Jana huyu mpayukaji aliitia press conference isiyo na kichwa wala miguu. Press conference isiyo na ajenda yeyote zaidi ya kupayuka na kupovuka.
Kama kawaida yake,katika kutoa povu amejikuta...
Mabao ya Luis Diaz katika dakika ya 5, Mohamed Salah (22 na 86) na Sadio Mane (68) yameipa ushindi #Liverpool dhidi ya Manchester United katika Premier League kwenye Uwanja wa Anfield.
Nahodha wa...
Kocha wao anakuambia kuanzia airport walikuwa treated badly, kumbe simba walienda kuwapokea na begi la korosho kabisa kama zawadi wakakuta basi na mini van zote wakakataaa kabisa wakapewa ushauri...
Naaaam! ni ukweli usiopingika kwamba , timu kutoka nje zinapokuja kucheza na simba katika mashindano ya CAF CL au CAF CC zimekuwa zikinufaika na mapokezi makubwa kutoka kwa Mashabiki wa Yanga...
Wakuu Mimi ni Mwanachama na Shabiki Wa Team Ya Yanga.
.
Kimsingi nimepanda Jinsi Simba walivyoonesha domination ya uwanja wa Nyumbani.
.
Haijalishi ni Uwanja Wa Mkapa au Uwanja wowote Wa Nyumbani...
Kwema Wakuu,
Nimeona mijadala mbalimbali juu ya Utumikaji wa VAR katika Mchezo wa Kwanza kati ya Simba Sport Club dhidi ya Orlando Pirates a Afrika Kusini. Sintotaka kwenda kwenye mjadala kama...
Ninawafuatilia wanashangaa sana timu kupigwa red card halafu inashinda!
Kama waliamua kufanya kazi hiyo,wafanye utafiti watagunfundua timu inapocheza pungufu uwanjani mara nyingi huwa wanamatokeo...
Video Assistant Referee (VAR) Ni TV tu inayowekwa uwanjani lakini wanaohukumu wanakuwa hawapo uwanjani na huwezi kuongea nao wewe au kuwaona isipokuwa Referee akipitia kwenye mawasiliano,
mfano...
Tukiwa tunasema kuwa wana Yanga SC mna matatizo ya Kufikiri msiwe mnakataa au mnatuona kuwa tunawadhihaki bali muwe mnakubali na mjitathmini mbadilike upesi.
Nimepitia Kurasa nyingi sana za...
Pamoja na yote tukubali kuwa SSC haitoweza kucheza nusu fainali.
Hii ni kwasababu timu hiyo haijawahi kuandaliwa kwa mfumo wa knock out.
Ni kikosi kimoja tu mimi nakiita kikosi cha dhahabu...
Wale wanaobeza ushindi wa goli moja wa Simba dhidi ya Orlando Pirates ya Afrika ya kusini, ni vizuri wakafahamu kuwa:
2. Kati ya timu NANE zilizoingia robo fainali ni timu MBILI tu zilizoibuka na...
Shomari Kapombe show me the way .......
Juzi niliandika kuwa SSC haijaandaliwa game za knock out kama hizi. Ushindi wa leo means ni point 3 kwenye makundi, hii ndiyo inaibeba SSC kwenye makundi...
Nitoe wito kwa wamiliki wa vituo vya redio na luninga kuwa watuondolee mbali hao wachambuzi wa soka uchwara.
Kuna wachezaji kibao wa zamani ambao wangetuchambulia soka kwa kutumia weledi na Siyo...
Msimamizi wa Video Assistant Referee (VAR), Nchini Tanzania, Leslei Liundi akizungumzia kuwepo kwa Teknolojia ya VAR kabla ya mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika CAFCC kati ya Simba SC...
Kwa macho yangu niliona malengo mengi hasa majukwaa ya juu ya kusini mwa uwanja. Lkn kumekuwa na mabishano ya kadhaa huku wengine wakisema Simba waliujaza uwanja (full house). Pengine nina shida...
Katika ulimwengu wa soka wa Leo Kila mmoja anajionea mwenyewe mambo yalivyokuwa uwanjani. Nafasi ya kudanganya watu kujitafutia huruma haipo.
Kusema kweli Orlando washukuru Sana kuishia kufungwa...
Nilikuwa nafuatilia interview ya kocha wa Orlando Pirates kabla ya mchezo na hata baada ya mchezo,
Nilichogundua ni kuwa Kuna watu wamekuwa wakitoa taarifa za uongo kwa wageni kuhusu Simba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.