Unaambiwa huyu jamaa kila mara anakuwa upande wa timu pinzani.
CR7 anataka top four,maguirre hataki.
De Gea anamuogopa huyu beki zaidi ya washambuliaji wa timu pinzani.
Katika hii picha hapa...
Tunajua sote jinsi mchezo huu ulivyo muhimu kwa Simba na Taifa kwa ujumla, ndio wa kwanza katika historia ya Nchi yetu kutumia teknolojia ya usaidizi wa Video kwa Mwamuzi (VAR).
Zaidi ya hayo...
Msichukulie mzaha kwa hiki nilichokiandika hapa tafadhali bali naomba kichukuliwe Kiumakini mno kwani wengine Kuona mbali ni Tunu ( Shani ) tuliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu.
Yasije yakatokea yale...
"Tukinuniana kwa hili Poa tu ila lazima ifike muda tuseme tu Ukweli kuwa Simba SC ndiyo Timu pekee iliyo set Standards ya Soka la Tanzania na Sisi wengine hatuna budi Kuiga na hata Kujifunza Kwao"...
Walianza hivi
Malengo yetu msimu huu ni
Kubeba makombe yote ya ndani tumeanza na mapinduzi cup
Pia lengo letu ni kufika nusu fainali champions league
Kisha wakaendelea
Yanga wao kazi yao...
Nimekuwa mfuatilia kiasi kwenyw mijadala ya page za CAF mtandaoni nimekutana sana na hili neno snake kuwahusu Mamelod.
Na leo kuna mtu amewashauri Orlando waazime snake wa Mamelod wakija kucheza...
Haya wajameni simba lunyasi inajulikana ni hatari sana Kaizer chiefs walionusurika kutolewa mwaka jana baada ya simba kunyimwa penalt kwa konde boy kuangushwa ndani ya sita wanajua moto huo...
Naam nawaza utaratibu gani utatumika kuhakikisha kila aliyeingia uwanjani kwa ajili ya mashindano ya quran aweze kutoka kupisha waliolipia viingilio vya mechi baada ya mashindano hayo kuisha...
Taarifa ni kuwa bondia namba moja Tanzania, Hassan Mwakinyo amefanikiwa kusaini mkataba wa kucheza ngumi nchini Marekani wenye thamani ya Sh milioni 232 chini ya bondia wa zamani na promota...
Benzema simpendi japo kama akibeba ucl na laliga basi anaweza kuchukua.
DeBruyne yeye atabeba endapo man city itabeba ucl na epl.
Salah naye bado yumo na anaweza kuchukua epl na ucl.
Mane naye...
Kiungo mshambuliaji wa timu ya Simba, Hassan Dilunga ameondoka Nchini Tanzania kuelekea Afrika Kusini kwa ajili ya kupata matibabu ya majeraha yanayomkabili kwa muda mrefu.
Kwa mujibu wa taarifa...
Injinia Hersi baada ya kudaka saini ya KI aziz Stephanie , Peter shalulile huku ikisemekana wanamtumia Ibenge kuharibu deal la Adebayor ili wamchukue amefanya matusi makubwa sana...
Wakuu Kuchelee.
.
Timu ya taifa ya kuogelea iliondoka jana kwenda Birmingham Uingereza ikiwa na muogeleaji mmoja na viongozi 19 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
.
Daaaaah Mungu ibariki...
Hii inaonyesha no jinsi gani kufanya maamuzi ukiwa na hasira unaweza kupata madhara makubwa.......
Tajiri wa tiktok alijaa hasira baada ya manzi yake kubugudhiwa kuingia UWANJANI.....na kudeclare...
Habari za masiku waungwana katika medali ya soka. Kwa ambaye amefuatilia michuano ya Uefa msimu huu atakuwa kanote kitu, mpira wa ulaya umekuwa sio kama kipindi cha zamani ambapo timu zilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.