Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Simba sc inashika nafasi ya 12 Namungo fc inashika nafasi ya 56 Yanga sc inashika nafasi ya 75 Je, kuna nini kinakujia kichwani kwako ewe shabiki mwenzangu wa Yanga? Tuendelee kuwananga wenzetu...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimeifuma mahala
8 Reactions
37 Replies
2K Views
Wachezaji wa Simba nyie ndio mnaoiwakilisha Tanzania, serikali ipo nyuma yenu, wananchi wapo nyuma yenu hivyo ushindi wenu ni ushindi wa nchi! Pirate ni timu ya kawaida sana na mtawamudu mpaka...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Nakumbuka ka- harufu kake ikiwa MPYA imetoka dukani 🤣😅 . Wakuu Hivi Viatu Vilikuwa vinaitwa Abeid Mziba Màana Yeye ndie mchazaji pekee alikuwa anatumia viatu hivi wakati huo ligi Daraja la kwanza...
3 Reactions
9 Replies
683 Views
1. Timu ifike Johannesburg Siku Moja kabla ya Mechi na isiwahi Kufika tafadhali 2. Mfumo pekee wa Kuutumia tukienda huko uwe ni wa ama 3-5-2 au wa 4-5-1 nikimaanisha 95% Defensive tu 3. Timu...
9 Reactions
46 Replies
4K Views
Nashangaa sana watu wanaobeza ushindi walioupata leo SIMBA SC, na ukichunguza kwa makini utagundua ni wivu na husda za kuona SIMBA wanazidi kuchanja mbuga. Ukiangalia mpaka kufikia leo ktk mechi...
7 Reactions
73 Replies
5K Views
Hatuna shida sana matokeo tuliyopata maana yote aliyoyasema Abdi Banda yametimia. ila kilichotukera sana sisi ni vile vitochi vyenu vya kitoto mlivyokuwa mkivielekeza kwa golikipa wetu muda wote...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
Mimi sio Mchambuzi wa soka lakini kama Shabiki wa soka nimekuwa nikijifunza kla siku kupitia kuangalia Soka. Baada ya Soka kuonesha mafanikio na ufuatiliwaji mkubwa kama kawaida Wenzetu(haswa...
0 Reactions
2 Replies
642 Views
[emoji23][emoji23][emoji23] -Meneja wa habari na mawasiliano Simba SC Ahmedy Ally amesema kuwa kama watani zao Yanga wana mpango wa kutaka kumsajili beki wao Joash Onyango basi wajiandae kutoa...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Kuelekea kwenye mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAFCC) kati ya Simba SC dhidi ya Orlando Pirates ambao unatarajiwa kupigwa April 17, 2022 kwenye Uwanja wa Benjamin...
8 Reactions
76 Replies
6K Views
Utopolo wanaendesha kampeni za Kijinga sana ili tumuone mugalu hafai Kumbukeni Mugalu kwa kasi na ubora alionao, hakuna forwad wala straika wa kulingana nae viwango pale jangwani. Na infact...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
TANAPA kuweni makini na vitendo vinavyokinzana na jitihada zetu za kuvutia utalii nchini. Timu inayoandika kwenye jezi yake "visit Tanzania, then inafungwa bao 3-0 kwenye mechi inayotazamwa dunia...
14 Reactions
175 Replies
8K Views
Naona klabu ya Simba inahangaika sana kushawishi mashabiki wakaujaze uwanja siku ya sikukuu Mo amuige Manji awajaze yeye mwenyewe mashabiki uwanjani. Simple tu. Pasaka njema!
5 Reactions
65 Replies
3K Views
Kwenye MAWAZO MCHANYATO Nadhani Kocha wa Orlando kulalamika Yuko sahihi. Baadhi ya mashabiki wa Soka Tanzania kuwasapoti wapinzani wa Simba Wako sahihi pia. Simba Sc kuendelea kujiheshimisha na...
0 Reactions
1 Replies
351 Views
Hello Tanzania, Sawubona South Africa! Karibuni katika Kindumbwe ndumbwe cha mtanange wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Africa (Total Energies CAF CC) kati ya wenyeji Simba Sc wa...
13 Reactions
725 Replies
40K Views
Kama kawaida yenu ili muaminike Kinafiki, mpewe Vipesa vya hapa na pale na muhaidiwe kuwemo katika 'Trip' ya South Africa mmeshaanza sasa katika Redio zenu, Mitandao yenu na Magazetini Kwenu...
13 Reactions
32 Replies
4K Views
kwa Drow iliyochezeshwa leo imepanga kua Simba sc itakutana na Orlando pirates, huu mchezo kwa jina tu la timu ya Orlando inaonekana ni ngumu kuliko hata tunavodhani, na ukilinganisha na timu...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Kumekuwa na lawama sana kumhusu Mugalu baada ya kosa kosa zake za juzi mpaka kufikia hatua baadhi ya mashabiki kumtusi tena matusi ya nguoni. Mugalu hakupenda kukosa, ukiangalia baadhi ya kosa...
1 Reactions
39 Replies
2K Views
Sasa nimeshaelewa,hapo kashachanganya msuba,ugoro,mmavimavi,na majani ya mpapai.... Sasa akitoka hapo ndio anaanza kuhara kwa kutumia mdomo... Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
3 Reactions
12 Replies
926 Views
Back
Top Bottom