Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Yanga ambayo ilikuwa nje ya mategemeo ya wapenzi wengi wa soka hapa nchini ya kuweza kuchukua Ubingwa wa Tanzania. Ilionyesha ushujaa wake wa kulisaka soka katika mchezo wake wa mwisho dhidi ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Build-up ya goli la Geita gold ilianzia pale Ntibazonkiza aliposukumwa na kunyang'anywa mpira. Pamoja na kelele za mashabiki, refa alipeta na kilichotokea kinafahamika. Goli HARAMU. Hongera kwa...
7 Reactions
32 Replies
2K Views
Mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Azam Sports Federation utapigwa usiku huu ambapo Yanga atawakaribisha Geita Gold katika dimba la Benjamin Mkapa. Kwa live updates tukutane hapa saa 1::00 usiku...
4 Reactions
390 Replies
57K Views
Sasa rasmi gape la pointi imekuwa alama 10 kati ya yanga na simba, ni umakini mdogo wa polisi leo kulikowafanya washindwe kuondoka na alama 3, wamecheza vizuri sana lakini umakini wao mdogo kwenye...
6 Reactions
14 Replies
829 Views
Nimeangalia mechi ya leo ya simba akiwa ugenini pale ushirika moshi akicheza na mwenyeji wake polisi katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara. Kiuhalisia na ukweli usiofichika simba tuna tatzo la...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Kwa Matokeo ya Chamazi Complex Jana Usiku, kwa Presha Kubwa iliyoko sasa, kwa Ratiba ngumu ya Ligi Kuu na ile ya ASFC, kwa Rotation ya Wachezaji ili Kukwepa injuries na kwa Mawazo pamoja na...
8 Reactions
72 Replies
5K Views
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba, Mwina Kaduguda amesema kuwa wapo tayari kufa ila Simba ifanikiwe na kufikia malengo yao kwa msimu huu. . “Tunaziona timu zilizofanikiwa Afrika kuwa...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Polisi wa Merseyside wamethibitisha kuwa wanafuatilia taarifa ya tukio ambalo Cristiano Ronaldo wa Manchester United anatuhumiwa kwa kuikwapua simu ya shabiki wa Everton na kuivunja. Tukio hilo...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
*News:* *Habari njema kwa wana Yanga wooooteeeee mchezo kati ya Yanga na Ndanda uliokuwa ufanyike ijumaa huko Mtwara sasa utafanyika siku ya jumamosi katika uwanja wa Taifa Dar. Hii ni baada ya...
3 Reactions
40 Replies
6K Views
Hii orodha ni kwa mujibu wa 5 year CAF ranking for 2022/23 Simba na Yanga zote hazimo ni wakati sasa timu hizi zijitahidi siyo kitimu kikiingia robo fainali ya mchongo basi kelele nyiiiingii NB...
9 Reactions
102 Replies
27K Views
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), limeruhusu mashabiki 60,000 kuingia kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa kushuhudia mtanange, hatua ya Robo Fainali kati ya Simba SC kutoka mitaa ya Msimbazi...
15 Reactions
57 Replies
5K Views
Kapombe, Zimbwe, Kagere, Mugalu, Onyango,Mhilu, kibu, Boko na Mzamiru Tunawatakia Kila La Kheri.
4 Reactions
54 Replies
39K Views
Sababu mikataba kumalizika na mchango katika timu. 1. Wawa 2. Onyango 3. Bwalya 4. Mugalu 5. Kagere 6. Banda 7. Morrison 8. Nyoni 9. Bocco 10. Gadiel 11. Mzamiru
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Inadaiwa kuwa uongozi wa Klabu ya Simba un mipango ya kupitisha panga kwa wachezaji wao walioonyesha kushuka kiwango mara baada ya kumalizika kwa msimu huu. Hilo limeshapangwa lakini kwa sasa...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Twende SAwa na fact Juu. Shomari Kapombe amepata mbabe katika mbavu ya kulia. Tunakiri kuwa Kapombe amekuwa tunu ya taifa na ana uwezo mkubwa mno kama beki wa kulia. Ila huyu Djuma Shabani ni...
5 Reactions
36 Replies
3K Views
Salaam, Naomba nianze kwa kuipongeza kampuni ya Azam kwa kuliheshimisha soka la bongo kwa kurusha LIVE matangazo ya mechi za ligi kuu ya NBC. Ombi langu kwenu AZAM MEDIA ni kuwa mtume timu ya...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari, Zikiwa zimebaki siku 50 Ifike tarehe ambayo tutashuhudia derby ya Kariakoo nchini kati ya Young Africans na Simba SC basi naweka mapema kabisa mambo yatakayotokea siku hiyo. Niwakumbushe...
11 Reactions
24 Replies
2K Views
Nawapongeza kampuni ya Azam media kwa kuonesha mechi za ligi kuu NBC live, kitendo ambacho kimeipa hadhi ligi yetu si tu Africa ya mashariki bali Africa nzima. Wito wangu kwa wamiliki wa Azam...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa jinsi hali ilivyo sasa ya kimpira hapa kwetu, hasa katika mazingira ya vibanda umiza, kwa kuangalia mashabiki wa hizi timu mbili kubwa hapa Bongo. SIMBA Kwa msimu huu wa 2021/22 hasa siku za...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Moja kati ya nguzo kuu za mpira wa sasa ni kucheza mashindano ambayo yatakuwa yanaisaidia club kujiendesha pasipo kutegemea sana kupitisha mabakuli kwa matajiri na wadhamini ndio maana ulaya kocha...
3 Reactions
42 Replies
3K Views
Back
Top Bottom