"Kocha wa Orlando Pirates FC amelalamika kuhusu kupata Usumbufu Uwanja wa Ndege hayo ni ya UHAMIAJI na siyo Simba SC, Kocha wa Orlando Pirates FC amelalamika kucheleweshwa Barabarani hayo ni...
Mchambuzi wa soka Geoff Lea, amesema kwamba klabu ya Simba ni maarufu kwa kutumia mbinu chafu wakiwa nyumbani ili kujipatia ushindi.
Mchambuzi huyo ametaka klabu iache kutumia mbinu hizo chafu...
Wadau Nawasalimu
Nimeona nitoe ushauri kwa kuzingatia maslahi mapana ya Klabu yangu ya Simba
Didier Gomes arejeshwe kundini haraka
Tunamuhitaji sana kuliko wakati wowote ule
Hakukuwa na sababu...
Simba na mashabiki wa Simba washatoka kwenye kupiga kelele na Yanga na Simba kuona wapinzani wao kama Al ahaly, Kaizer, pirates etc.
Haji manara analazimisha kuwachokaza simba, eti anasema...
Kwanza naanza na kusema nimeumia mambo aliyofanya huyu mvuta bangi wa Hispania Ramos,
Baada ya mechi usiku tukatoka nje ya pitch , nje kulikuwa hakufai, watu wanaosadikika kuwa mashabiki wa...
Mi huwa sijui hawa makipa huwa wanacheza lini.Halafu unakubalije kuwa kipa wa akiba katika timu.Yaani usubiri hadi mwenzako aumie ndio na wewe ucheze.Hii ina maana umeshajiweka kuwa katika nafasi...
Wakuu huyu dada C.E.O wa Simba sports club ni fullbright ni mwanamke wa shoka mwenye kujiamini na uelewa mkubwa sana wa mambo.
Ukifatilia huu mzozo uliopo sasa wa Simba kuvaa nembo za GSM utaona...
1. Ana dharau sana Wachezaji wenzake
2. Anajiona ni bora kuliko Wote Kikosini
3. Anapenda Sifa na attention za Kijinga Uwanjani
4. Ana Utoto mwingi
5. Ana deka hadi anaboa na kuharibu
6...
Kwanza pongezi kwa wachezaji kwa kupambana hadi kufikia hapo,lakini hii imekua robo fainali ya tatu tunatolewa katika michuano ya caf ndani ya misimu minne.
Ni muhimu sasa kujua nini...
Ndiyo , ni ukweli usiopingika kwamba Yanga ndiyo timu pekee hapa Tanzania yenye mafanikio makubwa katika soka la Afrika kutokana na timu hiyo kubeba makombe mengi yanayoandaliwa na CAF hali...
Kuna watu wameshaa kujifanya wanayoa ushauri kwa Simba ili kufanya vzr next seasons baada ya leo kutolewa CAF.
Mimi nadhani si wakati muafaka kwani wahusika wanaugulia maumivu muda huu. Mimi...
Kipute cha robo fainali kati ya Simba na Orlando kimekwisha na Orlando amesonga mbele kwa kutupa faraja wana Yanga kuzima kelele, tambo na kejerli za Simba.
Tuongee ukweli tu ni kwamba mashabiki...
Leo Jemedari Said Kazumari bila hata Aibu (Haya) na ukiongozwa na Unafiki wako wakati Ukweli unaujua ukizingatia kuwa hata Mpira Umeucheza na unaujua vyema tu unasema Refa wa Jana ameionea mno...
Kumekuwa na wimbi kubwa la wachezaji wanaotoka league kuu Tanzania bara na kwenda kucheza soka la kulipwa nje ya nchi wakiishia kusugua benchi na kupoteza ramani.
1: Shaban Idd chilunda
2: Eliud...
Wale wa wydad na Raja Casablanca tukutane hapa....tunauwa mtu......
Karibuni sana makamanda wangu
Al ahly and Raja Casablanca saa 5:00 usiku
Belouizdad and Wydad Casablanca saa 00:00
Kila la...
Japo usiku wa leo nimeota wekundu wa Msimbazi SSC ameifunga Orlando 2-1, ambapo goli la pili lilifungwa katika dakika 80; Hii ndoto ninaamini kabisa ni miongoni mwa ndoto za SHETANI. Hiki kitu...
Habari!
Haya ni maoni yangu baada ya kufanya uchambuzi mfupi.
Huyu jamaa Haji Manara huenda nyota ya mafanikio iko mikononi mwake au kuna siri muhimu juu ya mpira wa miguu Tanzania anazijua...
Je,
1. Refa ndiyo alikipanga Kikosi kile cha wasiwasi cha Simba SC Jana?
2. Refa ndiyo alimwambia Mshambuliaji wetu Mpuuzi Chris Mugalu acheze Faulo za Kipumbavu ambazo zilitugharimu Kiufundi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.