Zimebaki siku chache kabla ya Simba SC kushuka dimbani kuwavaa USGN kutoka Niger katika pambano la kuwania alama tatu muhimu ili kuweza kutinga hatua ya robo fainali Kombe la Shirikisho Barani...
Imeripotiwa kuwa mashine maalum ya VAR (Video Assistant Referee) iliyokuwa imewekwa Abuja Nigeria kwa ajili ya kusaidia waamuzi wa mchezo wa play off wa kufuzu Kombe la Dunia 2022 kati ya wenyeji...
Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) limeamua mchezo wa mwisho wa Hatua ya Makundi wa Kombe la Shirikisho Afrika katika ya wenyeji Simba dhidi ya Union Sportive Gendarmerie Nationale (US...
Shirikisho la soka duniani Fifa limeamuru mechi ya marudiano ya mchujo ya Kombe la Dunia kati ya Misri na Senegal.
Haya yanajiri baada ya Chama cha Soka cha Misri (EFA) kuwasilisha rufaa...
Nimecheki game ya DRC vs Maroc
Nimegundua kongo hatuna centre fowerd mpambanaji kama fiston mayele
Hawa akina mbokani na bakambu hili wawe Makali wanaitaji wawe na viungo wazuri ambao watakuwa na...
Wewe mwenye Chuki na Simba SC na umeshajiandaa Kuwapokea akina Gendamarie tafadhali hakikusha ukienda Uiage kabisa Familia yako na uache Maagizo Ukifa kutokana na Kafara la hali ya Juu...
Kuelekea mchezo wa Simba dhidi ya USGN ya Niger, Jumapili Aprili 3 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam, Jeshi la Polisi limesema liko tayari na limejipanga kwa ajili ya kulinda...
Katika michuano ya drafti inayo endelea huko JAVA kitunda sasa ni hatua ya nusu fainali,
NDULI vs DOGO SISCO
DOGO YASINI vs DOGO ASUMANI
Ikumbukwe kua mshindi wa kwanza kujinyakulia laki mbili...
Mashabiki wa Kiduku,
Mwambieni bondia wenu sisi hatuchezi na bondia ambaye hajawahi kushinda nje ya Tanzania.
Ili awe na sifa za kucheza na Mwakinyo kwanza Kiduku akacheze nje ya nchi ashinde...
Rekodi za Nigeria, Ghana, Cameroon na Senegal zinaeleweka Kombe la Dunia huwa wanatufutia aibu.
Je, hawa Waarabu wanarekodi yoyote nzuri? Wakienda World Cup? Wameshawahi kuvuka hata makundi?
Kwa...
HATA SIKU 100 BADO LAKINI KASHAMFUNIKA YULE
Tuongee TU UKWELI huyu Mwamba Ahmed Ally_ ameupiga mwingi sana ndani ya muda mfupi miezi mitatu tu.
Amewaunganisha mashabiki wa Simba kuwa kitu...
Ikiwa ndani ya mechi mbili ngumu ambazo taifa stars wamecheza moja dhid ya central Africa republic ambayo taifa stars tulishinda bila uwepo wa wachezaji wa Simba
Mechi ngumu nyingine ni ya Jana...
GHANA YAFUZU WORLD CUP 2022
Timu ya taifa ya Ghana imefanikiwa kufuzu kwenda kucheza World Cup 2022 licha ya kutoka sare ya bao 1-1 dhidi Nigeria katika kipute kilichopigwa Nchini Nigeria...
Hii ni tahadhari kwa wote wanaobeti 22bet hawa jamaa ikitokea umedeposit pesa yako na ikaingia kwao ila ikawa haijaingia kwenye akaunti hiyo pesa sahau kuipata kuna watu wamepoteza pesa zao nyingi...
Hivi ndivyo misimamo ilivyo hadi kufikia leo Jumatano Machi 30, 2022 katika Ligi mbalimbali ambazo ni Ligi Kuu Tanzania Bara, Ligi Daraja la Kwanza 'Championiship', Ligi Kuu ya Zanzibar na Ligi...
Katika kujiimarisha kuelekea kwenye michuano ya NANE BORA (TOP 8) ya Ligi Daraja la Pili (First League - FL) itakayofanyikia jijini Mwanza kuanzia tarehe 15 Aprili 2022, Timu ya Tunduru Korosho FC...
Michuano yetu ya mchezo wa drafti inaendelea huko kitunda katika ukumbi wa JAVA mshindi wa kwanza kujinyakulia shilingi laki mbili na wa pili laki moja,
Mpaka muda huu waliotinga NUSU FAINALI ni...
Picha inaongea:
Wawili pichani ni wachezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Cameroon, kulia ni Samwel Eto'o na kulia ni Rigobert Song.
Wakati wakicheza Samwel Eto'o alikuwa ni mchezaji tegemezi...
Daktari kutoka nchini Zambia Joseph Kabungo ambae jana alikuwa ofisa wa CAF katika mchezo wa kufuzu kombe la Dunia baina ya Nigeria dhidi ya Ghana amepoteza maisha kutokana na vurugu zilizofanywa...
Narudia tenaa utakuwa nii jinga la mwisho kuamini kwamba media za makanjanja zinataka simba sc ifuzu robo fainali
Bahasha za khaki zishatembea kilichobaki ni Leo shughuli inaanza rasmi
Maana...