Habari wakuu, mimi ni shabiki mpya kabisa wa Yanga,nahitaji msaada namna ya kupata kadi ya shabiki au mwanachama ya NMB.
Naomba kueleweshwa utofauti wa kadi hizi mbili pamoja na gharama zake na...
I salute you kinsmen.
Kuna vichekesho vingi sana hapa nchini lakini hilj la usajilj wa garasa Mpanzu nalo lijjmuishwe.
Huyu alisajiliwa kwa mihemko sana na bosi wetu gabachori aliingizwa chaka...
Wakuu
Nani kalikoroga huko, Rais hapendezwi kabisa!
==
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, leo Disemba 7,2024, katika mkutano Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania...
Kuna muda unaweza ukaota timu Fulani imefungwa na inafungwa kwelii, Kuna muda unaota Hadi idadi ya magoli na inakuwa hiyo hiyo, kumbe ndoto Zina Siri ndefu!!.
Niliotaga utopolo amepata vipigo...
Tunapoelekea nusu ya msimu mimi Mkaguzi Mkuu wa Sirikali.
USAJILI WA DUBE
Wanachama waangalie jambo hili wakiwahoji viongozi wao. Hizo Milion 700 za kumnunua Dube alikula nani? Tunapoangalia...
Yanga wana tabia ya kuwasifia wacheza sindimba wao, lakini mchezaji wa maana anayeifanya Yanga iwe inashinda kwa sasa ni Maxi Nzengeli.
Hao wacheza sindimba kina Chama, Ki na Pacome wanakuzwa tu...
YANGA ITATISHA SANA MSIMU UJAO KAMA ITAMSAJILI CHAMA - ROBERTINHO
Kocha wa zamani wa Simba, Robero Oliveira 'Robertinho' licha ya kushituka kusikia uwezekano wa Chama kwenda Yanga amesema endapo...
Mademu. Kuna mademu walitumwa na mikia kuharibu wachezaji wetu. Kuwamaliza nguvu. Ndo UBAYA UBWELA ile. Hawa Simba waliamua kutumia hii kauli wao wakisema sisi tulikuwa tunanunua sana wachezaji...
Aliyekuwa Mchezaji wa Yanga Hafiz Konkoni ameshinda kesi yake ya madai dhidi ya Klabu hiyo (Yanga) akidai fidia yake baada ya kuvunjiwa mkataba, Yanga wamepokea barua ya maamuzi ya kesi hiyo...
Yanga wafungwe
Yanga wafungwe
Yanga wafungwe
Yanga wafungwe
Yanga wafungwe
Yanga wafungwe kila mechi, kila wakati hiyo ndiyo furaha yangu mimi.
TUJIKUMBUSHE KITU :
YANGA 0 AL HILAL 2
YANGA 1...
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetoa zawadi kwa klabu za Simba na Yanga kama ishara ya kutambua mchango mkubwa katika kutangaza na kukuza chapa ya Ligi Kuu Bara ndani na nje ya bara la Afrika...
Mechi iliyokua ichezeke mapema leo, Merseyside Derby kati ya Everton na Liverpool maarufu Majogoo wa London, imehairishwa.
Sababu ya kuhairishwa ni uwepo Kimbunga kikubwa na dalili ya mvua isiyo...
Wakuu habari zenu,
Naomba kuuliza hivi huyu raisi wetu wa mpira wa miguu amefanya nini kwenye kipindi chake cha uongozi?
Maana watu wanasema kwenye kipindi chake taifa stars imeshiriki AFCON...
Young Africans SC imetangaza Adnan Behlulović kuwa kocha mpya wa mazoezi ya viungo pamoja na Taibi Lagrouni!
Soma, Pia: Kocha wa viungo wa Yanga SC, Taibi Lagrouni hajasafiri na timu baada ya...
Habari za asubuhi wana jukwaa natumai mmeamka salama kabisa na tayari mmeshafanya maombi kwa Mwenyezi Mungu juu ya mahitaji binafsi.
Kichwa cha habari kinahitaji elimu ya darasa la nne tu...
Mchezaji na nahodha wa Ipswich Town Sam Morsy ndio nahodha pekee wa timu za EPL aliyekataa kuvaa kitambaa cha unahodha chenye rangi za upinde zikiashiria LGBTQ plus wikiendi iliyopita, Sam alisema...
Orodha ya timu za mpira wa miguu za watoto wa kihuni pamoja na vituko vyao katika soka, premier league na mchangani, bila kusahau wana soka waliokuwa wanacheza soka la...
Kwema wakuu
Mods tafadhali msiuunganishe huu uzi na nyuzi nyingine, huu ni spesho kwa ajili ya ligi tano bora barani ulaya.
Mdau wa kubeti tupia mkeka wa wikiendi hii watu turuke nao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.