Habarin za jion wana sport na heri ya sikukuu ya Eid.
Labda niende moja kwa moja kwenye point nimejaribu kugoogle lakin sijaridhishwa na majibu yao. Nakua naona watu wanauza odds na kunakuwa na...
Picha: Arno Buitenweg akisalimiana na mwenzake
KIKOSI cha Simba kilichokuwa uwanjani mjini Niamey, nchini Niger usiku wa Feb 20 ilipokuwa ikimalizana na US Gendermarie, kinajiandaa kuanza safari...
Mchezaji wa zamani wa Barcelona, Real Madrid, Chelsea, Everton na timu ya taifa ya Cameroon, Samuel Eto'o Fils amesema kwake yeye Okocha alikuwa na uwezo zaidi ya Ronaldinho.
Tulichokiona...
Baada ya ujio wa Taarifa ya TFF kuhusu mawakala wanaotambulika nimeona watu wanakuja na umeneja vs uwakala
HEBU TUPENI ELIMU JAMANI.
Ila je umeneja ni mtu ama taasisi?
Je, TFF inautambuaje...
Picha inayoonyesha mazingira ya Uwanja wa Manungu mkoani Morogoro ulivyo, uwanja huo utatumika kwa ajili ya mchezo wa Mtibwa Sugar dhidi ya Yanga, leo Jumatano Februari 23, 2022.
Mchezo huo wa...
Historia au Biography yake...
John Stephen Akhwari was a Tanzanian distance runner who ran the marathon at the 1968 Mexico City Olympics. He is best remembered as a subject in a Bud Greenspan...
Salaaam Wana JF...
Kwanza kabisa tujikumbushe kuwa JOHN BOCCO alikuwa ni mfungaji Bora wa msimu uliopita.
Kinachonishangaza ni kwamba msimu huu ni mechi ya 15 kwa KOLO kucheza lakini...
Picha: kocha, Mwinyi Zahera
Mapema leo Jumatano Februari 23, 2022 uongozi wa Coastal Union ya Tanga ulikuwa na kikao cha kukamilisha dili hatua za mwisho ili kuwa kocha wao kuchukua nafasi ya...
"Sanaa ya Uandishi" ni neno nililolisikia siku chache zilizopita baada ya tukio la kupigwa mashabiki kiwanjani walipoenda kwa kusudi la kutazama mchezo wa soka.
Baadaye kilichofuatia ni tamko...
Habari Wadau,
Pilika Pilika za Hapa na Pale Zimefanya Tupoteane Humu Ila Tupo Pamoja.
Nikiri Wazi Kuwa Nimeufuatilia Mpira Wa Afrika, Afrika Mashariki na Tanzania Kwa Muda Mrefu na Nikafuatilia...
Wafanyakazi na wanaojitolea zaidi ya elfu mbili wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing wamepiga picha ya pamoja ya ukumbusho tarehe 21 mwezi huu katika Uwanja wa Michezo wa Taifa...
Wakuu, nimepitia magazeti haya ya leo mtandaoni The Daily News, The Guardian, Mwana Spoti, Habari Leo, Nipashe, Majira, Uhuru, Jamvi la habari, Raia Mwema na Wamachinga upande wa michezo na kukuta...
Nimetokea kuwa msikilizaji wa Radio ya E-FM hasa kipindi cha michezo kuanzia saa tatu asubuhi.
Hii imetokana na umahiri wa uchambuzi wa soka hasa wa Jemedari Said Kazumari angeongezeka na Amri...
Wafanyakazi wanaohudumia Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing kwa karibu mwezi mmoja walifurahia kwa kucheza kwenye theluji kwa mitindo mbalimbali tofauti katika uwanja wa mashindano...
Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing imefungwa kwa mafanikio makubwa. Beijing ambao ni mji wa kwanza ulioandaa Michezo yote ya Olimpiki ya Majira ya Joto na ya Baridi duniani, kwa...
Baada ya hukumu ya mchambuzi nguli wa masuala ya soka na michezo Tanzania Bw Shafii Dauda Al Maarufu Kama Digala kua amefungiwa kujihusisha na masula ya michezo kwa muda wa miaka mitano kutoka kwa...
Kumbe Rais Mpya wa TFF (mtarajiwa of course kama wajumbe wana akili) ni mdogo wake Dioniz Malinzi. Kwaiyo Mwenyekiti wa BMT na Rais wa TFF wote ndugu moja.
Ila tukiacha masihara wagombe wote...
Team ya taifa ya chini ya umri wa miaka 16 ya DR Congo imeibuka bingwa wa mashindano ya CAF ya vijana chini ya miaka 16 (U16 Africa Youth/Schools Tournament) baada ya kuifunga Senegal kwa goal...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.