Timu bora siku zote huwa na wachezaji bora wa akiba. Baadhi ya makocha huangalia utayari wa mchezaji aliyepo benchi wakati mechi inaendelea. Miongoni mwao vitu wanavyofatilia ni;
Timu yake...
Kijana wetu Kibwana kapata injury, hachezi lakini Yanga haijakata moto wa wimbi lake la ushindi kila moto. Hii sio hali nzuri kwa mchezaji yeyote duniani.
Kibwana amepata nafuu karudi kundini...
Joel Jaffer A’ita amekuwa gumzo baada ya kuwasilisha ombi la kuinunua Klabu ya Soka ya Chelsea inayoshiriki Ligi Kuu ya Uingereza.
Mhandisi huyo wa Ujenzi ambaye ana Shahada ya Kwanza kutoka Chuo...
10 September 2021
Kigali, Rwanda
Tanzania imeshindwa kulipia ada ya dola za kimarekani US$ 1,000 zilizotakiwa kulipwa kabla ya kuruhusiwa kushiriki mashindano makubwa ya Afrika ya mchezo wa...
Gary Neville aliwahi sema Liverpool hebebi ubingwa na kama akibeba ubingwa wa ligi ataenda Papa new Giunea.
Liverpool akapindua meza na Akasafiri baada ya kukiri Liverpool made the difference...
Ukifuatilia msimamo ulivyo katika Kundi D utakubaliana na mimi kuwa Simba SC ndiyo itakayokuwa ya kwanza kutinga hatua ya robo fainali katika kundi lake.
Katika kundi hili Simba na Asec Mimosas...
Huu ni mtazamo wangu kuhusu kikosi changu Bora cha mzunguko wa kwanza NBC premear League
1: Djigui Diara
2: Djuma Shabani
3: Mohamed Hussein
4: Henock Inonga
5: Bakari Mwamnyeto
6:Yanick Bangala...
Natumai ni Wazima Wote Hapa..!
Ufuatao ni mtazamo wangu kuhusu Kikosi cha kwanza cha Wachezaji na Benchi la Ufundi kwenye NBC Premier League msimu huu wa 2022 kwa mzunguko wa kwanza na baada ya...
Tusipo tengeneza mpira mzuri hapa tanzania basi hakuta kuwa na utofauti ya kuwapa kipaumbele kama wasanii wawili wanao shindanishwa kwa maslahi binafsi.
Mpira wetu wa hapa bongo kwenye vilabu...
kutokana na mapito inayopitia na dozi ya sonona inayogawa kwa mashabiki wake naomba hii timu nayo iongezwe TU kwenye kundi la WATU MAALUM yaan special group Kama walemavu wajane na watu watu wa...
Najua timu karibu zote zilifanya usajili.
Hasa hawa wanakariakoo walivimbishiana sana.
Simba ilijidai na chama.
Yanga nao walijidai na Nkane, Chiko na yule nyanda waliyedhurumu Manungu.
Je...
Hii imethibitisha katika mechi ya Simba vs Dodoma jiji.
Kila Zama na wakati wake , kipindi chake kimeisha, pia na umri umemtupa mkono wa kuendelea kumuamini.
Mechi ijayo na RS BERKANE kocha...
Tumechoka na wachambuzi maandazi wa soka hapa bongo!! Utakuta mtu hajaweahi hata kucheza mpira ligi yoyote, anatokea kuwa eti mchambuzi wa soka huku akiwakosoa marefarii waliosomea kazi yao...
Inasikitisha sana wachezaji wetu wanaoimbwa kila siku kwamba ni wakali hawajamfikia hata mpole japo anacheza kwenye timu dhaifu ila ana goli 8, .
kina sakho sijui chama hawapo hawajafikisha hata...
Ahlan wa sahlan
Wakati ulimwengu ukifurahia kuwaona wachezaji magwiji wawili walioitikisa dunia ,namaanisha Mreno Sir Cristiano Ronaldo na Sir Lionel Messi, tunasahau kuwa hakuna kocha aliyewahi...
Kushangilia ni jambo zuri kwa ufungaji wa goli, lakini sasa huu muda unaotumiwa na mchezaji wa timu ya Yanga Mayele pindi afungapo goli na kuanza kuwaita wenzake waanze kushangilia naona kama ni...
Baada ya hapo jana mshambuliaji wa kimataifa wa Yanga kutoka DRC, Fiston Kalala Mayele kuzawadiwa ng'ombe mwingine na mashabiki huko Mwanza, ni wazi sasa viongozi waanze kutafuta mchele, kwani...
Muda mchache ujao, mabingwa wa nchi Simba Sc watashuka dimbani kuwakaribisha Dodoma Jiji katika dimba la Benjamin Mkapa.
Ungana nasi hapa kwa updates..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.