Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara imefanya marekebisho kwenye ratiba ya michezo miwili ya Simba SC kutokana na sababu mbalimbali za kiufundi.
Mchezo wa Simba SC dhidi ya Singida Big Stars, ambao...
Kumekuwa na malalamiko kutoka kwa Washabiki wa CS Sfaxien wa hapa nchini ambao hawajui sheria za mpira kwamba ni lazima mpira uchezwe dk zote 90.Na pia hajui kuwa dk zinazoongezwa huwa ni kwa timu...
Naendelea vyema na tabiri zangu na kuna watua mbao wananipigia kunishukuru kutokana na kufanikiwa katika kile ninachowapatia . nina ilimu ya Nyota hii nilijifunza kitambo kidogo. mara nyingi...
Nashaangaa mpaka sasa viongozi simba hawaoni.Nimeandika nyuzi nyingi za kuhusu fadlu na kuja kuua vipaji..
Sasa uwezo wa Chares Auwa, Balua na Kijili unashuka sana. Ata ateba sio alivyokuja
Hadi...
1. Nafasi ya kiungo mshambuliaji no. 10 imeendelea kuwa ni tatizo kwa Simba, ni aibu timu kama Azam ina Feitoto halafu Simba haina mtu wa maana nafasi ile.
2. Simba inatakiwa ifanyie kazi eneo la...
Sikuwaelewa Simba kwa Fadlu David. Record mbovu mno aakiwa kocha mkuu. Anakuja kupewa timu kwa record za akiwa asistance kocha.
Kila timu ikienda mapumziko inarudi ikiwa mbovu kuliko awali...
Hali ilibadilika ghafla Mashabiki wa CS SFAXIEN wakaanza kupigana wenyewe kwa wenyewe na hii inatokana baadhi ya mashibiki wa Timu hiyo wakitaka kuwapiga wachezaji wao ma wengine kuwazuia...
Ilikuwa inaelekea mwisho mzuri. Huyu dogo Kibu Denis akaja iharibu mwishoni kabisa. Simba kutoa draw ingenifanya nifurahie sababu wote sisi tungekuwa hakuna wa kumcheka mwenzie.
Lakini. Dk za...
Mashabiki wa timu fulani wanatia huruma wakiongozwa na memba mwenye namba tatu kwenye id yake.
Au ndio tuseme wameshajikatia tamaa na timu yao. Yani wameshupaza shingo kuisemea simba kisa bravo...
Timu iko Full Nondo. Ila wachezaji kufunga itategemea uwezo binafsi.
Mechi mbili na Record zake akiwa kocha zinanifanya nimnyime timu fadlu David. Hana plan kamili ya kukaba au Kufunga tofauti...
Timu haitashinda mechi yoyote ya ugenini au Ngumu na Huyu huyu Fadlu.
Ana cv mbovu sana akiwa kocha. Mbovu mno. Nimeandika uzi ya kumi hii tena kabla ata hajaja. Wajinga wanamfananisha na...
Kama we ni mtu wa mpira na sio mtu wa kuleta ushabiki kwa kila jambo utaungana nami, mfano ni tukio la kadi ya njano la Che Malone refa alipiga filimbi wakati mshambuliaji kapiga mpira kuelekea...
1. Simba ifanye tathmini upya kipindi hiki cha dirisha dogo kuhusu uwezo wa wachezaji wake wa kigeni kama kweli wanaweza kuitetea bendera na heshima ya Simba.Hadi sasa dirisha dogo linafunguliwa...
Ngoma ngumu ; waangola wako vizuri sana kuliko mategemeo yetu, wako kwao na wanajua kutumiia uwanja wa kwao, hadi sasa washamtandika Constantine mabao 2 0 na wanashambulia kama nyuki, Bravos...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.