Klabu ya Simba SC kufika hatua ya robo fainali ya CAFCL na CAFCC siyo jambo la kushangaza, ni kawaida tu, ndiyo maana malengo ya Klabu kwa sasa ni Nusu Fainali na Fainali na ikiwezekana Ubingwa...
Naanza kuona GSM akianza kuzalisha bidhaa nyengine pasi na magodoro.
Imeniingia akilini kuwa huyu sasa anaweza anzisha timu yake ya soka kama Azam.
Kama ataafiki wazo hili ni vema afikirie...
Najiandaa kuona je, na Orlando Pirates FC nao kabla ya kucheza na Simba SC Kwao Afrika Kusini na wao watahamasisha Mashabiki wao Kuzurula hovyo Mitaani ili Kuujaza Uwanja na Washinde kwa Nyimbo za...
Habari za muda huu.
Msimu wa 2019/2020 ,Simba walimsajili Onyango na Yanga wakamsajili Mwamnyeto.
Mashabiki wa Simba walidai kuwa Mwamnyeto alikuwa dhaifu na alifichiwa madhaifu na AME ...
Miezi kadhaa iliyopita ilionekana kama mwisho wa enzi kwa Barcelona. Awamu za uongozi wa Sandro Rossel na Bartomeu ziliiacha Barca katika hali mbaya ndani na nje ya uwanja. Kurejea katika uongozi...
Haji manara vipi kuhusu goli la Joash Onyango dhidi ya gwambina?
Vili kuhusu folul ya nnje ya box aliyocheza Joash Onyango dhidi ya Tusila Kisinda na mwamuzi akasema ni penati
Timu za Real Madrid na Villarreal zimefanikiwa kufuzu Hatua ya Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuziondosha mashindanoni Chelsea na Bayern Munich katika mechi za kuamkia leo Aprili...
Kwa kuutazama huu muondo wa sasa hauleti ushindani na una mianya mingi sana ya hizi timu kongwe kuendelea kutawala.
Ingependeza baada ya mzunguko kuisha, ichezwe ligi ndogo walau ya timu sita tu...
TANGAZO KWA WADAU NA WAPENZI WA MCHEZO WA DRAFTI
Kuanzia kesho tarehe 30 mpaka tarehe 31 ya mwezi huu tunatarajia kushuhudia pambano litakalowahusisha mabingwa 16 wa mchezo wa drafi, pambano hili...
Kama uliangalia mpira wa Jana wa WANANCHI vs Geita gold sports nadhani utakubariana na Mimi kuwa
Diara aliamua alikuwa na hesabu zake Kali tu ......kwani alikuwa na uwezo wa kudaka penalt zote...
Umewezaje Kwa muda mfupi kufanya mambo makubwa ndani ya Simba?
Jibu ni jepesi tu haya ninayofanya niliyasoma darasani kwenye Topic ya PR Campaign
Kama PR hujapita darasani huwezi kufanya vitu...
Ubaguzi bado unaendelea kulitafuna bara la Afrika
Mwanzo nilidhani wahindi ndio nambari moja kwa ubaguzi duniani, lakini nachokiona kwa ndugu zangu waafrika hususani hapa bongo niseme tu wengi...
Ninaandika uzi huu kwa maslahi ya ligi yetu na ustawi wa soka letu liweze kupiga hatua. Katika mchezo wa tarehe 10/4/2022 mwamuzi wa akiba Eli Sasii alionyesha maumivu ya wazi kabisa kutokana na...
SIMBA wameileta timu nyingine kutoka Afrika Kusini ambayo ilikuwa haijawahi kugusa ardhi ya Tanzania. Mamelodi Sundowns wamewahi kugusa hapa. Manning Rangers wamewahi kugusa hapa. Santos wamewahi...
Wajuba Leo kuna Mechi Ya Kombe la Shirikisho La Azam( Azam Sports Federation Cup)
.
Mechi hyo ni Kati ya Azam FC v. Polisi Tanzania.
.
Mechi itachezwa Sa2:15 Kwa Saa za Africa Mashariki Uwanja wa...
Rekodi hii imenitisha, mpaka utumbo umecheza kwa zile beki zile ambazo hazijui kuruka mipira ya krosi kuna maafa makubwa sana. Naiona balaa kubwa sana, yajayo hayafurahishi
Baada ya kuvuliwa ubingwa wa mabara wa WBF miezi kadhaa iliyopita, bondia namba moja nchini, Hassan Mwakinyo amevuliwa ubingwa wa Afika (ABU).
Wikiendi iliyopita bondia huyo amevuliwa ubingwa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.