Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nasema hivi facts hupingwa kwa facts utopwinyo ni watoto wadogo sana level za kimataifa, Simba 1974 kagonga nusu fainali , 1993 kagonga fainali sitaki hata kuzungumzia hizo robo fainali na group...
5 Reactions
41 Replies
3K Views
Kabla hujaibeza SIMBA jiulize Ni timu gani Bongo hii inaweza kucheza mechi Tena ya kimataifa bila wachezaji tegemeo 7 na bado ikahimili mchezo na ikapata matokeo chanya ugenini. Ni Simba pekee...
10 Reactions
17 Replies
1K Views
Simba walisaini mkataba na Vunja Bei wenye thamani ya shilingi bilioni 2 kwa miaka miwili, ikiwa na maana kuwa kila mwaka au kila msimu Simba wanaingiza bilioni moja katika mauzo ya jezi. Sina...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari, TFF msicheze wala kuleta utani juu ya mashabiki wanaoleta vurugu viwanjani kwa namna yeyote ile pale inapothibitika tukio kufanyika. Nimeshangazwa sana na mashabiki wa Simba SC leo...
5 Reactions
78 Replies
4K Views
Huu uzi ni kwa wakongwe tu, wadogo zetu njooni mle maarifa Mimi naanza na Alphonse Modest, endelea na wewe
2 Reactions
38 Replies
3K Views
"Huyu ni mchezaji mzuri sana, niliongea na Rais wa USGN 🇳🇪 akaniambia yupo hapa kwa Mkopo akitokea Denmark 🇩🇰, huyu si mchezaji wa kurudi Denmark anatakiwa kucheza Simba Sc, nitaongea na Rais...
23 Reactions
40 Replies
4K Views
Galatasary star Omar Elabdellaoui made an emotional return to professional football after finally recovering from a traumatic experience. The defender was blinded by fireworks in a freak accident...
1 Reactions
2 Replies
471 Views
Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania, Alphonce Felix Simbu afanya Vizuri baada ya Kukimbia Kwa Muda wake mzuri wa saa Moja na sekunde Tatu (1:00:03), kwenye Mbio za Nusu Marathoni -katika...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Nimecheza michezo ya martial arts shorinji karate kuanzia nipo High school Kibaha sec. Hapa nilikuwa nakutana na vijana wengi walio hatua mbalimbali umahili wa michezo ya karate ila wengi wao ni...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakati TFF inaanzisha ndoa na GSM tuliambiwa na kuonya kuwa hatuhusiki. Lakini baada ya muda tukahusishwa kinyemela. Tunataka sasa kujua hiyo ndoa imevunjika!? Na vipi kuhusu talaka na kugawana...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Baada ya MNYAMA kuwanyuka Asec kwenye Confederation... Cup na kuonekana kuwa ana consistency nzuri kimataifa Kuliko ilivyokuwa imetabiriwa kutokana na fact kwamba ana kikosi kauka nikuvae...
8 Reactions
37 Replies
3K Views
Hawa jamaa mnajua wameshaanza kukata upepo uwanjani. Ni suala la muda tu wataanza kuchezea vichapo, maana sasa hivi TAKUKURU wanafuatilia kwa karibu michezo michafu ya GSM kwa hiyo anapata shida...
11 Reactions
25 Replies
2K Views
Bado muda mfupi kujua wapinzani wa Simba na Yanga katika Hatua ya Robo Fainali na Nusu Fainali ya Azam Federation Cup. Kuna uwezekano pia hata wa wababe hao wa Kariakoo kukutana wao kwa wao. Droo...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wanabodi nawasalimia... Kumekuwa na kumfananisha Clatous Chama na Fei Toto siku za hivi karibuni. Takwimu hizi hapa:
12 Reactions
63 Replies
8K Views
Leo simba ikishinda niitwe mbwa [emoji3]
4 Reactions
40 Replies
3K Views
Wadau habari zenu, Nimekua nikifatilia mijadala hasa inayohusisha waamuzi wa soka na maamuzi yao tata either kuwanyima au kuwapendelea baadhi ya vilabu vya mpira wa miguu hapa Tz nakupelekea...
6 Reactions
22 Replies
3K Views
Senegal imemzawadia kila mchezaji wa timu ya taifa ya kandanda zawadi ya pesa taslimu na mashamba kufuatia ushindi wao katika Kombe la Mataifa ya Afrika. Kila mchezaji wa timu alipokea zaidi ya...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Mkimbiaji wa mbio fupi wa Nigeria, Blessing Okagbare amefungiwa kushiriki mashindano ya riadha kwa miaka 10 kwa kukiuka taratibu za kuzuia matumizi ya dawa za kuongeza nguvu michezoni. Kikosi cha...
1 Reactions
9 Replies
745 Views
Adhabu aliyopewa Shaffih ni kubwa sana lakin ukifuatilia hili sakata utagundua Shafii anakosea sana wewe ni mjumbe wa mkutano mkuu mda uko bize kuniponda TFF kama ni malalamiko angeyapeleka TFF na...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
"Eeh Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema muumba wa mbingu na dunia. Tunakuomba uifanyie wepesi timu ya Simba wawakilishi wa Tz iweze kupata ushindi jioni leo" "Its you our LORD we worship and its you...
14 Reactions
23 Replies
2K Views
Back
Top Bottom