Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Yule refa aliyechezesha mechi ya RS Berkane vs simba jijini DSM aitwaye Joseph Nadala wa Congo amekuwa miongoni mwa marefa nane kutoka Afrika watakaochezesha Kombe la Dunia. Ni habari mbaya kwa...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Huyu ni kocha wa soka aliyewahi kufundisha timu kadhaa ikiwemo Totenham Hotspurs, hivi sasa ni kocha wa PSG ya Ufaransa na sasa anapigiwa chapuo ya kufundisha Klabu ya Manchester United ya...
0 Reactions
4 Replies
452 Views
Asec memosa wanaiombea USNM washinde, nmeona kwenye ukurasa wao: If these people win on sunday, then 100% to quarter final, all the best, we fight for Ivory Coast Na wameweka logo ya wapinzani...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
➡️Baada ya klabu ya Simba kufanikiwa kutinga robo fainali ya kombe la shirikisho (CAF Confederation Cup) rasmi sasa Tanzania tutapeleka timu nne kwenye mashindano ya CAF msimu ujao (2022/23) baada...
13 Reactions
24 Replies
4K Views
Kwa kushika nafasi ya pili teams za kukutana nazo zilizotop groups ni Orlando pirates, Ali Itihadi ya Libya au Mazembe, mimi hapo naomba tukutane na Walibya haswa ukichukulia mechi tunaanzia...
15 Reactions
30 Replies
3K Views
Yes hii ni kwa wale wasiojua, utopolo 1983 walijaribu kuwahonga waamuzi wahabeshi wakaripotiwa CAf na kukutan ana rungu zito la kufungiwa, ni rekodi ya kipekee ambayo hawa jamaa hadi leo...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwanza, hongera sana kwa E Fm kutimiza miaka 8, bila wao... Pili, kwa umahiri wa wachambuzi wa masuala ya michezo na hasa soka ( anakosekana Amri Kiemba tu ) nilitaraji suala la mechi kati ya...
1 Reactions
0 Replies
488 Views
CAF: SIMBA YAIFUNGA GENDARMERIE 4-0, YAINGIA ROBO FAINALI Timu ya #Simba imefanikiwa kuingia Hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kupata ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya US...
15 Reactions
721 Replies
46K Views
Neno moja kwa mzee tafadhali. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38]
4 Reactions
7 Replies
921 Views
Yanga nyinyi hamjivunii?
11 Reactions
17 Replies
1K Views
Hawaaaaaaami macho yaaooooooooooooo ...........hawaaamini macho yaoooooooooo....hawaamini macho yaoooooooo ,kamaaaaaatiiiiiii ya mapoooooookeziiiiii hawaaaaamini macho yaoooooooo Ingonga...
11 Reactions
19 Replies
2K Views
Ahlan wa Sahlan Je, huu sio muda sahihi kwa Rais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kutoa mwaliko kwa mabingwa wa soka nchini Tanzania, Simba sportive de club...
7 Reactions
16 Replies
2K Views
Ni vile tu tumezungukwa na majinga sana nchi hii ila simba kwa sasa ishajiweka kwenye level fulani kubwa sana soma mwenyewe comments za wana orlando pirates wakitamani wasipangwe na simba kwenye...
18 Reactions
16 Replies
2K Views
Huu ni uzi wetu sisi wafurukutwa na wakereketwa wa timu ya ushindi ya US Gendamarie ambayo wiki mbili zijazo itakuja Tanzania kuzoa alama zote 3. Kauli mbiu, Simba hatofuzu kuelekea robo fainali.
13 Reactions
89 Replies
5K Views
Ni ujinga wa kumulika wachezaji wa timu pinzani na tochi usoni, sijui soka la Afrika linaelekea wapi.. Timu haziwezi kushinda bila figisu?
14 Reactions
54 Replies
4K Views
Mpira huwa na matokeo ya KIKATILI sana. Nadhani wadau wa soka tujiandae kisaikolojia, maisha sio marahisi kama jinsi tunavyowaza. Tujiulize Simba ilifika je hapa kwenye michuano hii. Tulifanyiwa...
10 Reactions
90 Replies
5K Views
Hapa nmejiona mwenye ndoto kubwa kwa kushiriki kinyangario cha kiwango hichi cha pesa nyingi kwenye Jackoprt. Kuanzia mwaka 2020 nimekuwa nashiriki kila wiki japo nimewahi kushinda mechi 10 tu na...
1 Reactions
7 Replies
868 Views
Mshambuliaji wa Simba, Bernard Morrison ameshutumu maamuzi yanayofanyika katika kuita wachezaji wa timu ya taifa lake la Ghana kwa madai kuwa kuna ubabaishaji mwingi na wanatana kwa kujuana...
12 Reactions
32 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…