Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

1)Mwaka 1977, Simba iliweka rekodi katika mechi za watani wa jadi kwa kuifunga Yanga mabao 6-0. Zaidi ya miaka 42 rekodi hiyo haijafikiwa. 2)Mwaka 1938, Sunderland (kwa sasa Simba SC) ilikuwa...
49 Reactions
84 Replies
11K Views
Nimekuwa nikikufuatilia kama Refa unayeheshimika nchini Kwa vile umevaa beji ya heshima. Lakini tofauti na matarajio yangu Mechi zote unazochezesha umekuwa huitendei haki BEJI kubwa uliyovaa...
2 Reactions
4 Replies
831 Views
Aisee Wacongo hawana bahati hii game, ni mwendo wa kukosa hovyo tu na penalt wameipeleka halijojo
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Bia ya baridi itakuwa inapoza machungu tutakayoyapata wakati maharamia wanatuharamia Hakuna jinsi sasa nifanyeje?
2 Reactions
7 Replies
498 Views
Hivi job description ya msemaji wa timu ya mpira ni ipi? Mi nashangaa badala ya kujikita na mambo ya maana, wanadili na mambo petty petty. Huu ni upuuzi. Hebu badilikeni muanze kutupa habari za...
1 Reactions
14 Replies
813 Views
Kuelekea mchezo wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF, kati ya Orlando Vs Simba, mchambuzi Edgar Kibwana wa Sports Extra ya Clouds Fm amependekeza kikosi chake ambacho kikipangwa kinaweza...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Leo tarehe 23/04/2022 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, vinara wa ligi Dar Young Africans almaarufu kama Yanga watashuka dimbani kuikaribisha timu ya Namungo FC kwenye mechi la NBC Premier League...
3 Reactions
244 Replies
19K Views
Mwisho wa Msimu wa Ligi Kuu hii ya NBC nisiposikia amepewa Tuzo sitawaelewa TFF. Leo amechezesha vyema na kwa Haki.
0 Reactions
4 Replies
961 Views
Wakuu After years of waiting for his chance at gold, Dillian Whyte is getting his wish. . The interim WBC heavyweight champion will face off against WBC heavyweight champion Tyson Fury on April...
0 Reactions
8 Replies
960 Views
Klabu ya Geita Gold sport inaendelea na ujenzi wa uwanja wake ambao utakuwa na uwezo wa kuingiza mashabiki elfu 12 Kampuni ya Geita Gold imetoa TZS 2.5 B kwa ujenzi wa hatua za awali ambao...
10 Reactions
161 Replies
10K Views
Baada kumaliza kuiangalia mechi ya kimataifa Kati ya Orlando pirates vs Simba sports club pale kwa mkapa na mechi kuisha kwa ushindi DHAIFU wa goli moja Tena la PENALTY .....huu nauita ushindi...
4 Reactions
169 Replies
7K Views
Katika hii misimu mitatu ambayo simba kafika robo fainali namaanisha msimu wa 2018/2019 ,2020/2021 na huu 2021/2022 yote team walau ilifanya vizuri ugenini na baadhi ya matokeo ni haya Simba Sc...
8 Reactions
19 Replies
2K Views
“Nimewaona Orlando Pirates ni hatari sana, Simba ni wa kawaida kabisa. Hawawezi kushindana na timu kama Orlando. Mimi nina uzoefu kwenye mechi za kimataifa sioni Simba wakisonga mbele.” - Fredrick...
7 Reactions
22 Replies
1K Views
"Tukimaliza mechi yetu ya tarehe 30 na Makolo, tutawaandikia barua Bodi ya Ligi na TFF kama wataridhia mechi zetu zilizobaki wacheze na YANGA PRINCES" Hii ni kauli ya Manara aliyoipost kwenye...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Tanzania tumekumbwa na kasumba ya kuwahusudu sana wachezaji wa kigeni na kuwadharau wachezaji wa ndani. Mfano wa wachezaji mwenye kipaji kikubwa kisichozingatiwa ni Kichuya. Ni mchezaji ambae...
2 Reactions
8 Replies
982 Views
LICHA YA KUWA NA UDHAMINI MZURI WA BENKI YA NBC NA WADHAMINI WENGINE. Lakini mbona bado hatuipati radha halisi ya mpira hususa ni kwa hizi timu zetu ambazo tunategemea zifanye mapinduzi Nini...
1 Reactions
7 Replies
676 Views
Nawapa ongera Utopolo kuweza kufanya vizuri kwa msimu huu wa ligi. Mlikuwa na vizingiti vingi kwa awamu ya 5 ambapo sisi tulitamba tutabeba ubingwa mfulilizo kwa miaka 10 sababu tuliamini...
3 Reactions
9 Replies
878 Views
Beki wa Manchester United, Harry Maguire alipewa vitisho kutoka kwa watu wasiojulikana walipomwambia wanampa saa 72 ajiondoe klabuni hapo au asubiri kifo kwa kulipuliwa na bomu. Ujumbe huo...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Naomba kudeclare kabisa mimi siyo mshabiki wa Simba, lakini kwenye upotoshaji lazima tuwekane sawa. Simba imeshuka na pipa kwenye uwanja wa Oliver Tambo airport hayo maeneo panaitwa Kemtorn park...
25 Reactions
105 Replies
6K Views
Hawaja tu-treat vizuri, unaweza ukashangaa V.A.R Imewekwa lakini haijafanya kazi...! Kiufupi hawakustahili kushinda lakini Nina swali kwao Iwapo na sisi tutawafanyia hivyo mechi ijayo...
6 Reactions
79 Replies
7K Views
Back
Top Bottom