Kuna makampuni matatu ambayo kiukweli usijaribu kuweka dau refu au usiwategemee sana pindi unapobashiri michezo mbalilili.
1.Gal spot Betting; hawa jamaa siku wakiliwa sana wanazima mtandao,au...
1. Jean Charles Ahoua hana hadhi ya kuichezea Simba, dirisha dogo timu itafute playmaker mwingine
2. Upangaji wa kikosi umeendelea kuwa tatizo kwa kocha wa Simba, kuwaanzisha kwa pamoja mabeki wa...
Wakuu kiukweli nipo addicted na Cristiano Ronaldo yaani wakuu chochote ambacho Ronaldo anakitangaza nipo tayari kukinunua kwa gharama yoyote ata akitangaza chupi au kondomu nipi tayari kununua...
I salute you.
Simba wamejiaibisha sana sana!
Michuano hiyo mepesi sana inashirikisha team dhaifu mno ambazo laiti Yanga na wenzao kina Al ahly, Mamelodi na Esperence wangeshiriki basi wangekuwa...
Ndugu zangu wananchi,viongozi wenu walikosea kwenye dirisha kubwa la usajili,kwenye dirisha kubwa mchezaji aliyesajiliwa kwa usahihi ni Duke Abuya,wengine wote waliobaki Yanga imepigwa,engineer na...
Habari za mda huu Wana michezo Kila ukiangalia squad ya yanga akiwa anacheza Champions league kuanzia mechi ya kwanza na Al HILAL naona jina la zawadi MAUYA
Nikajua maybe ni kosa la AZAM TV...
Habari za mapumziko,
Mashabiki na wapenzi wa kandanda Tanzania na East Africa kiujumla.
Jana SIMBA walicheza mechi yao ya pili katika mashindano ya CAF confederation CUP na kupoteza kwa magoli...
Hii inawahusu wale waliokuwa washabiki wa Mnyama ambao walihamia Tu-mbili Sports Club aka Utopolo, na sababu kuu waliotoa NI kuwa wanafuata furaha kwenye Timu isiyofungwa. Wengine walitukejeli adi...
Dirisha dogo la usajili linakuja January
Yanga Bado tuna kikosi kizuri mno
Naomba viongozi msivunje timu Kwa kuingiza wachezaji wengi
1. Mtoe kasi ya Baleke au Msonda ili muingize kiungo...
Kwa taaluma yangu ya uchambuzi na kiimani, naiona simba kesho kutwa ikichapwa si chini ya goli mbili, wana safu nzuri ya ulinzi,viungo mahiri na washambuliaji hatari sana.
Kama tunavyojua Simba...
Naheshimu sana mamlaka za uteuzi wake
Naheshimu taalumu, wasifu na uwezo wa Professor Paramagamba Kabudi ila nadhani huku hapamfai
Natoa tu maoni na mtazamo wangu wala neno langu sio sheria...
Huu upepo wa yanga kufanya vibaya kwa sasa ndio imekuwa nafuu kubwa kwa timu ya Simba kutotazamwa na watu wengi madhaifu yao pamoja na kocha wao!
Kwa sasa wachambuzi na mashabiki wengi wa soka...
Umefika muda Yanga sc hawajui hata waanze kumlaumu nani.
Kipigo cha leo cha Yanga dhidi ya Al Hilal kimekuwa na sitofahamu tatizo la Yanga ni nini kwa sasa maana kila mtu anasema lake
Kocha...
How we calculate vat 20% in betting games
20% of vat is what you won after deduction of original amount
Example;
You won 1500 after place bet by amount of 1000 now take 1500-1000=500 this 500...
Siku nzuri kwa mashabiki wa betting! Timu zangu za Over 2.5 zimekamilika, na kwa odds tamu kama hizi, hatuna budi kutinga faida. 🤑🔥
✅ Code ya BetPawa: TP5HM5B
✅ Odds jumla: 5.52
✅ Hakikisha...
Kiwango cha Simba tangu mechi ya Tabora mpaka ya leo kimedhihirisha hii timu bado ni mbovu sema tuu inajificha kwenye kichaka cha Utopolo kufanya vibaya.
Washambuliaji wa Simba bado ni goigoi...
"Kama kocha huyu sifa zake ni kukuza na kuuza kama alivyosema, basi Krismas hafiki maana Klabu ya Yanga wamepita level hizo, tumuambie kuwa amekuja kwenye timu ambayo msimu uliopita wamechukua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.