Binafsi nimeshatonya nini kinaendelea dhidi yake na alifanya nini huko ( kule ) Niger ila nyie mnaficha na Kufanya Siri ili tu kutozua Taharuki kwa Mashabiki na Kuwagawa Wachezaji.
Kwa Kujiamini...
Pale mlipoweka Kambi Kibaha wachezaji hawako salama. Hakuna ulinzi,basi lenu mnapolipaki pale shuleni linaonekana wazi. Unaingia pale lodge unakutana na wachezaji na unaongea nao bila shida, sasa...
Huwa najiuliza hii misamiati inayotumika katika uchambuzi hutumiwa na wachambuzi "kiufundi" na "kimbinu" au kama misemo ya msimu tu. Mfano neno "mikimbio" karibu kila mchambuzi alikua analitumia...
Ukiujua Mpira wa Bongo (Tanzania) na Janja Janja yake ni raha sana.
Pongezi sana Kocha wa Mtibwa Sugar FC Salum Mayanga kwa Kuwaanzisha Wachezaji wabovu ila baada ya Yanga SC kufunga Goli la Pili...
Salam kwenu wanaJf
Natumai muuwazima wa afya njema kabisa na natumai Jana wengi wenu mlipata wasaa wakuangalia mechi ya Simba vs Biashara United pale kwa mkapa, kwenye hiyo mechi macho yangu...
Nimemsikia Thobias Kifaru msemaji wa mtibwa sugar akidai deni lao kwa Yanga kuhusu abdalah Msheri kama mtu mwenye sonona na aliyekata tamaa.
Wakati wanauziana mchezaji hawakuuzina kwenye vyombo...
Kama umekasirika na Unabisha haraka sana hapo ulipo nitafutie Klabu nyingine ukiiondoa ya Simba SC yenye Cheo cha Meneja Mawasiliano na Habari.
Kuna Klabu moja ( ya Ligi Kuu ) siikumbuki Jina ila...
SAKATA LA MTIBWA DHIDI YA YANGA
🔋 Wakati Yanga wanakubaliana uhamisho wa Kinda Abou Msheri kutoka Mtibwa, walitaka kulipa ada ya uhamisho kwa mikupuo miwili (installments)
🔋Mtibwa walisema wazi...
Wakuu
Kwa wanaofuatilia Sakata la Chama alipokuwepo Tanzania mwanzo na alipoondoka kwenda RS Berkane, kisha Aliporejea Tanzania na sababu zilizotolewa kurudi na uhalisia wa utumikaji wake kule...
Japo ni mwana Simba SC lia lia ila kwanini nawapenda Yanga SC ( hasa Kiuchezaji ) ni kwamba Wachezaji wao hata kama wameshinda lakini muda Wote wa Mchezo wanakuwa very committed kutaka Ushindi...
Wajuzi wa sheria za soka naomba msaada wenu.
Leo kwenye Mechi Kati ya Kagera Sugar na Namungo mchezaji wa Namungo Hamis Faki ameingia uwanjani dakika ya 89 kuchukua nafasi ya mwenzake aliyetolewa...
Kocha wa Chelsea, Thomas Tuchel amekiri kuwa ana hofu kuwa kuna uwezekano wa wachezaji ambao wanaelekea kumaliza mkataba klabuni hapo wanaweza kuondoka mwishoni mwa msimu huu.
Hatua hiyo inakuja...
Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF, Wallace Karia kwenye semina iliyofanyika jana, amesema kuwa katika watu ambao hawautendei haki mpira wa Tanzania ni Wachambuzi wa mpira...
Je, Wallace Karia yuko sahihi kusimamisha Ndondo Cup? Kwa maoni yangu sidhani kama yuko sahihi.
Kwa kutumia ushabiki wa Simba na Yanga kuna wanao mkubali Shaffih Dauda na kuna wanaomkataa ila...
TIMU ya Taifa ya Pooltable Waanaume imeanza vyema mashindano Afrika kwakuwafunga majirani Kenya 13-9 katika mchezo wake wa kwanza wa mashindano hayo yaliyoanza leo Nchini Zambia.
Mashindano...
Na Thadei Ole Mushi.
Watanzania ni wepesi sana wa Kudanganywa. Jana niliandika kuhusu IQ zetu kuwa chini leo tena tumedanganyika.
Kupitia Ukurasa wa Mfadhili wa Simba Mo Dewji ameweka Poster...
Kwa tunaofatilia soka tangu zamani, Fiston Mayele haingii hata robo kwa Kipre Tchetche aliyekuwa striker wa Azam Fc kutokea Ivory Coast.
Kipre Tchetche alikuwa analijua goli bhana. Alikuww na...
Rais wa TFF, Wallace Karia amesema ligi za Mkoa wa Dar Es Salaam zimekosa mvuto na umaarufu kwasababu ya michuano ya Ndondo Cup ya Clouds Fm.
Pia akaenda mbali zaidi kwa kusema, Ndondo Cup...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.