Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kiukweli tunapokuwa tunajinasibu kuwa mpira wetu umekua, tujitahidi kuendana na maneno yetu kiuhalisia, kiukweli mazingira kama haya ya pre match meeting ni aibu na kushangaza TFF na bodi ya ligi...
8 Reactions
11 Replies
1K Views
Haiwezekani tunaroga sana ili Kuzicheza Mechi zao lakini bado Mtu wao anatetema na Kutukera zaidi. Haiwezekani tunafanya kila aina ya Umafia ili Wakwame na Mtetemaji wao angalau hata aumie lakini...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Simba Barbara Gonzalez amethibitisha kuwa kiungo mshambuliaji wa klabu hiyo Bernard Morrison hawezi kuingia ndani ya ardhi ya Afrika Kusini kutokana na kuwa na kizuizi cha...
8 Reactions
32 Replies
4K Views
Kweli Azam fc kama jina lake lilivyo limekaa kiurojourojo nahisi wachezaji wake hula iscream tyu, Inasikitisha hata kwa kikosi hiki cha Yanga kibovu umeshindwa kutoa hata sare... Azam wewe...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Msimamo wa Ligi Kuu Bara ulivyo kwa sasa baada ya Yanga kuifunga Azam FC mabao 2-1 kwenye Uwanja wa Azam Complex usiku wa Aprili 6, 2022. Kwa matokeo hayo sasa Simba imezidiwa pointi 14 na vinara...
7 Reactions
19 Replies
4K Views
Mchambuzi wa kipindi cha michezo cha Clouds Fm, Edgar Kibwana akichambua mechi ya jana ya Simba dhidi ya Namungo, amesema mshambuliaji wa Yanga mkongomani Fiston Mayele ana mengi ya kujifunza kwa...
12 Reactions
107 Replies
9K Views
Kuna mtu alileta uzi humu wiki moja iliopita kuwa laki 2 inagombewa Pale manyanya, nani aliibuka mshindi kati ya Walioingia robo fainali Ya drafti (Cisco, athumani na Yasini?) Mwenye habari...
1 Reactions
0 Replies
670 Views
Leo kutakuwa na Mtinange wa Kukata na Shoka kati Yanga na Azam FC, mechi hii itaanza majira ya saa 1:00 usiku Uwanja wa Benjamini Mkapa Tunajua ugumu wa game hii ya leo kizingati timu hizi...
8 Reactions
208 Replies
17K Views
Nafikiri ni muda muafaka wa kujitokeza tena kutaja mechi nyingine ambazo yanga atapoteana maana ulizotaja zote yanga kaokota point kibabe, ulianza na mtibwa, kmc,geita gold na azam vipi kuna...
8 Reactions
6 Replies
1K Views
Hawa jamaa sijui wanavuta bhangi au nini? Nilikuwa naongea na mkenya mmoja kuhusiana na mpira .... Hasa kwa nchi za East Africa hakujua kama natokea Tanzania. Yeye anajua mimi ni Black American...
13 Reactions
25 Replies
2K Views
Nimetizama mpira kati ya Senegal vs Egypt, licha ya mchezo mzuri ulioonyeshwa na timu zote lakini mashabiki wa Senegal wametia aibu Walikuwa wakiwalenga machoni wachezaji wa Egypt na mwanga mkali...
9 Reactions
133 Replies
9K Views
Kutufananisha sisi Yanga na Wanawake ni akili za kipumbavu. Anaposema Orlando Pirates waje wao wanaume watawakuta huku huku maana yake sisi Yanga ni Wanawake? Huyu niliwaambia bado ana Usimba...
10 Reactions
11 Replies
1K Views
GROUP C MP GD PTS ES TUNIS 6 10 14 CR BELOUIZDAD 6 5 11 ÉTOILE DU SAHEL 6 -3 6 JWANENG GALAXY 6 -12 1 Yanga mnajifunza Nini hapa
1 Reactions
3 Replies
450 Views
Nimeangalia vizuri sana mechi ya Simba akimlarua USGN 4:0. Kusema ukweli Simba waliupiga. Dk zote 90, USGN walikimbizwa mchaka mchaka bila kupumzika. Ubora wa kila mchezaji ulikuwa juu mno,uwezo...
34 Reactions
78 Replies
5K Views
Siku nyingi nnilikuwa nikijiuliza hivi kwanini hawa simba wana win saana apa nyumbani ? Je ni uchawi au Nini ? Nilichokuja kugundua ni kuwa sio uchawi bali simba wana jiamini saana wakiwa...
1 Reactions
8 Replies
669 Views
Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa Majaliwa ametoa tamko la kiserikali kuipongeza Simba Sc kuendelea kuupiga mwingi na kuitangaza Tanzania duniani kote. Waziri Mkuu ametoa tamko hilo akiwasilisha...
2 Reactions
3 Replies
379 Views
Caf wamechagua mabao manne yatakayopigiwa kura kupata goli Bora la wiki, miongoni mwa hayo lipo la sadio Kanute ,Simba vs Gendamarine liliofungwa Benjamin mkapa. Source:Mwanaspoti
0 Reactions
3 Replies
776 Views
🗣“Sio siri kwa sasa Yanga ni timu tishio Afrika, mpaka sasa nimefatilia Ligi za nchi zote Afrika msimu huu Yanga ndio timu pekee Haijafingwa na sasa wapinzani wanajua wakija Kukutana na sisi...
12 Reactions
44 Replies
3K Views
PABLO FRANCO - Kocha Bora wa Ligi Kuu ya NBC mwezi Machi, 2022. CLATOUS CHAMA - Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC mwezi Machi, 2022.
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Wapendwa nimemuona msemaji wa Simba huko YouTube akimtembelea na kumpongeza mzee aliyekuwa na kitochi uwanjani. Hii si sawa kwani anahamasisha vitendo vya utovu wa nidhamu unaoweza kuigharimu...
20 Reactions
55 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…