Wana Yanga naomba mnifahamishe
Maana juz nlimuona mzee Nabi alikuwa zam na alikuwa anahangaika nao Sana,mzee wa watu had huruma jaman
Yanga mnateseka kwa kweli
Vip Leo Nan Yuko zam ili mzee Nabi...
Salaam.
Kwa wale wanaofuatalia AFCON kule Cameroon watakubaliana na mimi kuwa Cameroon wametuacha sana kwenye suala la viwanja vya kisasa.
Viwanja vyao viko vizuri ni level za Ulaya.
Je, sisi...
Tupo uwanjan mechi tuliambiwa tuwahi itaanza saamoja kamili lakn had mda huu Kuna sintofahamu
Au Africa ya kati hawajalipwa Chao mapema
Mtujuze mapema wengine tunakaa mbali Sana hapa mjini...
Ndani ya Masaa Matatu ya leo nimepishana na Mawakala Watatu Mmoja wa PSG ya Ufaransa, mwingine wa FC Barcelona ya Hispania na wa mwisho ni wa Klabu yangu pendwa ya Liverpool FC ya nchini Uingereza...
Wananchi Najua Mnajua Tutakachokifanya Kwenye Mechi Hizo Ni Rasmi Tutangaza Ubingwa Hapo Wale Wanaokaza Vichwa Na Kuleta Ubishi Wa Ukoo Na Matokeo Yao Ya Kimazoea Kila Msimu Wana Salamu Zao Kutoka...
Nalitazama Kundi C CAF CL, Jwaneng Galaxy ana Point 1 mpaka sasa na mechi 1 mkononi,Mamelodi Sundowns na Al Ahly Wana Nafasi Kubwa Ya Kupita.
Halafu,Natazama Kundi A, Timu mbili Za Sudan Hapo...
SIMBA WASIPOBADILIKA ni ngumu sana kuvuka kwenda Robo Fainali. Lakini Pia hata wakivuka wanakazi ya kufanya inaonekana mechi za away hawawezi kuzuia hili ni janga kwao.
Mimi niwashauri...
Niliwaamini akina Abdi Banda wa Mtibwa Sugar FC, Kelvin Yondan wa Geita Gold FC na huyu Bwege wa juzi Andrew Vicent wangenifanyia vyema hii Kazi yangu Maalum kumbe ndiyo Kwanza wakawa Wanawachekea...
Mbuzi na simba hatuwezi kaa zizi moja baada ya kuona hili [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Hatimaye nimejitoa naombeni kujua kadi ya uanachama wanairudisha wapi.
Kama tunataka maendeleo ya mpira nchi yetu basi tuzifute kwanza hiz timu mbili kwanza
Maana koch asipochagua mchezaji kutoka timu hizi anakuwa katka wakat mgumu Sana hata kama hawana viwango...
TFF wamekuja na utaratibu wa kushangaza kidogo
Sisi tunaoshangilia na kuipatia hamasa timu yetu ya taifa tunatakiwa kulipa VIINGILIO ila wale ambao hawashangilii Wala kutoa hamasa ndio hawatakiwi...
Siku chache kabla ya pambano la ugenini dhidi ya Asec Mimosas ,, boss mkubwa wa Simba Try Again anasikika akitamba kwamba Simba itasajili Wachezaji wanne wa kigeni mwishoni mwa msimu. Kipigo dhidi...
Miaka kadhaa iliyopita katika ligi za ulaya,hususani Uingereza, timu hazikuwa na afisa habari bali alikuwapo muandishi wa habari kutoka kwenye chombo cha habari, aliyeandamana na timu sehemu...
Leo mitaa yote iwe imekee kimya baada ya Simba kuchapwa bao 3 na Asec.
Kwa nini Wanasimba wanakuwa kama wamenyeshea mvua kila wanapokula kichapo?
Wakishinda ndio inakuwa makelele kila kona hadi...
Habari wanazengo,
Kuna kitu nimejaribu kukifanyia utafiti kuanzia kwenye level ya mimi binafsi,marafiki na jamii ya wapenda soka inayonizunguka na mwishoe nikapata jibu ambalo nimetamani kushare...
Points ( Alama ) Kumi ( 10 ) ambazo Simba SC imezidiwa na Yanga SC zitapunguzwa kwa Hesabu zangu hizi rahisi na ambazo nina uhakika nazo tema wa 100% kabisa....
Simba SC atamfunga Yanga SC...
Naona ile Barce ya kuanzia 2009 kama inarudi.
Ile Barca ya moto iliyomfanya Fergie atetema.
Naona leo Madrid anateseka mno.
Utawala wao unaanza kurejea.
Hatukatai.
Utani wa jadi ni sawa lakini wanasimba sasa mnavuka hadi mipaka ya ushabiki hiki mnachofanya ni vurugu kwenye soka.
Haiwezekani kosa mtupongeze wana Yanga kwa zawadi ya mchezaji wetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.