Ya Kwanza......
Inawahusu CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez na Rais ajaye wa Yanga SC Injinia Hersi Said.
Ya Pili.......
Inawahusu Mwekezaji Mo Dewji na CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez.
Ya...
Hakika hii ni pumzi ya moto wanayohemewa Simba.
Mwenye Nguvu mpishe tu.
Walianza na Azizi Ki kwa ofa ya kibahili wakapigwa kanzu na Yanga kwenye kitita.
Walitaka kumkomoa Morrison kwa...
Inaelezwa kuwa Bernard Morrison anaomba release letter kwa Simba, lakini Simba hawana presha wanataka mpaka mkataba wake utamatike kisha wamkabidhi barua.
Inasemekana kuna muda aliwaambia kuna...
BUGGATI AKIGUSWA NI YANGA IMEGUSWA.
Na Thadei Ole Mushi.
Hima hima wanayanga wote Duniani, Ukiachana na Magoli anayofunga Mayele uwanjani, ukiachana na ubora wa kina Feisal, Ukiachana na Mpunga...
Niwape pongezi wanajangwani.
Ila kwa jicho langu binafsi la tatu hii timu sio bora kivile.
Kwa mfano ikienda kushiriki LigiKUU nchini Uingereza almaarufu kama English Premier League, basi kwa...
Picha linaanza jana habari zilitoka kwamba fainali ya super cup kati ya berkane na wydad itafanyika dar es salaam lakini baada ya CAF kupata habari kwamba kipenzi cha wapenda soka afrika kinataka...
Salaam Wana JF
Hatimye bado wakimataifa (YANGA) wameendelea ku make headlines duniani kwenye vyombo vya habari na mitandao duniani baada ya kuwapongeza mabingwa wa kombe la ligue kuu ngumu kuwahi...
Msemaji wa Simba amempongeza Benard Morisson kwa kupata kandarasi mpya na kusema hakuna shida.
Ahmed Ally amemshukuru Morisson kwa kutumikia Simba kwa miaka miwili na kudai hamna haja ya janja...
Mwezi wa nane mwakani mgeni anakuja mgeni ambaye wenzetu Ulaya wamemkataa lakini kama kawaida ya wazungu wakaamua kumleta Afrika na kama kawaida yetu tunamkumbatia bila kujali madhara yake kwa...
Rejea heading hapo juu. Huyu mnayemuita WAKILI MSOMI aliwatungua Makolo. Lkn hakuwahi kufanya hivyo kwa Yanga. Kama ni kweli amerejea Jangwani, there's high likelihood ataondoka Tanzania bila...
Kiungo mshambuliaji Christian Eriksen amekubali kujiunga na Manchester United na anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka mitatu.
Kocha wa United, Erik ten Hag alimuona kwa ukaribu mchezaji huyo...
Cristiano Ronaldo ameshindwa kuripoti katika mazoezi ya kujiandaa na msimu mpya katika timu yake ya Manchester United ikitajwa kuwa ana matatizo ya kifamilia
Ratiba ilimtaka Ronaldo kurejea leo...
Bondia Mfaume Mfaume ameibuka na mkanda wa ubingwa wa WBF baada ya kumtandika Said Abdumonem kutoka nchini Misri kwa TKO raundi ya pili.
Nacooz zimepigwa raundi ya kwanza na kuhitimishwa na...
Nadhani wengi wenu mlisikia kuwa kutakuwa naningezeko la wachezaji wasio zidi 5 wala kupungua 4 kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao.
1. Lazarous Kambole. [emoji736]
Huyu ni mshambuliaji wa...
Nimekuwa nikipita katika jukwaa hili la michezo na mara nyingi nimekutana na habari za Simba na Yanga, ama mara nyingi limeegemea kwenye upande wa ligi ya nyumbani hasa mpira wa miguu. Nimeona leo...