Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Bondia wa Tanzania, Tony Rashid alipigwa na Bongani Mahlangu (Profesa) mwaka jana na kuporwa mkanda. Leo Februari 25, Tony Rashid ameomba pambano la marudiano ili arudishe heshima... Nini...
5 Reactions
24 Replies
4K Views
Jana usiku katika pitapita zangu bar zote za Moshi zilikuwa zimefurika ilivyo kawaida. Nikaambiwa wengi wao ni wageni wamekuja kwenye mbio za kila mwaka maarufu kama Kilimanjaro Marathon. Sasa...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Akiwa katika muendelezo wake ule ule kwa Kuichukia Simba SC, Kuizodoa Simba SC na hata Kuichafua kwa kila namna Simba SC kwa Gharama za kuwepo katika Payroll ya GSM na Mahaba yake niue kwa Klabu...
12 Reactions
20 Replies
3K Views
"Heshima kwa timu pinzani" au "kuwapa heshima wapinzani", mara nyingi kauli hizi hupewa uzito sana na wachambuzi wetu pindi timu ndogo inapokutana na timu kubwa. Na kwa asilimia kubwa...
1 Reactions
3 Replies
578 Views
Huyu kijana alidundwa nchini Tanzania , sasa nashangaa tena eti Re match inapigwa tena Tanzania ! kwani mpinzani wake hana nchi ? Au ni lazima tuvunje mayai njia panda ili tushinde ? Jifunzeni...
3 Reactions
41 Replies
2K Views
Lusajo (Namungo FC ) mwenye Goli 10 ila hana Mbwembwe na Kwake ni Kawaida na Mayele mwenye Goli 7 tu ila Mbwembwe Tanzania nzima? Nasubiri Majibu yenu huku nikijiandaa kuendelea kuiletea Heshima...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Walitegemea sana yanga ingedondosha point kwa Coastal union. Police Tanzania, Mbeya city, Azam fc na tegemeo la mwisho likabakia Manungu stadium lakini tumeshuhudia wananchi wakiondoka kifua...
9 Reactions
24 Replies
2K Views
Ijumaa hii,25 feb 2022 wanarudiana tena..ikumbukwe pambano la kwanza Tony alipigwa. Sasa sijui safari hii anatuwakikisha vipi Watanzania
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wapenzi wa michezo. Serikali inasema kuanzia mwaka ujao wa Fedha itaanza kujenga viwanja mikoani na itaanza na mikoa 10. Ni jambo jema,sasa swali je hivi viwanja vitakuwa na standards za...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari. Mechi imekuwa ya moto kweli kweli toka dakika ya kwanza kwa timu zote mbili. Hakika kwa kandanda hili lenye kasi na accuracy ya pasi za uhakika. Hadi sasa Al Ahly amepata goal la...
5 Reactions
45 Replies
5K Views
Mchezaji wa kimataifa kutokea Ubelgiji aliyepata umaarufu mkubwa kwa kujifunga magoli matatu (hat-trick) ndani ya mechi moja Stan van de buys aliyekuwa akiichezea timu ya Germinal ekeren. mnamo...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
Leo nina mood ya kusema jambo kwa wanaopenda kubet wazee wa mikeka. Betting nayo ni uraibu kama uraibu mwingine tu kama wa madawa ya kulevya, pombe, ngono nk. Ila kwenye betting ndio unakuwa...
6 Reactions
22 Replies
5K Views
Ratiba ya Kombe la Azam hatua ya robo fainali imetoka: 1. SIMBA VS PAMBA 2. YANGA VS GEITA 3. AZAM VS POLISI 4.COASTAl VS KAGERA NUSU FAINALI: Mshindi: SIMBA VS PAMBA anacheza mshindi: YANGA VS...
5 Reactions
30 Replies
4K Views
Tukitaka kukuza soka la Tanzania tunapaswa kucheza na kushinda kwa haki . Hii game ya Mtibwa vs Yanga ni kama ya kimchongo kabisa yaani , magoli yaliyofungwa mbona ni laini sana! inakuwaje Mtibwa...
11 Reactions
118 Replies
6K Views
Nadhani labda sababu ya kutafuta maisha au labda ni kingine ili tucheze soka muda mrefu Sana sijui.. Week iliyopita kulikuwa na mashindano ya soka kwa vijana wa mashule Africa chini ya miaka...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Kutokana na mwendelezo wa baadhi ya watu kutumia 'graphics' za Baraza la Kiswahili Taifa (BAKITA) na kutumia kuweka maneno yao kisha kuandika maana potofu katika Lugha ya Kiswahili, baraza hilo...
4 Reactions
33 Replies
7K Views
Wale wazee wa busara waliopanga kwenda kwa mama wanasemaje sasa? Wale mashabiki isipokuwa wawili tu waliosemwa wana akili, bado wana kiu ya kwenda kudeka kwa mama dhidi ya waamuzi?
2 Reactions
10 Replies
783 Views
Klabu ya Dodoma Jiji ya jijini Dodoma imeachana na kocha wake mkuu, Mbwana Makata kuanzia leo Jumatano Februari 23, 2022. Taarifa iliyotolewa na klabu hiyo imeeleza kuwa hatua hiyo imefikiwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mechi inaendelea mda huu lakn jamaa ashatia kamba mbili na kuipatia timu yake uongoz wa bao 2 Utopolo hamkawii kusema jamaa ni flopp Mtibwa tunawasubiri kwa hamu Sana najua sare yoyote hapo...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Back
Top Bottom