1. Wanafunz wa kidato cha tano wanauliza kuwa tangu waanze form one mpaka walimaliza Form Four hawajawahi kuona Yanga unachukia ubingwa!! Weng wao wanashaur ishuke daraja,je mnawaambia nn Hawa...
Mpaka naogopa Mimi sasa, mechi ya Azam vs Biashara United ilichezwa wakati Simba Iko kwenye majukumu ya kimataifa. Kesho Simba inacheza na Biashara United. Leo Azam tv inafanya marudio ya mechi...
Yule kocha asiye na vyeti aliyeajiriwa kwa bahati mbaya na Simba na baadaye kumtimua baada ya kumstukia , Amefungashiwa virago na timu ya Taifa ya Mauritania iliyomsitiri kwa muda .
Da Rosa...
Billionaire wa Misri, Loufty Mansour ameonyesha nia ya kuinunua Chelsea Football Club.
Hii ni baada ya mmiliki wa sasa wa klabu hiyo, Billionaire wa Urusi Roman Abramovich kuthibitisha nia yake ya...
Baada ya sintofahamu ya siku chache katika umiliki wa mali zote ambazo zinamilikiwa na tajiri wa Kirusi zilizo nje ya Urusi, tajiri huyu aliamua kwanza kujiweka pembeni kabla ya jana kutangaza...
MTIBWA SC WATOKA MAFICHONI, WADAI YANGA HAWAJAWALIPA PESA YA MSHERI
"Yalifanyika makubaliano ya pande mbili tukiamini Yanga ni watu wazima na watatelekeza mkataba unavyosema, lakini mpaka sasa...
Kwenye hili sakata la Mtibwa Sugar na madai yao juu ya Msheri kwa Yanga...
Sakata lilianza jana jioni kwenye sports Court PAUL MKAI akiwa na GEORGE AMBANGILE(Mchambuzi Bora kwa sasa)...ikiwa...
Baada ya China kupata nafasi ya kuwa mwenyeji wa Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing, michezo ya majira ya baridi ya walemavu imeendelezwa kwa kasi nchini China.
Katika...
Mwishoni mwa 2021 wanaharakati wa A-Town walianzisha WhatsApp group iitwayo "MAPINDUZI YA RIADHA TANZANIA" group hilo limejaa vichwa vikali vyenye ujasiri mkubwa wa kuhoji na kuchalenji.
Pamoja...
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na mchakato wa mabadiliko katika uendeshaji wa vilabu vya Simba na Yanga. Miongoni mwao mabadiliko hayo ni umiliki wa vilabu hivyo. Ni jambo zuri na la kupongezwa...
Mtingisheni huyo huyo Rais wa TFF Wallace Karia ( ambaye nilikuwa namheshimu ) lakini sasa nimeanza Kumdharau ila siyo Sisi Werevu SC (Simba SC) kwani hakuna mtakachokipata Kwetu.
Tunajua kuwa...
Toka raundi ya pili imeanza, Yanga ameambulia point 7 kati ya 18 katika michezo 6 ambayo wamekwishacheza.
Simba tunaomba msitutanie kwenye hili, sisi Yanga tunakwama wapi jamaniiiii?
Desemba mwishoni mwaka jana, Klabu ya Yanga ilimtambulisha kipa Abdultwalib Hamidu Mshery kuwa imemsajili kutoka Mtibwa Sugar kuwa mchezaji wao.
Mshery akaingia na kufanikiwa kufanya kweli...
FIFA na UEFA wamepiga ban vilabu na timu ya taifa ya Urusi kushiriki mashindano yao. Je, hatua kama hii ni sahihi kwa chombo cha kimataifa kinachohubiri neutrality kama FIFA? Mbona hawakuiban...
Kuna wachezaji mashuhuri ambao hawajawahi kushinda Uefa Champions League (UCL). Mfano wao ni kama Buffon, Zlatan, Ronaldo De Lima, Michael Ballack, Michael Owen nk
Halafu kuna wachezaji ambao si...
Nakubaliana kwamba huwezi uwe na ma-striker aina ya Boko, Kagere, na Mugaru, halafu tena utake kuchukua klabu bingwa au shirikisho. Huko ni kujenga gorofa wakati huna pesa.
Lakini hutafanya hivyo...
Kutana na Bwana Keppa aliyeingia dakika ya 119 akichukua nafasi ya Mendy ili akadake Penalties.
Mwisho wa mechi amefungwa Penalt zote 11 na akapaisha Penalt ya mwisho[emoji16]
Msimu huu kuna wachezaji wamekiwasha hasa, viwango vyao vimetakata mno japo hawachezi timu kubwa kama Liverpool, Man City, Man Utd, Arsenal, Spurs na Chelsea.
Leo tuwataje wachezaji tunaowakubali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.