Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mlikuwa mnatamba sana hadi mkamkufuru mungu kWa kuomba mechi na shetani, aisee nyie watu wabaya sana, kama sio kutoa sadaka kWa watoto yatima huko Lubumbashi mlikuwa mmeshagawa utamu malayi nyie
1 Reactions
10 Replies
428 Views
Mchezo ulikuwa mzuri Nampongeza coach Saed Ramovic Alikuja na mbinu nzuri zaidi ya kuzuia kipindi cha Kwanza ndo maana akaanza na viungo wengi wenye tabia ya kukaba yaani Duke Abuya, Aucho...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Kwa kuwa Simba wameingia nane bora ya Caf confederation cup si vibaya tukawaambia kuwa wao siyo wa kwanza kuingia na Mwaka 2016 Dar es salaam Young Africans waliingia nane bora kisha yakapangwa...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Yanga inaweza kushinda mechi ya ugenini dhidi ya MC Alger kwa kutumia mbinu na mfumo unaojikita kwenye nidhamu ya kiufundi, mbinu za kushambulia kwa tahadhari, na kutumia faida ya nguvu ya...
10 Reactions
74 Replies
3K Views
Nisikiliza Crown FM hapa, yupo Semaji na mashabiki wa Simba wanaendelea na hamasa. Sasa anasema wenzetu wanagawa Utamu nje na ndani. Na sasa wapo Lubumbashi ambapo pana vumbi. 😂😂😂 Mwisho...
22 Reactions
38 Replies
2K Views
Kuna habari kutoka Yanga kwamba wachezaji wanadai pesa ndefu za posho. Kuna posho mpaka za last season wachezaji wanadai. Kuna bonus za last season wachezaji wanadai Kuna wachezaji Kama Azzi K...
2 Reactions
11 Replies
922 Views
Wamemfunga Yanga, wamemfunga KMC na leo wamemfunga Azam. Bado Simba naye bila shaka atafungwa. Nani wa kuizuia Tabora United kuchukua kombe msimu huu?
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Game imeshaisha hii. Hongera sana wananchi. Haikuwa na namna ni kuwachapa hao waduanzi kwao na kisha kuja kuwachapa na huku kwetu. TP Mazembe ilikuwa zamani kwa sasa jamaa ni wazembe sana. Ni...
5 Reactions
23 Replies
830 Views
Natanguliza shukrani yanga ikibahatika kushinda mniite Hilo jina Note: Mimi ni mwanaume
4 Reactions
26 Replies
716 Views
Nimejiuliza sana sijapata jibu hivi Kwa Sasa hivi Kuna timu ya kuifunga hii arsenal ya Sasa maana naona Kila mtu anachezea kichapo arsenal inaenda kubeba ubingwa wa uefa na Kwa sababu Kwa uwezo...
4 Reactions
42 Replies
957 Views
Wakishinda ni bahati nasibu 😂
0 Reactions
8 Replies
402 Views
Mashindano ya shirikisho ya timu ndogo na hata hazijulikani Tuseme tu ukweli nani anayeijua timu ya CS sFaxien inayocheza na Simba Jumamosi? Hii timu kwenye ligi ya Tunisia ipo nafasi ya 6, sawa...
14 Reactions
106 Replies
4K Views
Kesho wana Yanga msipoteze muda wenu kuwa na matumaini kule Congo vs TP Mazembe. Mgogoro ule uliokumba Simba miaka 3 nyuma umehamia Yanga. Nimemsikiliza kwa umakini mkubwa babake Haji Manara...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Nimeona watu wengi wanalalamika sana kuhusiana na kufukuzwa kazi aliyekuwa kocha wa yanga. Mimi siafiki lawama kutupiwa Hersi. Sababu ziko wazi kabisa yeye licha ya kuwa Engineer wa kusoma,lakini...
1 Reactions
4 Replies
431 Views
HT Tabora 1 - 0 Azam. Mlioko hewani leteni updates!! FT Tabora United 2 - 1 Azam
8 Reactions
92 Replies
4K Views
Mungu fundi kwelikweli. Yanga (Damas) kapigwa 2-0 na Simba (Ndumbalo) ni kama tu wamepigwa pia 2-0 ukiondoa bao la kubahatisha la Shabalala. Nchi imetulia hakuna vuvuzela hata moja lilisikika...
1 Reactions
25 Replies
947 Views
Sio kila aliyewahi kucheza mpira anafaa kuwa kocha Si kila aliyewahi kucheza mpira anafaa kuwa mchambuzi Amri Kiemba na Ally Mayai mko vizuri,ila kwaJumaAbdul Mnyamani nasema No,anashindwa hata...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Simba mjipange kuloga mechi taifa kutawaliza. Cc wapinzani WENU. Ongezeen bidii mazoezini Hizo mechii za sasa CAF aziloheki Ushairi tu. Ulizen yanga
2 Reactions
6 Replies
543 Views
Wakati Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa mstari wa mbele kuhamasisha na kukuza Michezo Tanzania ukiwemo wa riadha , ila kuna Vizee vilivyopo kwenye Kamati ya Olimpiki Tanzania (Tanzania...
7 Reactions
14 Replies
859 Views
Sidhani kama kuna mtu anabeti/alibeti kunishinda mimi! Betting ina addiction ile mbaya, ikikukumba siyo rahisi kuacha. Hongera nyingi kwa aliegundua hii michezo, alitumia akili kwelikweli...
59 Reactions
251 Replies
10K Views
Back
Top Bottom