Mchezo umemalizika, Chama anakabidhiwa mpira kwa kufunga hat trick.
Full Time
Zinaongezwa dakika 3 za nyongeza
Dk 90: Simba wanapiga pasi na kuumiliki mchezo.
Dk 87: Mchezo umepungua kasi, Ruvu...
Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imetangaza kumfungia Shaffih Dauda kujihusisha na soka ndani na nje ya Tanzania kwa muda wa miaka mitano.
Dauda ambaye ni Mjumbe wa Mkutano...
Simba Sc, wakiwa na faida ya magoli matatu waliyoyapata mechi ya kwanza, leo wataingia uwanja wa taifa Lusaka kucheza mechi ya marudiano dhidi ya Red Arrows kuwania kuingia hatua ya makundi ya...
Sheria ya NBC Premier League ni kuwa kutatumika wachezaji 8 wa kigeni katika mchezo moja. Ndani ya Simba tunatarajia wachezaji wa kigeni watakaopata nafasi ya kucheza 11st ni
Inonga,
Onyango...
1. Bado Simba SC yetu haichezi Mpira wa Kuvutia na pia watuambie kwanini Kipa mzuri, mzoefu na makini namba Mbili Beno Kakolanya haonekani na badala yake mbadala wake anakuwa Kipa Kinda ambaye...
Wakuu leo kwa mpira ulivyochezwa kiukweli bila onyango na inonga leo simba alikuwa analala mapema sana naweza kusema hawa ndio man of the match wa leo wameupiga mwingi mwisho wa wote ongereni...
1. Wachezaji wa Simba SC kwa sasa 95% ya Akili zao zipo katika Mchezo wa Shirikisho utakaochezwa Jumapili huko nchini Niger dhidi ya FC Gendamarie.
2. Wachezaji wa Ruvu Shooting FC ambao 85% yao...
1. Geita gold
2.Kagera sugar
3.Simba
4.Young Africans sc
5. Pamba fc
6. Coastal union
7.Polisi Tanzania
8.Azam fc
Unatamani timu gani zikutane? Mimi natamani tukutane na watoto wa rose mhando
Salaam wanamichezo,
Ni zaidi ya mechi kumi sasa 'captain fantastic' John Rafael BOCCO amedorora na mpaka kuonesha kiwango kama alichokionesha leo🤝,
Nampongeza sana na kwa niaba ya WanaMsimbazi...
Nimesikia visigizio kwamba Ruvu walikuwa wanaomboleza ndio maana wameshindwa kuhimili vishindo vya Simba aliyejeruhiwa.
Tumtakie Mwedazake pumziko la Amani, ila niwatake Ruvu wakubali tu...
Katika mtandao wake wa Simba App, Simba imetoa taarifa ya BM3 kuomba msamaha kwa makosa ya kunidhamu. Menejiment ya Simba imemsamehe kiungo huyo na ametakiwa kurudi kambini Mo Simba Arena.
Huyu dogo ana kipaji nina hakika hapa Simba Sc anapita tu kama njia. Ukimtazama kwa jicho la karibu utaona mpira mkubwa anaocheza. Mechi ya Asec aliupiga mpira mkubwa sana pamoja na kukosa magori...
Kwa wale ambao hamkupata wasaa wa kusoma andiko la DIGALA lililomfanya afungiwe na TFF nimewawekea hapa ulisome halafu tuone kama kaonewa au ukweli mchungu umewauma "Tifua Tifua"
"Kama Dotto amekuja Manungu lazima na Kulwa nae aje hivyo nawaonya hao Watu ambao wanahangaika Kwingineko na hata Kwetu Mtibwa pia ili Mechi yao na Sisi tarehe 23 February, 2022 ila sasa natangaza...
Asubuhi ya leo nimeamka na taarifa niliyoikuta mitandaoni kuwa Bodi ya Ligi inayosimamia Ligi Kuu kwamba haijamlipa mshambuliaji wa Simba, Chriss Mugalu fedha zake za Tuzo ya Mchezaji Bora wa...
Nimesikia TFF wamemfungia Shafii Dauda kujihusisha na soka ndani na nje ya nchi kwa miaka mitano. Imekuwa ikifungia watu wengi sana. Naomba kujua kama TFF wana monopoly ya soka nchi, yaani kama...
Leo hii tarehe 26/10/2021 mimi Chaliifrancisco nikiwa na akili timamu kabisa natangaza kusimama kufuatilia na kushabikia mpira wa hapa kwetu Tanzania. Kama nitakuja kushabikia tena sijui lakini...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limekemea vikali vitendo vinavyoendelea vya baadhi ya Mashabiki kupiga Mashabiki na Viongozi wa Timu pinzani na kusema imeanza kukusanya ushahidi wa...
Mimi ni Shabiki wa Simba SC ila kwa Upuuzi wenu huu wa Kuchambua Kiuwoga au Kimahaba au kwa Bahasha Kunawaharibia na wenye Akili, tusio Wanafiki na wapenda Haki sasa tutaanza Kuwadharau na hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.