Spars ilivyobadilika, Naamini kabisa kwa Man Utd mwaka huu Conte angeli challenge Title na Man City.
Tuna muda mchache sana kuelekea Mashindano ya CAF lazima macho yenu na akili zenu zifanye kazi chap chap hatuwezi fika popote katika mashindano ya CAF kama striker ni huyu Dejan
Simba haitajin...
Watazifunga magori mengi timu zote (ukiondoa) Yanga. Watasifiwa sana (kama vile watu hawajui trend yao wanapocheza nyumbani).
Lakini sidhani kama watapata matokeo mazuri (consistently) kwenye...
Haruyuki Takahashi ambaye ni Mjumbe wa Bodi ya Michezo ya Olimpiki ya Tokyo nchini Japan pamoja na watu wengine watatu wamekamatwa leo kwa tuhuma za kuchukua #Rushwa Tsh. Milioni 886.1.
Waendesha...
Rejea uzi wa jana usiku hapa kuhusu kupendelewa mnyama na yanga kufanyiwa hujuma za wazi na uonevu,
Sasa mliokua mnapinga nadhani mmeona yaliyotokea mchezo wa leo dhidi ya polisi.na kile ndio...
1. Mshambuliaji Hatari wa Yanga SC Fiston MINOCYCLINE Mayele amemuadabisha baada ya Kuifunga Simba SC goli zake Mbili na akipitia Kwake Beki Inonga?
2. Wana Simba SC tuliomchana live hasa katika...
Simba SC imesajili wachezaji 11 lakini Sadio Kanoute pekee ndiye mwenye ITC.
Wahenga wanasema ubora ni kheri ya Idadi. Simba iliona ishindane na Yanga SC kwenye kusajili wachezaji wengi ili hali...
Simba leo wamefanikiwa kutoa gundu la kipuuzi kabisa, geita gold amekula goals 6-0 huku mfungaji wa goal la kwanza akiwa ni clatous chama dakika ya 7
Haijajulikana kilichosababisha simba...
Mpaka ligi inaanza bado watu wanasikika hawapo kambini.
Ilianzia kwa kocha Minziro, wenzao wanawatambulisha wachezaji kwa maana ya kujiandaa kwa ligi, ikasemekana yupo Dar na hajasaini mkataba wa...
Pamoja na promo za kutosha still Africa na Tanzania ikiwemo Umasikini ni changamoto kubwa sana na hii sio kwa Tanzania peekee ingawa case study ni Bongo.
Ukiangalia mashabiki wa hizi timu, utaona...
Jana usiku wamepost picha zao wenyewe kwa raha zao kuhusu mazoezi yao wakijandaa na geita gold kuna raia wamehudhuria na kwenye hizo picha kuna mmoja kabisa anarekodi.
Kabla wale wa comment za...
Najua wengi mtanipinga ukweli ni kwamba mpira wa bongo una Sarakasi nyingi sana nje ya uwanja.
Babra hajui chochote kuhusu soka, kibaya zaidi hata wale wanaojua siri za mpira wa nchi hii...
Baada ya mechi ya ngao ya jamii, watu wengi wamekuwa wakimshambulia mchezaji mpya wa Simba toka Serbia na kudai kuwa hana kiwango cha maana.
Wengi wamediriki kusema alikuja na mzigo wa jezi wa VB...
Hii timu inaweza kuwa inashinda baadhi ya mechi , lakini kiukweli ina ukuta unaovuja mno ! Sielewi simba iliwakosaje yaani ?
Game yao na Polisi Tanzania ambayo wameshinda 2-1 ni kielelezo cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.