Kabla ya mchezo wa Yanga dhidi ya Biashara United uliopigwa Jumanne Februari 15, 2022 kwenye Uwanja wa Mkapa, kulitokea mvurugani baina ya ofisa wa Biashara United na wale aliowaita makomandoo wa...
Klabu ya Simba leo Jumapili February 13 inashuka kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kucheza na ASEC Mimosas kutoka Ivory coast, kwenye mchezo wa kwanza hatua ya makundi Kombe la Kombe la Shirikisho...
Baada ya kuwa na matokeo mabaya hivi karibuni ikiwemo kufungwa na kupata sare, Manchester United imefanikiwa kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Brighton katika mchezo wa Premier League.
Mchezo...
Hatua ya 16 bora ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) kuendelea kushika kasi leo.
Je, ni timu gani kufuzu kwa hatua ya robo fainali kuungana na Geita Gold na AzamFC? Ni Yanga Vs Biashara united...
Hii sasa ni chuki sio utani wa jadi
Sababu ulikuwa simba ndio unatumia hiyo advantage ili watu waamini?
Simba ilikuwa na team bora na imara sana wacha chuki zako sope
Licha ya kuwa uwanja wa ugenini, Manchester City wameichapa Sporting Lisbon mabao 5-0 na hivyo kujiweka kwenye nafasi kubwa ya kusonga mbele hatua inayofuata ya UEFA Champions League.
Matokeo ya mechi za kwanza hatua ya mtoano, PSG ikianza vizuri nyumbani kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Real Madrid.
Unadhani PSG wana nafasi ya kutoboa katika mchezo wa marudio na vipi kiwango...
MwanaJf hivi unajua kama Emma Mkono aka Nareal na mwenzie Haika wanamiliki Football Academy? Mimi sikujua, mpaka leo nilipokuwa natazama Azam Tv nikaona akihojiwa.
Mbali na kufanya vizuri kimziki...
Wanafainali wa michuano ya Kombe la FA msimu uliopita, Yanga, leo saa moja usiku watakuwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kutafuta nafasi ya kutinga Hatua ya Robo Fainali wakati...
Habari,
Semina ya waamuzi wa NBC Premier League Tanzania Imeanza leo kama ambavyo ilivyoelekeza TFF. Semina hiyo itachukua siku tatu na hapa chini ni baadhi ya picha ya Matukio yanayoendelea...
Hizi ndiyo takwimu za washambuliaji watatu wa Liverpool, Sadio Mane raia wa Senegal, Mohamed Salah wa Misri na Roberto Firmino wa Brazil.
Firmino: 315 games, 94 goals, 66 assists
Mané: 245 games...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohammed Mchengerewa nani kakuambia matatizo ya Waamuzi (Referees ) Tanzania yameanza sasa? Ina maana Wewe ni Mgeni sana katika Soka la Tanzania (Bongo)...
Wasalaam
Klabu yangu kubwa nawashauri tena. Niliwambia ukweli mechi ya Red Arrows ndicho kilichotokea.
1. Katika vilabu vikubwa Afrika mmo top ten lakini utani uwanjani na kuchangamka mwishoni...
Kuna michongo inaendelea kimyakimya, ni kama vile Wabongo hawajui kinachoendelea lakini kiuhalisia wachache nao wanaojua wameona bora wakae kimya.
Inakera lakini tutafanyaje, ndiyo tumeaachia...
Aisee nime muona chama ktk viwanja vya mazoezi Simba jamaa ana furaha sanaa, full kucheka, jamaa ana tabasamu, nimeamin kweli mwamba wa lusaka kule Morocco hakuwa na Furaha
Wapo wachezaji wanaozeeka na mpira wao mguuni, kwa mfano Zidane. Lakini wapo ambao mpira hupotea kulingana na umri . .
Kagere enzi zake alikuwa mtu hatari sana , anakufunga katika impossible...
Dogo ana bahati ya kupata teams nzuri ila mwisho wake huwa mbaya sijui kwa nini? anyway hivi salamba ana miaka 22 kumbe akiwa simba alikuwa na miaka 18?
Kwa ufupi sana
Toka enzi za Plateu na way back tumeshuhudia mashabiki na uongozi wa Yanga Utopolo ukishiriki kupokea wageni wapinzani wa Simba Sc.
Ajabu safari hii hatuwaoni Airport vepee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.