Taarifa za uhakika inaelezwa kuwa Klabu ya Arsenal imekamilisha mchakato wa kumsajili mshambuliaji Gabriel Jesus kwa ada ya Paundi Milioni 45 na tayari majadiliano kuhusu mahitaji binafsi ya...
habari wapenda soka,
jana kulikuwa na mechi ya nusu fainali ya kwanza ya ligi ya mabingwa africa, kati ya Waydad casablanca na Al ahly
mechi hiyo ilichezwa mjini Cassablanca huku waydad akiwa...
Aliyesema (aliyetuita) wana Simba SC ni Mbumbumbu wala hakukosea. Na tunastahili kuitwa Mambumbumbu.
Eti Matola apewe Timu. Asanteni sana Prisons FC na Simba SC tafadhali mpeni Timu Moja kwa Moja...
Kwa kipindi kirefu nimemfwatilia Gadiel kwa kweli hatoshi kwenye namba ya Shabalala, ni vyema viongozi watafuta mchezaji mzuri wa timu za ndani anakayeweza kuitendea haki hiyo namba, mbona wapo...
Uchambuzi ule wa mzee Kashsha RIP na Ally Mayai Tembele unazimgatia weledi, unafurahishisha kila mtu. Lakini baadhi ya wachambuzi wanawatia hasara wenye chombo Cha habari. Wakati huu ligi...
Viongozi wa Simba wakae wakijua kuwa msimu huu tumepoteza ubingwa kwa sababu yao, kwanza ni kumdharau injinia Hersi na kumuona ni mdogo sana katika soka, pili ni kujiona nyie ndio mnajua na fitina...
Mtibwa Sugar imefungwa na namungo Leo bao 4 2 tena kwenye homeground, wenyewe walikuwa wanajisifia sana kuwauza akina dickson Job, Abutwalib mshery na kibwana shomary, iliwahi kuwauza akina...
Pamoja na kuchukua ubingwa msimu huu timu ya Yanga haina ufundi wa kumiliki mpira. Viungo wa Yanga haoneshi kabisaa uwezo mkubwa wa kumiliki mpira ili wawavute mabeki watoke golini , waende...
Hii ilikuwa ni partnership tishio na hatari zaidi kwa washambuliaji wengi.
Ilikuwa ni nadra kwa mechi ya Real Madrid kuisha bila red card kwa mmoja kati ya hawa walinzi.
Mhanga mkubwa wa...
Wanabodi,
Kwanza niwapongeze yanga kubeba ubingwa wao, ubingwa mtamu.
Pili twende kwenye mada yenyewe.
Hii klabu inayoitwa simba kiukweli kabisa ilistahili kushuka daraja msimu huu wazi wazi...
Mabingwa wamefika Mitaa ya MSIMBAZI mbele ya ofisi za MAKOLO wakiwa kwenye BASI MAALUM (sio fuso za kubebea viazi), mtaa umefurika njano na kijani alafu linapigwa GOMA LA "hawaamini macho yaoooo"
SIMBA SC KUMBAKIZA MUGALU
Habari kutoka ndani ya Simba zinasema Majeraha aliyoyapata msimu huu Chris Mugaluni moja ya sababu inayopelekea uongozi wa klabu hiyo kutomuacha.
Msimu huu...
Nipo naangalia mechi ya coastal vs kagera Akpan victor ni zaidi ya lwanga .jamaa anafika jamaa anakaba .jamaaa anagongana sana Ana mwili mkubwa lakini anakimbia tofauti na lwanga mzito kama...
JINSI "CHEKECHEA" JWANENG GALLAXY ALIVYOKATISHA NDOTO ZA "GIANT" SIMBA KWA MKAPA
Naam wakati ratiba inapangwa Jwaneng Gallaxy walianzia hatua ya PRELIMINARY maarufu kama "chekechea" na Simba...
Watu wa Soka,
Juzi Jumanne 21/06/2022 saa 7:00 mchana tulimtambulisha rasmi mchezaji wetu mpya Habib Haji Kyombo ambaye tumemsajili kuja kuongeza nguvu kwenye safu yetu ya ushambuliaji.
Kupitia...
Klabu ya Simba imekiri kuwa mkataba wa udhamini wa jezi kati yao na SportPesa umeshamalizika na kwa sasa wapo katika mazungumzo ya mkataba mpya na mdhamini mwingine.
CEO wa Simba, Barbara...