Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kuruhusu kumuita JK eti maazimisho ya Samia na kuharibu ratiba ya muda wa ligi na kuwatoa KMC kwenye mood ya mchezo sio jambo la haki. JK ni mwana Yanga sasa hapo ni sawa?
5 Reactions
66 Replies
3K Views
Nimeshuhudia jinsi Watu hao wawili wakijirecorf video namna wanavyouchezea mpira kwa danadana Tukianza na GSM huyu jamaa alipiga danadana vizuri na kuuuweka mguuni mpira vizuri Sana yaani inaitwa...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
habari za majukumu wanasoka wenzangu. leo tarehe 20/03/2022 majira ya saa 19:00 tunaenda kushuhudia mechi za raundi ya tano katika kundi D kombe la shirikisho Afrika. Ambapo msimamo upo kama...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu, Match ya leo ni saa ngapi Kwa saa za Tanzania? Maana mtandao unaonesha saa 19:00 na TBC Jana walisema unaanza saa 10 za kule ambapo Kwa Tanzania ni saa 11:00 jioni Je Kuna mwenye Muda sahihi?
0 Reactions
10 Replies
775 Views
Wajuba Coach & player celebrate a winning Results. . [emoji851] FOR THE LOVE OF THE GAME [emoji41][emoji460][emoji3544][emoji91] Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
301 Views
Jana tasnia ya soka ilishangazwa na timu ya Yanga kujiingiza kwenye siasa za vyama. Ninajaribu tu kuwaza nje ya box. Wote tumeshuhudia sakata la Makonda na GSM kutapeliana kiwanja. Je,nitakuwa...
4 Reactions
9 Replies
806 Views
Taarifa kutoka kwa Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya Simba ndugu Salim Abdallah (Try Again) ni kuwa Simba itasajili wachezaji wanne wa kigeni msimu ujao. Amebainisha nafasi za wachezaji hao...
5 Reactions
24 Replies
3K Views
Kwa nini tunapambana sana kumfanya Rais aipende Yanga? Tunajipendekeza kwa kiasi kikubwa mpaka wote tunadharaulika sana. Tunaonekana wote ni akina Manara. Toka Manara amekuja yanga tunaona jinsi...
4 Reactions
16 Replies
995 Views
Habari wanabodi Pasi na shaka, wapenda kabumbu wengi wanamfahamu au wamewahi kulisikia hili jina Dr Msindo Msolla na kwa mashabiki wa klabu ya Yanga au Simba wana mjua kama Mwenyekiti wa Club ya...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
SIMBA YATOA WAWILI KIKOSI BORA CHA WIKI CAF Hiki Hapa Kikosi Bora cha wiki Kombe la Shirikisho Afrika: 1. Zakaria Saidi (JS Soura) 2. Karim El Eraki (Al Masry) 3. Mohammed Hussein (Simba SC) 4...
20 Reactions
76 Replies
5K Views
Mara zote simba akiwa nafasi ya pili kwenye ligi maneno ya mashabiki wao ni "Nyie tangulieni na baiskeli za miti! Mwaka jana mlianza hivyo hivyooo baadae tukawapindua!" Simba anapokuwa anaongoza...
8 Reactions
22 Replies
3K Views
1. Kwenye mpira wa goal kick hakuna offside. U can't be Offside from a goal kick. 2. Goli halihesabiwi ikiwa mpira ulikuwa hauna upepo (Flat) wakati unapigwa. 3. Mwamuzi anaruhusiwa kukuonesha...
9 Reactions
80 Replies
5K Views
Salaam wakuu, Mimi sikujua hii mechi ni ya bongo hadi nilipoona bango la Azam. Je, ni Mechi gani? Goli kipa alificha nini golini? Huyo anayekimbizwa ni nani? Kwanini anakimbia?
2 Reactions
7 Replies
949 Views
Tangu kurejea kwa xavi pale Barcelona katika mechi 11 hajapoteza game hata moja,kipindi cha nyuma je shida ilikuwa kwa kocha,wachezaji au uongozi wa juu? Japo ronald koeman kuna kipindi alisema...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa wiki nyingine Goli la mchezaji kinda wa Simba Sports Club, Pape Ousmane Sakho linakuwa goli la wiki Skill Pace Finish 100%
14 Reactions
65 Replies
6K Views
Jamani anayejua alipo mchezaji wa zamani wa simba CHOLLO alikuwa full back ya kulia
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Ukiangalia namna wanavyopangwa Watangazaji wa Azam TV utaona kuwa Baraka Mpenja ndiyo Mtangazaji namba 1 hivyo hupewa mechi nyingi kubwa au zile zenye mvuto. Utaratibu huu pia upo kwenye Channel...
38 Reactions
68 Replies
12K Views
Namsikiliza hapa eti kwa sababu Taifa Stars inacheza kitu kinaitwa mini tournament basi haitambuliwi na CAf wala Fifa wakati iko kwenye week ya kalenda ya FIFA. What a waste HIVI HAYA MAMTU...
8 Reactions
26 Replies
3K Views
Kuna mdau wa Klabu ya Simba, ameweka mtandaoni ratiba hii ya michezo ijayo ya Simba akijumlisha ratiba ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Afrika inayoratibiwa na Shirikisho la Soka la Afrika...
7 Reactions
10 Replies
2K Views
Karibuni kwa mpambano huu wa kukata na shoka kati ya Simba vs As Vita Club utakaoanza muda mchache kutoka sasa.... Saa 1:00 usiku (Kwa mkapa) Timu zote mbili zinahitaji matokeo ya ushindi ili...
21 Reactions
1K Replies
122K Views
Back
Top Bottom