Wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Wameonyesha tena kuwa wao ndio wenye fan base kubwa kuliko timu yoyote hapa Bongo land kwa kuongoza kuuza jezi kuliko timu yoyote hapa Bongo.
Kumbuka msimu uliopita...
Tangu kuanzishwa kwakwe mwaka 1932 clabu ya Young Africans almaarufu kama Yanga Sc wamepita zaidi ya wachezaji 1000 walio itumikia timu hii kwa nyakati tofatuti tofauti na vizazi tofauti tofauti...
Katika NBC Premier League, leo tunafunga mwaka 2021 kwa mechi baina ya vinara Yanga Sc dhidi ya Dodoma Jiji FC . Yanga wanataka alama tatu ili waendelee kujikita kileleni mwa msimamo wakati Dodoma...
Kiungo Mshambuliaji wa Yanga SC Said Ntibazonkiza [emoji1060] ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Februari wa Ligi Kuu ya NBC [emoji1241]
Pia Kocha Mkuu wa Klabu hiyo, Nasreddine Nabi...
KUNA uwezekano mkubwa kwa mabingwa wa Tanzania Bara, kupangwa kundi moja na mabingwa watetezi wa Kombe la Shirikisho, Etoile Sportive du Sahel ya Tunisia katika hatua ya makundi.
Ingawa upangaji...
Katika makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, Yanga SC ya Tanzania imepangwa katika Kundi D pamoja na na Rayon Sports (Rwanda), U.S.M Alger (Algeria) na Gor Mahia (Kenya).
Yanga ilifuzu hatua ya...
Kinara wa kundi D' akiwa na alama (7) kibindoni, Mnyama Mkali Mwituni Simba SC leo March 20, 2022 anashuka kwenye Dimba la Stade de I'Amitie Cotonou Benin kukiwasha na ASEC Mimosas kwenye mchezo...
Si tunajiamini kuwa Simba ni Timu Bora kabisa na tumepita CAFCC jana Aprili 4, 2022 kwa uwezo wetu na tuna jeuri ya kucheza na timu yoyote Afrika, sasa kwa nini karibia 99% ya Wanasimba wanaombea...
Kama mashabiki was man United tunaichukuliaje kauli ya mkali ibrahimmovic kuwa
"Timu ya wanawake ya Barcelona hata wakiwa na mimba wanaweza kuifunga timu ya wanaume ya MAN UNITED
Je unaiamini...
Al ahly Tripoli ilikuwa ni timu ya kwanza kufuzu robo fainali caf confederation cup mwaka huu baada ya kuichapa pyramid 1-0 kwenye mchezo wa raundi ya tano
Lakini cha kushangaza Al ahly Tripoli...
MODS naomba heading isibadilishwe hata kidogo sababu hawa makanjanja nilidhani ni bahasha za khaki tu na ushabiki kumbe maskini ya Mungu wengi wao ni upeo mdogo wamekimbilia hiyo kazi sababu...
Kwakweli kitendo cha Simba kupigwa na kuruhusu migoli mingi ugenini tunaomba kisiwe endelevu... et kwa kutegemea mechi za nyumbani utashinda.
Wanapofanya hivyo kwa stage ya makundi haina noma...
Waziri Mkuu akiongea katika kikao cha maafisa Utamaduni na maafisa michezo Jijini Dodoma, alishangaa kwa nini Tanzania haina kocha hata mmoja anayefundisha nje ya nchi, hata Burundi au Rwanda...
Amini usiamini Pirates wamefanya vizuri kwenye kundi lao lakini mashabiki wao hawana imani na wachezaji wengi team na haswa kocha wao sasa kumbe CEO wa pirates alikuwa busy kumpa offer nono Bwana...
Kamati nguli ya mapokezi ambayo kwa hii miaka 4 imeteseka kupokea wageni wa kila aina na kununua majezi feki ya kila aina leo iko stand by kujua week ijayo wanenda kumpokea nani airport.
Ila...
Yaan siku ambayo Wakristo wanaadhimisha mateso, kufa na kufufuka kwa Mwokozi wa ulimwengu Yesu Kristo, wenywe wameamuru zichzwe mechi kati ya tareh 15 - 17 mwezi huu. Hii ni dharau ya waziwazi kwa...
The knockout stage draw for the 2021-22 TotalEnergies CAF Confederation Cup will be conducted on Tuesday 05 April 2022 in Cairo.
You can watch the draw live on CAF platforms at 15:00 Cairo...
Hii ni kwa viongozi wa SIMBA. Nimeangalia style ya simba nimegundua kuwa PABLO ni kocha mzuri.
Aliikuta wachezaji wakicheza individual na sio team work. Taratibu naona simba wanavyocheza pasi na...