Haiwezekani kila baada ya mechi ya Simba tena wakifanya vizuri wao ni press tu na kwenye press hamna cha kuzungumzia zaidi ya mabadiliko na usajili wa wanachama.
Kama kuna shabiki wa Yanga...
Kila mchezaji duniani kote ana ndoto na anaomba ajiunge na timu ambayo inashiriki mashindano ya kimataifa, ili acheze mechi za kimataifa kwa lengo la kujinadi kimataifa aonekane kimataifa ili...
Mazingira ya soka yanabadilika sana kwa sasa kulinganisha na miaka 20 au 25 iliyopita.
Uhusiano wa kocha na wachezaji ulikuwa wa "kigumu". Kocha aliweza kumuweka mchezaji benchi na uamuzi wake...
Ikitokea Simba SC yangu ikashinda au hata tu kutoka Sare / Suluhu na RS Berkane Keshokutwa ( Jumamosi ) nitakuwa ni mwenye Furaha Kubwa kwani Lengo letu Kuu litakuwa limetimia hasa kwa Mechi za...
Henock inonga baka (varane) (electrical fence) ni sawa na
Abdul shaibu 19
Bakari Nondo Mamunye to 10
Kibwana shomali 40
Shaban djuma 19
Na ni 98℅ ya Raphael Varane mwenyewe alichomzidi huyu ni...
Hivi nikisema huyu ndo namba tatu bora wa muda wote katika ligi kuu ya Tanzania bara nitakuwa nimekosea? Huyu jamaa amecheza kwa kiwango bora kwa misimu karibia kumi mfululizo, amecheza timu ya...
Muda mchache ujao, wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Caf Confederation Cup, Simba SC atashuka dimbani ugenini nchini Niger, kumenyana na wenyeji wao, US Gendermerie katika dimba la...
Katika siku ambayo Dauda ameongea maneno ya hekima na busara basi ni jana YANGA kuna haja kubwa ya kujifunga kutoka kwa watani zenu
"Kuna wakati wengine wakae na Viongozi wa Simba mnajadiliana tu...
Ufuatao ni Mjumuisho wa Kauli yake Moja tu aliyoitoa kila alipokuwa akihojiwa kuhusu Maoni yake juu ya Rufaa ya Yanga SC dhidi ya Wakili Msomi Raia wa Ghana Bernard Morrison aliyewamwaga Utumbo...
Here is my 3 hours workout on jersey design. What is your comment about this design? let me know.
#jerseydesign #simbasportclub
#graphicsdesign #creativity
MFAHAMU MTOTO. ALLY KIMARA KWA UFUPI.
Ally anamiaka 11 (anatimiza mwezi wa nne) mwaka huu,
Ameanza kuugua akiwa na umri wa miaka miwili na miezi minne (2.4) Mama ake anasema ilitokea ghafra...
Lengo kuu la hili bandiko langu humu jukwaani, ni kukuomba tu kwa heshima na taadhima! Mheshimiwa Rais kuangalia namna ya kuvirejesha kwenye Halmashauri zetu baadhi ya viwanja vya michezo nchini...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe.Mohamed Mchengerwa amesema Tanzania haiwezi kupiga hatua kwenye sekta ya michezo, iwapo itashindikana kuboresha miundombinu ya michezo, ujenzi wa viwanja...
WanaYanga nadhani kesho ni muda wakuonyesha mshikamano wenu kwa kuwasindikiza Rs Berkane hata Kama wamefungwa wasindikizeni tu maana mliwapokea kwa shangwe
Ukiangalia wachambuzi wa super sport huwa wanakuwa wapo neutral kwanzia anayefanya marejesho ya video hadi wachambuzi na kuchambua kila aina ya tukio kwa kufuata sheria za soka kwa marejeo ya...
Haimbwi sana na mashabiki, haongelewi sana na vyombo vya habari,labda kwakua yeye ni Mtanzania,Watanzania hatuna tabia ya kusifia vya kwetu,au ndo Nabii hakubaliki kwao?
Itoshe kusema kua huyu...
1.Fiston Abdoulrazack alisema wachezaji wa Simba walionekana hawana akili kwa sababu hawajui hata kujiposition
Je wachezaji wa Berkane walijua kujiposition kwa mkapa?
2.Edo Kumwembe na Ambangile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.