Hatimaye timu inayocheza soka safi la kushambulia , TP Englabaa Mazembe hatimaye FIFA yaifungulia rasmi na kuiruhusu kutumia wachezaji wote wapya na hatari iliowasajili.
Hii itakua habari mbaya...
Duru Zinasema Alipewa ofa ya deal nono, ila kaipiga chini kanogewa na hype anayopewa bongo, yawezekana msimu uliopita ndo ukawa ni msimu wake bora kwenye maisha yake ya soka na akajutia kuiacha...
1. Inaelezwa kuwa kiungo wa Young Africans Aziz Ki ameongeza mkataba wa miaka miwili na timu hiyo
2. Klabu ya Azam na Young Africans zinamuwania beki kisiki wa Coastal Union Lameck Lawi
3. Kuna...
I salute you kinsmen.
Viongozi nawapongeza sana kwa kuwa na jicho makini safari hii .
Kumleta Mwenda mchezaji mwenye kujituma na versatile player .
Mwenda anajua kucheza kulia na kushoto pia...
Leo Jumatano, Desemba 11, 2024, mapema katika kuendeleza hamasa za klabu ya Simba kuelekea mchezo dhidi ya CS Sfaxien ya nchini Tunisia, Jumapili Desemba 15, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa...
Unajua mbinu waliyotumia Africa kusini kuandaa michuano ya kombe la dunia kwa anani bila wahuni kuivuruga.
Naomba nikiri tu kuwa kipindi tunakua,kulikuwa na mwamko wa vijana kuzamia nchi za...
Wewe ulisha wahi kujiuliza inakuwaje timu ya Yanga au Simba ambazo zinausajili wa mabilioni ya shilingi zinakuja kufungwa kiurahisi na timu kama Tabora au Mbeya city.
Kwa watu ambao tunasema...
Wakuu
ZFF wamekuja na mfumo mpya wa Mapinduzi Cup!
Michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa 2025 itashirikisha timu za Taifa na sio vilabu kama ilivyozoeleka ambapo michuano hiyo itachezwa kwa mtindo...
Ama kweli siku ya kufa nyani...hawa makomandoo inaelekea wana nguvu sana kushinda hata uongozi wa Yanga..
Ali kamwe tunajua sote ni msemaji wa timu ya Yanga na ni jambo la kawaida kabisa kila...
Mzuka wanajamvi!
Shirikisho la mpira duniani tarehe 2 December 2010 kupitia rais wake wakati huo Sepp Blatter walitangaza taifa dogo tajiri la uarabuni kuwa mwenyeji wa kombe la dunia 2022.
Yani...
Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) limeeleza kusikitishwa na hatua ya kumuengua mwanariadha Alphonce Simbu katika uchaguzi wa Kamisheni ya Wachezaji ya Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), kwa madai...
Kama messi alivyoshinda tuzo kimagumashi vile vile nao hawa Saudi Arabia wamefanya Magumashi.
Fifa ni biashara, mpira ni biashara. Yani hapo ni mazingira yametengenezwa na pesa za mafuta kumagwa...
Wakuu
Ndio kusema maji yamezidi Unga ama!
==
Shabiki wa Yanga maarufu kama Dosa ametoa malalamiko yake baada kuona anapoish mechi za Yanga kuoneshwa kwa bei rahisi.
Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limethibitisha rasmi kuwa Kombe la Dunia la 2034 litaandaliwa na Saudi Arabia. Uamuzi huu ulitangazwa katika mkutano wa mtandaoni uliofanyika Zurich, Uswisi...
Mi sasa nshachanganyikiwa. Yaani si hatukona mchezaji mwingine mpaka enda chukua hii mibaki ya Simba? Aaah huyu alikuwa akikaa bench pale Singida. Kweli viongozi wangu mwatuletea mtu mwenye jina...
Kylian Mbappé, mmoja wa wachezaji bora zaidi wa soka duniani, amekuwa katika hali ngumu tangu kujiunga na Real Madrid akitokea PSG. Licha ya uzoefu wake mkubwa na uwezo wake wa kuamua mechi...
Yaaan shida ni maadili
YAAN KUNA video zilisambaa kibaoo za Azizi pakome na baadhi ya wachezaji wakiwa bat siku tatu kabala ya mechi
Aikutosha ilikuwa mechi nyingine wakaonekana wako bar Moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.