Kipindi cha Sir Alex Ferguson yeye ndie alikuwa mfalme hakuna mchezaji aliyekuwa ana nguvu au kuonesha makucha mbele yake. Ndio maana kuna nyakati aliwaondoa wachezaji kama Jaap Stam, David Beckam...
Abdi Banda amenukuliwa na mtandao wa Kick Off Magazite wa South Africa
Banda is a former Simba player who has also been on the books of Baroka and Highlands Park but now features for Mtibwa Sugar...
Hakuna ubishi kuwa Simba ndio nembo ya Taifa hili kwenye medani za kimataifa ngazi ya klabu barani Afrika.
Simba imekuwa tunu ya Taifa hili hakika tunapaswa kujivunia, huko nyuma tulikuwa...
Ni misimu kadhaa imepita washambuliaji wengi waliosajiliwa na Yanga wamekuwa wakiikwepa jezi namba tisa kukiwa na imani potofu kuwa jezi hiyo ina mkosi
Kuna nyakati jezi namba 9 ilipachikwa jina...
VERIFIED COMMENT
Ni wazi Clatous Chota Chama hamuwezi Saido Ntibazonkiza.
Kwa màana Ukilinganisha kuanzia Goal contributions huu msimu wa ligi.
Quality yao mpaka CV kubwa na Exposure ya soka la...
Ni katika muendelezo wa kukirimu wageni, ile kamati nguli ya mapokezi inajipanga kupokea VAR na wasimamizi wa VAR watakapowasili nchini kwa mechi kati ya mabingwa watarajiwa wa confederation cup...
Habari wana jukwaa. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu, Mnamo tarehe 22/02/2022 shirikisho la mpira wa miguu Duniani (FIFA) lilizipiga marufuku nchi za Kenya na Zimbabwe kujihusisha na...
Siku chache tu zijazo Yanga SC inatimiza mwaka Mmoja tu (ila siyo Msimu) wa Kucheza Ligi Kuu bila ya Kufungwa.
Tayari kuna baadhi ya Watangazaji wa Michezo wa Redio na Television bila kuwasahau...
Taarifa kutoka ndani ya Manchester United ni kuwa klabu hiyo ipo kwenye hatua za mwisho kukamilisha mchakato wa kumtangaza Erik Ten Hag kuwa kocha wao mkuu alitokea Ajax ya Uholanzi.
Man United...
Wakuu Fifa imechagua Waamuzi 8 Kutoka Barani Afrika.
.
Orodha Yao ni Hii Hapa Chini
Papa Bakary Gassama
• Mustapha Ghorbal (Algeria)
• Redouane Jiyed (Morocco)
• Tesssema Balmak (Ethiopia)
•...
Droo ya Robo fainali ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho kufanyika leo saa 10 jioni.
Simba Sports Club wakiwa Wawakilishi pekee wa Tanzania Wanataraji kukutana na timu...
kwa kweli nchii hii ina safari ndefu embu jionee maarifa na uwezo "mkubwa" wa wachambuzi wa kibongo a.k.a ma genius, huyu bwashee kajiandikia ka tweet chake halafu kafuta.
Leo naomba nitoe Elimu Kiduchu ya Unujumu ( Uchawi ) ni kwamba mara nyingi Jini la Simba SC huwa linakuwa 'Active' sana kati ya Saa 10 hadi Saa 12 na Saa 1 hadi Saa 3 na hiyo ya Saa 10 hadi Saa 12...
Fifa yaipiga marufuku Kenya kutoshiriki katika vitendo vyote vya soka
Shirikisho la kandanda duniani, Fifa, Alhamisi limeipiga marufuku Kenya kushiriki shughuli zote za kimataifa kutokana na...
Onyango na Kanute watakosekana kutokana na kadi 3 za njano katika mchezo wa mkondo wa kwanza hapa Nyumbani dhidi ya Orlando pirate
Lakini sioni Pengo kwa kuwa mchezo huo utahitaji kushambulia...
Bondia mstaafu Floyd Mayweather anatarajiwa kurejeaulingoni kwa kupigana na Don Moore katika pambano la raundi nane la maonyesho ambalo litafanyika Mei 14, 2022, Dubai.
Mayweather atapigana na...
Wasalaam wanabodi
Sina neno, niseme tu kwamba Mimi ni shabiki na mwanachama halisi wa Dar es salaam Young African
Kuna uzi upo humu ambao umeanzishwa na member mwenzetu humu, akionekana kujua...
"Nimekuwa nikiulizwa sana hili Swali kama Chama kuanzia sasa atacheza Michuano hii ya Kimataifa naomba niseme Chama hatocheza Michuano hii ya Kimataifa" ameandika Ahmed Ally ( Mkuu wa Mawasiliano...