Niende Moja Kwa Moja kwenye maada ujenzi wa uwanja wa mpira ni gharama kubwa sana lakini inauma sana kuona Watanzania wachache Wana haribu nyenzo zilizipo ndani ya uwanja huo.
Mashabiki wa Klabu...
Wote tumeangalia mechi hii. Baada ya kufungwa goli la 2 mashabiki na viongozi wa waarabu wakaanza vurugu.
Inawezekana ni kweli wamekasirishwa na muda wa goli kufungwa ila kitendo cha kungoa viti...
Nimeangalia wachezaji wote waliokuwepo. Mzamiru, Ngoma, Kapombe, Husein, fred. Viwango vimeshuka mno na ufanisi uko chini sana.
imekuwa kama kipindi Timu kapewa Cadena. Wachezaji wakawa kama...
Sina haja na salamu.
Hakuna asiyejua kama mimi ni Shabiki kindakindaki ya YANGA SC.
1.Yanga yangu kimataifa inapwaya sana.Jana tumezubaa mpira hata haujavuka mstari refa akaita kati wachezaji...
Kutoka Morocco, Usiku huu ni ugawaji wa tuzo za Shirikisho la Soka barani Afrika ( CAF )
Tuzo mbalimbali katika vipengele mbalimbali zinatarajiwa kutolewa usiku huu.
Baadhi ya vipengele hivyo...
Klabu ya Simba inapenda kutoa taarifa kwa umma kuwa;
Tarehe 15 Desemba 2024, katika mchezo wake wa hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Sfaxien ya Tunisia katika uwanja wa...
Wana fitness ya hali ya juu,,wanapiga mashuti, wako vizuri sana kiufundi,Wana Kasi sintoshangaa wakifuzu robo fainali licha ya uchanga wao,,
Wataokota alama zote 9 nyumbani kwao sioni kama Simba...
Nimemsikia msemaji wa Yanga Ally Kamwe anasema DR Congo wamefanyiwa vitendo vya kihuni wamerogwa mchana kweupe washabiki wao wamepigishwa magoti na kuchomwa na jua kali,
Kama msemaji wa yanga...
Tanzania ni taifa linalochekesha mda huo huo linasikitisha sana yaani uko nchini kwako mgeni anakuletea vurugu na humfanyi chochote kile
Yanga kule congo mazembe wameloga waziwazi na mwishowe...
Katiba mchezo wa leo, beki wa Simba aliepwea kadi ya njano alistahili kadi ya njano au kadi nyekundu?
Tujadili kwa uwazi na objectively ila hata kesho tuwe na uwezo wa kuhoji pale timu pinzani...
Ulevi, bangi na elimu ya kukalilishwa ni tatizo kubwa kwa nchi yetu.
Haiwezekani timu imeshinda halafu kuna watanzania wachache wapuuzi wanakimbilia kupigana na wageni tena kwa kung'oa viti...
Fujo Uwanja wa Benjamin Mkapa: Aibu kwa Taifa na Tishio kwa Mafanikio ya Michezo
Leo, Desemba 15, 2024, mashabiki wa CS SFAXIEN ya Tunisia walifanya vitendo vya fujo na uharibifu mkubwa kwenye...
Kibu hajaimbwa sana kwenye ligi ya NBC..! Wachambuzi hawamuoni ama wanajifanya hawamuoni.
' Role ' anayoivaa kwenye Mechi Muhimu za Kimaamuzi za Kimataifa ndizo zinazomfanya awe 'distinct'...
Mashabiki wa Simba wamefanya uharibifu mkubwa kwenye uwanja wa Taifa, baada ya mchezo kati ya Simba vs sc sFaxien
Hii imeleta picha mbaya mbele ya uso wa Kimataifa hasa Kwa watu waliostaarabika...
Rais wa Yanga, Engineer Hersi Said alivyowasili Dar Kinyonge, ashindwa kuongea baada ya sare na TP Mazembe kwenye mechi ya Tatu kwenye kundi A michuano ya CAF Champions League.
Yanga kwasasa...
Nimejaribu kupitia sheria kuhusu dakika za nyongeza lakini ki uharisia na sheria refa yupo sahihi kwa 100%
.someni na nyie kanuni za fifa nimeweka hapa chini
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limeripoti fujo zilizotokea tarehe 15 Desemba, 2024, katika Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC na CS...
Jumamosi tarehe 14 Desemba 2024, jijini Arusha, Benki ya CRDB ilihitimisha fainali za CRDB Bank Supa Cup 2024, mashindano yaliyojumuisha michezo ya soka na netiboli, kwa timu zilizoundwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.