Malalamiko yashaanza, kumbuka mechi ya kwanza team kipenzi ya makanjanja wa Bongo iiitwayo RS Berkane ilipigwa 2-1 hadi sasa haijajulikana kama makanjanja ya Morocco yameishupalia issue hii na...
Alikuwa live kwenye show kubwa ya redio ya michezo iliyo hosted na yule mtangazaji maarufu Robert Marawa aliyekuwa mtangazaji wa supersport na mchumba wa zamani wa bOONGE MOJA LA DEMU liitwalo...
Kama ulishawahi kusikia msemo wa "machozi ya mamba", ndicho mabeberu wanakifanya kwa Ukraine! Mamba akikamata mawindo huwa anatoa machozi!! Hayo machozi ya mamba si dalili ya maumivu Bali ni...
Kuna kitu kimoja ambacho kimekuwa kikilalamikiwa chinichini mara nyingi kwenye ulimwengu wa soka.
Ishu ya baadhi ya timu kucheza saa nane mchana wakati wa jua kali imekuwa ni kama kilio cha...
Hawa ni miongoni mwa the best midfielders katika soccer kuwahi kutokea duniani.
Over the years kumekuwa na arguments zisizo isha nani ni bora kuliko mwingine.
So, bila ushabiki wa timu au...
Kijana anatamba hapa kazini kwake anaongea kwa dharau kwelikweli anawashangaa wana simba wanalalamika nini/ anauliza mbona wamechoka mapema ?anasema dawa ya moto ni moto, kijana kwa hakika...
Miezi miwili baada ya kumalizika kwa Michuano ya Kombe la Afrika (AFCON) Nchini Cameroon, mabasi 89 kati ya 90 yaliyonunuliwa na Serikali kwa ajili ya kusafirisha timu hayajulikani yalipo.
Basi...
Katika moja ya Interview ya Haji Manara wakati akiwa ni msemaji wa Simba, alishawahi kusema "Mimi sitadumu Simba milele ipo siku nitaondoka na atakuja mtu mwingine. Haji amefanya mengi sana na...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe Mohamed Mchengerwa amewatoa hofu mashabiki wa soka wanaotaka kwenda Afrika Kusini kuishangilia Timu ya Simba katika mchezo wa raundi ya pili robo...
Nimeangalia interview ya huyu kijana na online tv ya south africa nimebaki na maswali lukuki kwanza kikawaida kwenye vipindi huwa anajifanya mnazi sana wa ligi ya south africa na viingereza vyake...
Nimeona andiko kuhusu kuhamishwa kwa ofisi za tff kupelekwa mikoani tanga, je kutakuwa na tija kweli? ktk kupata huduma, mtu atoke songea aende tanga kweli? Au ndo maandalizi ya kumuweka mtu awe...
Nianze kwa kuwaomba radhi wachambuzi wachache sana wa ukweli wa soka hapa bongo, hususan Ally Mayai Tembele. Hili bandiko haliwahusu wao.
Hili bandiko linawahusu makanjanja lukuki yanayojiita...
Harry alipokea vitisho hivyo kupitia e mail, vilivyohusisha kulipua nyumba yake.
Harry aliripoti Polisi kuhusu issue hiyo, hii ilipelekea Maguire kuondoka nyumbani hapo ili uchunguzi ufanyike...
Kwa kweli Manara alibebwa na Simba fans ndo akajulikana kwahiyo aishukuru Simba! Baada ya kuachia ngazi Simba kwa Jazba na Kashfa Simba fans walihuzumika kwa muda BAADAE kaja Kiraka Ahmeid Ally...
Kwa kiasi kikubwa kamati hii inafanikiwa kwa sababu miongoni mwa wanachama wake,tulithibitishiwa na msemaji wao kuwa,wenye akili timamu ni wawili tu.
Inafanikiwa kwa kusaidiana na mabwana zao...
Je Tanzania ataweza kufuzu mbele ya miamba hii.
Group F
Algeria
Uganda
Niger
Tanzania
===
Group A: Nigeria, Sierra Leone, Guinea-Bissau, Sao Tome e Principe or Mauritius
Group B: Burkina Faso...
Baada ya kuona hawana cha Kupoteza na Wameshafungwa Orlando Pirates FC waliamua kucheza Mpira wao halisi ( halisia ) ambao waliuanza katika dakika ya 70 hadi ya 93 nikimaamisha ile ya 90 na zile 3...
Ndani ya miaka 12 na tokea nianze Kumuona akiwa Simba SC B ( aliyokuwa nayo Kocha Matola ) na Kupandishwa Timu ya Wakubwa mwaka 2012 mpaka leo ( 2022 ) bado sijamuona Kiungo Mkabaji wa ama...
Leo tutaiangalia kwa harakaharaka keno inachezwaje ili kuwapa mwanga wale wasiojua huu mchezo unachezwaje na baadhi ya trick(s) unazoweza kutumia ili kujishindia pesa.
Utangulizi.
Keno ni mchezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.