Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Habari za mwaka mpya wakuu, poleni na majukumu ya kujenga taifa letu nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania. SET PIECES TATIZO KWA SIMBA : kwenye mchezo wa mpira inafahamika kama...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Ndio nimeshtuka hapa, Simba wanashangilia huku mashabiki wa Yanga wakiwa wamenuna baada ya Kagera Sugar kufanya yao. Nilitamani hii ndoto iendelee ila ndo nimeshtuka sasa hivi! Wataalam wa ndoto...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Habari, Muda umekaribia kutazama soka safi kutoka kwa Mabingwa Wa Kihistoria Nchini waliomaliza mzunguko wa kwanza bila kupoteza mchezo wowote na leo wanawakaribisha Kagera Sugar. Mchezo...
4 Reactions
323 Replies
53K Views
Ogopa sana Kifaru mwenye Hasira Kali za Kujeruhiwa aliyemkuta Simba aliyebweteka kwa Kujiamini baada ya Kushiba kiasi kwa Kitoweo dhaifu cha Misitu ya nchini Niger.
9 Reactions
30 Replies
2K Views
Nimetoka kuangalia mechi ya mtoano, Kombe la Shirikisho la Azam muda si mrefu kati ya Tanzania Prisons vs Polisi Tanzania, na ambako Polisi Tanzania wamefanikiwa kusonga mbele kwa ushindi wa goli...
7 Reactions
28 Replies
2K Views
Kila anayeangalia soka inayochezwa kwenye uwanja huo aweza kuwa shahidi, hata mvua isiponyesha soka halichezeki, unaweza kudhani ni njia ya ng'ombe, Kwetu Kyela njia ya ng'ombe ina jina lake...
2 Reactions
7 Replies
952 Views
Tajiri wa kirusi Roman Abromavich anayemiliki club ya Chelsea ya England ameikabidhi timu hiyo kwa Bodi ya wadhamini kufuatia vikwazo vya kiuchumi ilivyowekewa nchi yake. Source: BBC ----...
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Watanzania huko Moshi Kilimanjaro Kesho ni washerekeaji tu wa Kilimanjaro marathon . Hawana uwezo wa kupata zawadi Hata moja. Wakenya ninasikia wamekuja wengi wamelala tayari kuanza bio Kesho...
5 Reactions
24 Replies
3K Views
Mwanariadha wa kimataifa Emanuel Giniki ashinda Mbio za Kilimanjaro Marathon kwa Nusu Marathon (21K) kwa kutumia Muda wake mzuri Sana (Personal Best) wa 1:00:34 , akifuatiwa na Gabriel Gerald Geay...
3 Reactions
3 Replies
845 Views
WAINGEREZA huwa wana msemo wao ‘Falling from the grace’. Kiswahili chake kinaweza kwenda na mfano. Yaani mfano wa mwanadamu aliyekuwa na nguvu za kubeba magunia matatu kwa wakati mmoja inapofika...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mamelody sundowns pamoja na kupaki kwao basi dhidi ya mabingwa na magiant wa Afrika AL AHLY, pamoja na yoote haya mamelody akaibuka na point 3 dakika za lala salama 🤣 Kiukweli inasikitisha sana...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Leo nimetazama mechi ya klabu bingwa Africa kati ya Al Ahly vs Mamelodi sundowns hawajavaa logo yeyote ya mdhamini mkuu wa mashindano yaani CAF,je?logo hizi wanavaa tu baadhi ya timu ama kuna...
1 Reactions
2 Replies
683 Views
Hiki ni kikosi bora mzunguko wa kwanza mpaka sasa tumeingia mzunguko wa pili. Djgui diarra djuma shaban kibwana shomary Dickson job bakari mwamnyeto Litombo bangala aucho feisal salum...
14 Reactions
17 Replies
1K Views
Amekuwa na ugomvi katika nafsi yake kutokana na kuchambua matukio ya timu anayoichukia kishabiki sana hadi kutoka nje ya ukweli jambo linalofanya atukanwe sana mitandaoni. Sasa anajaribu kuwajibu...
2 Reactions
8 Replies
726 Views
Huu ni upoyoyo mkubwa sana. Simba ikifungwa na mchezaji yeyote anataka kumsajili. Ni rekodi ya pekee haijafanywa na timu yoyote duniani. Tumieni akili
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Jana kulikuwa na mechi ya CAF Champions League #CCL baina ya klabu mbili (zote kutokea Angola), GD S. Esperanca dhidi ya Atletico Petroleos. Hii ilikuwa mechi ya kundi D ambapo "mwisho wa siku"...
2 Reactions
9 Replies
639 Views
Rafael Nadal has reached the third round of the Australian Open at Melbourne Park Rafael Nadal has reached the third round of the Australian Open at Melbourne Park Baghdatis and Nadal shake...
0 Reactions
89 Replies
6K Views
1. Rostar Ndunguru 2. Frank Kasanga Bwalya 3. Salum Kabunda Ninja 4. Idi Seleman Kibode Nyigu 5. Kenneth Mkapa 6. Said Mwamba Kizota 7. Fikiri Magoso 8. Willy Martin Scania 9. Bakari Malima Jembe...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Haya kwangu ni sawa na maajabu ! Waliojitoa wanabembelezwaje tena warudi ?
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Unajua, Kilimanjaro Marathon ni mbio kama ilivyo mbio ingine. RT bado ni baba wa Mbio zote nchini Tanzania. Bahati mbaya sana viongozi wengi wa RT kwa njaa zao wamekua wakiwatukuza sana wandaaji...
1 Reactions
4 Replies
674 Views
Back
Top Bottom