Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ilikuwa mwaka 2022 nilienda kigoma kutembea kidogo. Kigoma maeneo ya manyovu huko, baada ya kama wiki hivi nikawa nishazoeana na wadau hasa wapenda mpira. Nilikuwa naenda mara Kwa mara kutizama...
14 Reactions
14 Replies
885 Views
Simba kwa watoto hawa ambao wanaruka ruka tu uwanjani kama maharage ya Mbeya, hatoboi makundi. Na Yanga kwa wazee hawa wanaotembea tembea uwanjani hawatoboi makundi. Hii ni nzuri, kwa kuwa sasa...
0 Reactions
18 Replies
702 Views
Mchezo ulikuwa mzuri timu zote zilicheza Kwa mipango mizuri Coach Saed umekuja Kipindi kigumu, nashauri upweke muda Nampongeza coach Saed Ramovic ameingia na mbinu nzuri kiufundi Tatizo la coach...
17 Reactions
69 Replies
3K Views
Simba ilitinga robo fainali klabu bingwa Africa mara nyingi mfululizo, hadi kuipandisha ligi ya Tanzania na kwenye chati na kuwa moja ya ligi bora Africa, Yanga tukadhani ni kitu kirahisi tukabeza...
25 Reactions
53 Replies
2K Views
Wanasimba acheni ujinga na kutaka kuwatafutia lawama wachezaji wenu. Simba haijawahi hata kutoa draw nchini Algeria. Leo cha kufanya ni kuounguza idadi ya magoli wasifungwe magoli mengi sana maana...
2 Reactions
7 Replies
452 Views
Mtakapokutana tena round ya pili ligi kuu hakikisheni mnaipiga Yanga hii DHAIFU YA WAZEE GOLI HATA 9 ili ashike adabu. Simba sasahivi ni wa moto sana na wachezaji ni vijana wenye kasi. Yanga...
6 Reactions
18 Replies
572 Views
Hili ni angalizo kwa hao wanaodhani wameinunua Yanga. Muda utaongea .
18 Reactions
58 Replies
2K Views
Ni aibu kwa chombo cha habari cha umma kuchapisha habari kishabiki namna hii
9 Reactions
34 Replies
2K Views
Kikosi cha timu ya Simba SC kinatarajiwa kuondoka nchini Jumatano alfajiri (Disemba 4) kuelekea Algeria kwa ajili ya mchezo wao wa pili wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Kikosi cha Simba kitasafiri Alfajiri ya December 5, 2024 kwenda Algeria ambapo itacheza mchezo wa pili hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Constantine. Kikosi kitaondoka na...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Asubuhi mboga za majani na maji bilauri 3. Mchana parachichi 1 na kiganja cha karanga mbichi, maji bilauri 3. Saa 11 jioni kachumbari na maji bilauri 3. Imeisha hiyo.
1 Reactions
2 Replies
260 Views
Mwanariadha wa kimataifa Alphonce felix Simbu aliyekuwa anagombea uongozi wa Kamisheni ya Wachezaji (KAWATA) wa Olimpiki Tanzania jina lake limekatwa na wazee wa wanafiki na wazadiki wa TOC, ambao...
0 Reactions
0 Replies
179 Views
Katumia platform ya Yanga kujulikana CAF, kuongea na vilabu vikubwa vya Ulaya, kukutana na wachezaji wakubwa, n.k, lkn Yanga inazidi kudorora na kuporomoka. Yanga ni ya kushindwa kuvuka makundi...
13 Reactions
35 Replies
2K Views
Habari wakuu wana Jamii Forums. Nimelazimika kuingilia kati kidogo minadala inayoendelea Tangu jana Usiku Baada ya yanga Kupoteza Mchezo 2-0 Dhidi ya MC Alger ya Algeria Nimekuwa nikifuatilia...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Tulitegemea kuwa na msimu mzuri sana kwenye CL mwaka huu ila viongozi wameuharibu kwa sababu wanazozijua wao.
17 Reactions
76 Replies
3K Views
Jana watu wanapiga kelele mitaani ingiza Chama, ingiza Chama, akaingizwa kweli bana, kwa kweli jamaa amepoteza kabisa heshima yake, jina lake lilikuwa kubwa sana hapa nchini, kila mtu alimuimba...
8 Reactions
26 Replies
960 Views
Ukistaajabu ya Musa ......utaona ya makolo Hii ndio record iliyowekwa Jana na vijana wa mudi .....Baada ya mpira kuisha dk 90 bila hata Simba kupiga shoot lililo lenga lango ( on target) Hii...
11 Reactions
102 Replies
3K Views
Huyu ni mwalimu wa hisabati,pia ni mchambuzi wa football na ni ndugu yake na yule muro alikuwa msemaji wa yanga,namhusudu sana
2 Reactions
12 Replies
748 Views
Madhara ya kushiriki Mashindano madogo ya Shirikisho, lazima timu zinazoshiriki haya mashindano zinatoka pembezoni. Simba wapo maporini katika Jiji la Constantine Algeria ambalo ni mji wa kale...
13 Reactions
134 Replies
3K Views
Hii nchi kuna matajiri wakubwa tu zaidi ya GSM ila hawataki kusikiahabari za udhamini wa mpira,au kuwekeza kwenye kabunbu,wanajua hailipi GSM angeendelea kukuza mtaji wake tu kwanza aachane na...
9 Reactions
23 Replies
1K Views
Back
Top Bottom