Haya wale wachambuzi wetu, wataalam wa soka la Ulaya, tuambiane nafasi ambayo Kiungo mpya wa Man Utd kutoka Ajax ataaenda kucheza? Je, atachukua nafasi ya nani? Je, anaweza akaleta balance kwenye...
Kocha wa Man City, mwalimu Pep Guardiola amesema kuna wachezaji wanafanya timu ziweze kucheza vizuri lakini hawaimbwi sana kwakuwa hawapo kwenye takwimu nzuri za kuvutia yaani magoli au assist...
Habari za weekend wakuu,
Ni siku nyingine tena natumai ni wazima wa afya na mnaendelea na majukumu ya kila siku vizuri pamoja na walio mapumnziko.
Wakuu Kuna hili tatizo linalojirudia la huyo...
Muda mchache ujao, kutakuwa na mchezo mkali kati ya Mtibwa Sugar Vs Yanga Sc
Mchezo huo unategemewa kuvuta hisia za mashabiki wengi, kwani Mtibwa anaonekana kama mgumu akiwa uwanja wa nyumbani...
Hii ndio taarifa iliyosambazwa na shirikisho la soka la nchi hiyo , kwamba Song sasa ndio kocha mpya !
Ukweli ni kwamba achilia mbali kwamba uzoefu wa Song kwenye ukocha unatia shaka , lakini...
Ni muda sasa huyu mwamba hajaonekana uwanjani na taarifa zake mpaka sasa hatuzijui anaendeleaje!
Kukosekana kwake ni pengo kubwa sana kwa timu ya Taifa ya klabu, namaanisha wekundu wa Msimbazi Simba.
SERIKALI IMERIDHISHWA NA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA MICHEZO INAYOTEKELEZWA NA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF)
Serikali inaridhishwa na kuthamini hatua zinazochukuliwa na Shirikisho...
Gwiji wa Brazil Pele ameruhusiwa kutoka hospitalini baada ya kupata matibabu ya uvimbe na maambukizi ya mfumo wa mkojo.
Mshindi huyo Kombe la Dunia kwa mara tatu, mwenye umri wa miaka 81...
Habari,
FIFA na UEFA zimevifungia vilabu vyote vya mpira wa miguu vya Urusi kushiriki katika michezo.
Zimevifungia kuanzia ngazi ya vilabu hadi kimataifa na kuzuia kushiriki kombe la dunia 2022...
Kwanini......?
1. Kiufundi Uwanja wa Uhuru ni mdogo hivyo utawapa Changamoto akina Gendamarie na Berkane wanaopenda na waliozoea Viwanja vyao Vikubwa huko Kwao Niger na Morocco hivyo Kuwafunga...
Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) na Shirikisho la Soka la Ulaya (UEFA) kwa pamoja wametangaza kuzifungia timu zote za Urusi katika michuano ya kimataifa kuanzia ngazi ya klabu hadi timu za...
Sisi sote tumejionea perfomance ya anayejiita klabu bora 19 barani afrika.
Sijui umenielewa?
Yaani nawazungumzia wale walio leta orodha kuwa na wao wamo ndani ya klabu 10 bora barani afrika...
Teknolojia zimetoa mchango mkubwa kwenye mapambano ya China dhidi ya janga la virusi, hasa kwenye kipindi ambacho inakuwa mwenyeji wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing.
Vyoo vya...
Makolo hasara kwa taifa, naomba watoe lile neno la visit Tanzania.
Haiwezekani timu tumeituma kuwakilisha taifa wanachezewa Kama vile
Aibu zilizotokea Leo kwa makolo
Shoot kipindi cha Kwanza...
“Tunarudi kwetu sasa.... Nyumbani kwetu na sisi... Kwenye ufalme wetu
“Save the date MARCH 13 2022,🔥🔥
“Siku ambayo Rs Berkane watavuta pumzi ya moto, siku ambayo Berkane wataiona Simba halisi...
Leo majira ya saa 4:00 Usiku, RS Berkane watakuwa wanawakaribisha Simba Sc katika mchezo wa tatu wa CAF Confederation Cup katika dimba la Stade Municipal de Berkane, nchini Morocco.
Katika mchezo...
Heshima kubwa sana kwa Air Manula moja kati ya golikipa bora Afrika.
Mechi ya jana bila Manula tulikuwa tufe nyingi sana. Tazama shots on target.
Aish Salum Manula Goli Kipa Namba Moja Wa Klabu...
NBC Premier League leo kwa mechi moja ya kiporo. Ni Kagera Sugar watakuwa uwanja wa nyumbani kuwaalika mabingwa watetezi Simba SC.
Je, ni Kagera ama Simba SC nani kukila kiporo hiki?
Mechi hi...
Wajumbe wa Bodi ya Udhamini wa Klabu ya Chelsea, bado hawajakubali maombi ya bilionea na mmiliki wa klabu hiyo, Roman Abramovich kuhusu kukabidhiwa majukumu ya kuiongoza timu huku yeye akibaki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.