Kwa tunaowajua Yanga SC wanafanya nini sasa ( hasa katika Kamati yao Kali ya Kiufundi ) kwa Kuwaruhusu Kwenu tu huku Kucheza Mechi yao ya Kirafiki na Timu ya Mafunzo ya Kisiwani Zanzibar tayari...
Ingekuwa ni enzi zangu nacheza mpira (naupiga mwingi) nina uhakika huyu Mshambuliaji Mbovu wa Yanga SC Fiston Mayele sasa hivi angekuwa Muhimbili Hospitali anauguza Jeraha la Miaka 6 ijayo kwa...
Leo ni sikukuu kwa wapenda kandanda nchini Tanzania.
Mnyama Mkubwa mwituni, Simba Sc atashuka katika dimba la Benjamin Mkapa kucheza dhidibya RS Berkane ya Morocco majira ya saa 10:00 jioni kwa...
Inasemekana sisqo anajua Draft kuliko Yasini maana Sisco anamfungaga sana Yasini, inatakiwa waandaliwe pambano Sisco vs yasini, au Hao wawili walishashindanishwaga baada Yasini kuchukua java cup...
Kuna Mkongo mmoja Rafiki yangu mno aliwahi kuniambia kuwa kwa Vipaji vilivyopo Kwako Congo DR hata wakihitajika Wachezaji 100 wa Kuunda Timu yao ya Taifa bado akina Mayele na Bangala hawatoweza...
SERIKALI imesema ina imani na bondia Twaha Kassim ‘Kiduku’ kuwa atafanya vizuri katika pambano lake lijalo la kimataifa dhidi ya bondia kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Alex Kabangu...
Jambo ndugu zangu,
Nauliza hakuna system nyingine ya kucheki live league ya TV online tofauti na azam TV Max kwa wale ambao wako nje ya Tanzania?
Maana huu mtandao wa azam mbona nashindwa...
Wana jf natumaini hamjambo.
Kama kichwa cha HabarI kinavyojieleza, wanayanga nao ni wanufaika wakubwa wa mechi za simba vs wageni kutokana na sababu zifuatazo ;
1.simba inapocheza na timu za nje...
.
Katika mechi 5 za World Cup Qualifiers Africa 3 tarehe 29 Mwezi Machi Waarabu wa 3 watakuwa Nyumbani
.
Hakuna mwarabu aliyepoteza mechi katika first leg.
DRC 1
Morocco 1
.
Senegal 0
Egypt 1
...
Kama sikosei mfumo wa uendeshaji wa ligi ya mabingwa barani Afrika na ule wa kombe la shirikisho katika mtindo wa makundi ulianza mwaka 1998 Tanzania ikiwakilishwa na Yanga.
Ninachokikumbuka...
SAMIA CUP SAKA VIPAJI MTAANI KWAKO
Tarehe 24/3/2022, DODOMA
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe Mchengerwa, akiwa anazungumza katika Kikao cha Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya...
Habari niliyoiona live bila chenga usiku wa jana..... niliota Mayele akiwa amevaa uzi mwekundu ulioandikwa NGUVU MOJA... aisee niliruka juu, ile naruka kumbe niko kitandani, sema tu mkewangu...
Jana Simba wamecheza kwa kutumia uwezo wao kama wao na ki uhalisia walitakiwa wacheze game zao zote kwa style ile ili kujua uwezo halisi wa timu na zaidi kujua timu inapwaya wapi, tofauti na...
Jadon Malik Sancho (born 25 March 2000) is an English professional footballer who plays as a winger for Premier League club Manchester United and the England national team. He is known for his...
Unawaambia Wageni ( Watalii ) kuwa waje Watembelee Kilimanjaro na Zanzibar halafu Wewe Mwenyewe unatuaibisha Watanzania wote kwa Kukung'utwa na Wanaijeria Kwako Tanzania na hata Kwao nchini...
MECHI YA STARS NA BOTSWANA YAOTA MBAWA
Chama cha soka cha Botswana (BFA) kimetoa taarifa rasmi ya kuifuta mechi ya kirafiki dhidi ya Tanzania iliyokuwa ifanyike Machi 26. 𝐌𝐞𝐜𝐡𝐢 𝐲𝐚 𝐭𝐢𝐦𝐮 𝐲𝐚 𝐭𝐚𝐢𝐟𝐚...
Wewe sio mwanamichezo
Siamini kama kuna mechi bora kana hii kwa miaka ya karibuni kwa level ya national team
Ingine ilikuwa sweeden vs Cech republic
Hatutamuona azuri huko mashariki ya kati...
Vumilieni tu kama ambavyo nasi pia mara kwa mara Mwenzenu Waziri wa Fedha Dk. Nchemba akiwa anatuchamba mpaka Kutudhihaki huwa tunavumilia na wala hatumfanyi kuwa ni Adui yetu kwani tunajua kuwa...
Kwa kuangalia analysis na game plan ya mchezo kati ya Asec vs Simba Coach Pablo alifeli sana katika mipango. Alijisahau kuitizama asec wakiwa na mpira wanakuwa na kasi ya ajabu huku sisi wachezaj...