Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

"Ninachojua tu ni kwamba Rafiki yangu Haji Manara ni Mwanachama Hai wa Simba SC na anaipenda Klabu ya Simba kuliko Kitu kingine chochote isipokuwa ujio wake huku Kwetu Yanga SC ni kutokana tu...
5 Reactions
7 Replies
2K Views
Sijui imekuaje Leo. Nimejikuta namkumbuka huyu mwamba.
2 Reactions
12 Replies
822 Views
Mitaa imetamalaki kila mmoja anaizungumzia Simba SC, matokeo ya kishindo usiku wa jana umempa tabasamu kila Mtanzania. Hii ni hatua kubwa sana kwa Simba na taifa kiujumla, baada ya Simba tutinga...
0 Reactions
0 Replies
508 Views
Yes kesho by mchana au saa kumi kutakuwa na press conference ya kupotezea tukio zito la leo la simba kutoa kichapo cha mbwa mwizi kwa wa niger Kabla ya press conference hiyo tarajia HABARI ZA...
8 Reactions
19 Replies
1K Views
Kiukweli huwa sipendi Simba ishinde... Imekuwa na kujisikia sana kwa miaka yao ya hivi karibun tena kwa kubebwa na CAF. nilichokuja gundua ni kuwa hata CAF wanaipendelea Simba. Sijajua labda...
13 Reactions
94 Replies
6K Views
Nimeona wachambuzi ambao mara nyingi wanaitakia Simba mabaya,wakihamasisha watazamaji na mashabiki wa Simba waingie na vitochi. Ninaamini kwamba kuna fitna za nje ya uwanja.Lakini katu msije...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Muwakilishi pekee kutoka Tanzania mnyama mkali Simba sc kesho majira ya saa nne kamili usiku, atatupa karata yake ya mwisho kwenye kundi lake, ushindi pekee unahitajika ili kuipeleka robo fainali...
12 Reactions
41 Replies
2K Views
Sina maneno hivi vita ni hatari sanaa hivyo Mnyama akiondolewa tusilaumiane mana hata Mama anajua hilo!
1 Reactions
14 Replies
671 Views
Michuano ya Mchezo wa Gofu ya Kilimanjaro Golf Tourney ‘Mount Kilimanjaro Klassic’ ambayo imepangwa kufanyika Arusha, wiki ijayo, imefutwa na wachezaji husika ambao walikuwa katika maandalizi ya...
1 Reactions
1 Replies
922 Views
Kikosi cha Kuanza (cha Maangamizi) 1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein Tshabalala 4. Henock Inonga 5. Joash Onyango 6. Jonas GENTAMYCINE Mkude 7. Pape Ousmane Sakho 8. Rally...
16 Reactions
55 Replies
3K Views
Yaani hii ni good news kutoka kwa mwandishi nguli wa sports (siyo chambuzi la mchongo) aitwaye Nuhu Adams kwa kweli hapa kutakuwa na chama, sakho, luis miqquisone anayerudi kwa mkopo, Adebayor...
7 Reactions
25 Replies
3K Views
Mechi kati Simba vs US Gendamarie itachezwa saa 4 usiku siku ya jumapili kuamkia jumatatu siku ya kazi. Hii ni mara yetu ya kwanza kuwa na kitu kama hiki nchini kwetu. Inafahamika kuwa Uwanja wa...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Tetesi ni kua kuelekea mwisho wa mkataba wa udhamini wa miaka mitano kati ya Simba Sc Tanzania na kampuni ya kubet Sportpesa ni kwamba Simba Sc ipo kwenye mazungumzo na TIK TOK kuja kuwa mdhamini...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa gharama za vifurushi vyao kuacha kuonesha mechi kali kama za leo(kutoka Afrika) za kufuzu world cup ni kutothamini wateja. Congo vs Morroco Cameroon vs Algeria Ghana vs Nigeria Mechi kama...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Bondia Twaha Kiduku ni miongoni mwa watu waliohudhuria katika shughuli ya utoaji wa Tuzo za Tanzania Music Awards, zilizofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere (JNICC)...
2 Reactions
4 Replies
921 Views
Ndio ni hiyo jana tumeshuhudia upangaji wa makundi kwa nchi zinazoshiriki Kombe la Dunia hapo badaye mwezi wa November 022 kule Qatar. Japo kuna baadhi ya mechi bado hazijachezwa, je kwa maono...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Vigogo wa Afrika, Al Ahly wamepoteza mchezo wa nusu fainali ya Klabu Bingwa Dunia kwa kufungwa mabao 2-0 na Palmeiras ya Brazil, usiku wa kuamkia leo. Kwa maana hiyo AL Ahly sasa wanasubiri...
3 Reactions
41 Replies
5K Views
Mwenye taarifa naomba ansaidie il nijiandae nkachek mech kubwa na tam
1 Reactions
45 Replies
3K Views
Ikiwa imesalia miezi michache kwa kombe la Dunia mwaka 2022 kuanza, leo hii itafanyika Droo ya hatua ya makundi ya michuano hiyo mjini Doha. Droo hiyo itafanyika katika Kituo cha Maonyesho na...
8 Reactions
128 Replies
8K Views
Bondia Hassan Mwakinyo ametoa kauli ambayo ni wazi inaonyesha anarusha ‘dongo’ sehemu. Wale mnaojua someni hapa kisha muone kijembe hiki kinamuhusu nani? “Bongo bwana Boxer unajulikana mikoa 5...
4 Reactions
73 Replies
4K Views
Back
Top Bottom