Msimamo upo taiti sana kwa Yanga, msimamo unamaanisha kwamba kuna timu ina point moja tu ikishika mkia. Nayo inataka kuingia robo fainali. Yaani timu zingine pale juu ziwe zinaitazama tu ikiingia...
Nimeona Kuna umuhimu wa kuwa na bandiko Mahsusi mwa mechi zitakazochezwa na timu zisizo maarufu kwenye Ligi ya Tanzania.
Hiyo imetokana na kuwa kama Simba au Yanga hawachezi habari za mechi za...
Leo tarehe 15 dirisha limefunguliwa
Me kama mwanachama hai wa Yanga Nina mapendekezo yafuatayo
1. Kiungo mkabaji
Yanga inahitaji kiungo mpya wa ukabaki
Khalid Aucho naona amechoka, ana majeraha...
Siku moja baada ya kuibeba Yanga SC kwa bao la dakika za majeruhi dhidi ya TP Mazembe, mshambuliaji Prince Dube amejiondoa katika mitandao ya kijamii.
Hatua hiyo imewashangaza mashabiki na kuibua...
Kiongo Awesu Awesu anaanza leo, sambamba na Deborah Mavambo ambaye atazima na Fabrice Ngoma, juu wanacheza Lionel Ateba, Kibu Denis na Jean Charles Ahoua.
Chini kama kawaida hakuna mabadiliko ni...
MIMI SIYO “MZALENDO”
Napenda kumshukuru Mungu wangu kwa kunikirimu afya njema bila ya kumfanyia chochote cha maana. Hiyo ndiyo maana kubwa ya neema kwa jinsi ninavyoelewa mimi.
Ahsante sana...
Simba SC inakabiliwa na mwitikio mdogo wa mashabiki wake kuelekea mechi yao ya tatu ya Kundi A kwenye Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Sfaxien, Jumapili Disemba 15,2024 katika dimba la Mkapa...
Mechi: Yanga SC VS Tabora United
Ligi: NBC Premier League
Uwanja: Azam Complex
Tarehe: November 7,024
Muda: 🕖 6:00PM
Dakika, 11 Si Yanga wala Tabora hakuna timu iliyopata goli hadi sasa...
Man City na Yanga Afrika ni miongoni mwa timu zenye kiburi na jeuri katika ulimwengu wa Soka nchini Uingereza na Tanzania kwa ujumla.
Sasa hivi utawala wao umefikia ukingoni kutokana na kupokea...
⚽️ Young Africans SC🆚Azam FC
📆 02.11.2024
🏟 Azam Complex
🕖 12:00 Jioni
Kikosi kinachoanza dhidi ya Azam FC
Mpira umeanza
Dakika ya 3
Yanga SC wanashambulia kwa kasi
Dakika ya 5
Dube anakosa...
Labda tunaweza kuziita feki (bandia) kutokana na ubora usiokidhi viwango.. Lakini kubwa ni kwamba mwenye dhamana ya kuziagiza hajatoa kibali kwa mwingine yoyote kuagiza kusambaza na kuuza...
Waingereza wanasema mchezaji wa Chelsea raia wa uingereza ana muelekeo wa kuwa Messi mwingine siku za mbeleni Wewe unakubali au unakataa?
We taja wa kwako mwenye muelekeo huo, mimi namkubali huyu...
Haichukui nafasi ya daktari lakini kusema ukweli Yanga wameanza kuonyesha matumaini. Huenda wakaingia robo fainali kwa kushinda mechi zote 3 zilizo baki huku ikitegemea na matokeo ya mechi...
YangaSc Vs Al Hilal
NJE YA PICHI....
Kesho Yanga watakuwa uwanjani dhidi ya Al Hilal miongoni mwa mchezo ambao nafikiri utakuwa mzuri na mgumu sana kulingana na ubora na uzoefu wa timu zote...
Mashabiki na wanachama wa Yanga acheni kusubiri dezo, kanunueni tiketi za mchezo wa Al Hilal, nimeambiwa trend ya ununuzi wa tiketi sio nzuri na imebakia siku moja.
Baaada ya Yanga kuichakaza team ngumu ya Sudan Kusini kwa bao 9-0 (yes ni ngumu ni mabingwa na siyo dhaifu kama unabisha na wewe ni dhaifu maana mayelle alikupiga bao 2) hali hapo jijini Khartoum...
Yanga kabakiza mechi 4.
Anatakiwa kushinda mechi 2 za nyumbani.
Anatakiwa kushinda mechi 1 ugenini.
Anatakiwa kupata sare mechi 1.
Akiwa na point 10 anaenda robo fainali.
Matokeo ya jana sio...
Kocha Mkuu wa Simba SC, Fadlu Davids, amewataka mashabiki na vyombo vya habari kuacha kumwekea presha mchezaji wake Jean Charles Ahoua, akisisitiza kuwa kijana huyo bado ana safari ndefu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.