Ni mechi ya 3 tu lakini tayari Man City ni bingwa na Halaand kashachukua kiatu
Hii ligi Pep kashaigeuza farmer league kama bundesliga na league 1,
Hii ligi itakuwa na ushindani endapo Pep...
King Mseke (9), mtoto wa msanii wa hip-hop Tanzania Joh Makini, amewasili katika Academy ya Klabu ya Manchester City nchini Uingereza kwa ajili ya mafunzo ya soka ya wiki mbili. Joh Makini amesema...
Maoni haya ni alert kwa vyombo vyetu vya usalama na diplomasia.
Hakuna cha maana kinachoweza kuelezea vurugu hizi bali ni hujuma ya kimkakati ili kuonesha kuwa Tanzania na mashabiki wake wa soka...
Habari wadau, niende kwenye mada moja kwa moja...
Tunajua Simba wana matarajio makubwa msimu huu baada ya kuongoza ligi ya NBC Premier league huku wakijiandaa na michuano ya African Football...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, Timu ya soka ya Yanga mnabidi kujifunza toka kwa waarabu, mmezidi kua wanyonge Sana, katika soka la Africa fitina za nje ya uwanja ni kubwa mno...
Mshambuliaji wa #ManchesterUnited, Marcus Rashford amesema yupo tayari kupata changamoto mpya nje ya klabu yake na kusisitiza kuwa hata ikitokea ameondoka hatajisikia vibaya.
Amesema hayo wakati...
Ijumaa ya 16/08/2024 pazia la EPL litafunguliwa kwa mchezo baina ya Man Utd Vs Fulham kule Old Trafford.
Kuelekea msimu huu mpya wa 2024/25 tabiri Top Four yako itaishaje mwisho wa msimu.
Twende...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameipongeza klabu ya Simba kwa ushindi wake dhidi ya CS Sfaxien ya Tunisia katika Kombe la Shirikisho barani Afrika.
Mechi hiyo imechezwa leo Jumapili...
Kwa watu wenye weledi wa mpira ni kuwa simba ana kibarua kigumu sana cha kufuzu mbele ya hili grupo lake kutokana na namna wanavyocheza na wapinzani wao sio wanyonge. Ili simba apite inabidi...
Vilabu vya kiarabu hasa North Africa vimekuwa vya hovyo sana,naweza kusema wenye mpira mzuri ni Al Ahly tu, kupaki basi sio tatizo ni mbinu ya kujilinda hasa unapozidiwa,lakini kupoteza mda...
Wote mnaosema wizara imeyumba Kwa iyo taarifa, niwaambie tu kwamba.
Wizara haiwezi kuwaandikia Sfaxien walipe viti. Kwaiy sas kwasababu Simba ndo walikabidhiwa uwanja so ni jukumu lao kuhakikisha...
Match Day , shirikisho
Vikosi vya leo
Simba
Constantine
MPIRA USHAANZA 1900hrs kwa mida ya Tanzania
kipindi cha kwanza kimeanza
2' Constantine 0-0 Simba
24' GOOOAL M Hussein anafunga goli...
Uchambuzi
Katika Hali isiyo ya kawaida Jana makolo wakiwa kwenye michuano ya loser cup wamezua taharuki na kuchafua image ya nchi ambayo Yanga anahangaika kuijenga
....wameshinda....lakini pia...
Kuna watu waliokatia tamaa maisha, wikendi hii wakavalisha wenzao Sanda ili kuichafua image ya Simba iliyojengwa kwa muda mrefu kwa machozi, jasho na damu.
Sasa hivi hao watu wanapiga kelele...
Hii nchi kuna makosa huwa mnafunga watu miaka mingi lakini ni ya kawaida sana.
Kosa la kung'oa viti ni kosa la uhujumu uchumi. Hao ndio watu wasiojali kuharibu hata miundo mbinu mingine ya...
Chama cha soka Zanzibar kimemteua Rahma Abdalla Munir kuwa mchuwa Mapaja wa timu ya wanaume yaani Zanzibar heros
Taarifa iliotolewa imesisitiza na Chama hicho kwamba Rahma Abdalla Munir atakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.