Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)
0 Reactions
0 Replies
610 Views
Habari Tanzania na Kote Duniani..! Kuelekea siku ya Jumapili February 13, 2022 hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Barani Afrika CAFCC kupigwa kwenye dimba la Benjamin Mkapa (Mkapa Stadium)...
12 Reactions
244 Replies
13K Views
Mpira wa miguu una wadau wengi sana duniani, Africa na Tanzania. Ukifanya kosa kwenye mpira kama mchezaji kukosa nafasi ya wazi ya kufunga, mchezaji kumuumiza mchezaji, timu kufungwa au waamuzi...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Huwa sipendi kumzungumzia sana humu kwa sababu hana hadhi ya kujadiliwa na mimi,lakini kwenye hili siwezi kukaa kimya. Naishauri TFF ichukue hatua kali dhidi ya huyu Chawa. Ana sifa zote za...
9 Reactions
40 Replies
4K Views
Jamaa ana elimu kubwa na pia ameitumikia klabu yetu kwa muda mrefu na kwa mafanikio makubwa. mimi naona anafaa kuwa Rais wa timu yetu ukizingatia umri wake bado ni kijana
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Simba Sports Club Wawakilishi Pekee Katika Michuano ya Kimataifa Jioni Ya Leo Wapo Kazini Kutetea Bendera Ya Taifa...Bendera Ya Nchi ya Tanzania.Kama ilivyo desturi kwa Watanzania inapotokea Jambo...
5 Reactions
29 Replies
1K Views
Chelsea imefanikiwa kubeba ubingwa wa Klabu Bingwa Dunia baada ya kuifunga Palmeiras kwa mabao 2-1 katika fainali iliyochezwa Abu Dhabi, leo Jumamosi. Mabao ya Romelu Lukaku na Kai Havertz...
12 Reactions
10 Replies
1K Views
Kuna Vitu vya Kipumbavu mno vinafanyika Simba SC na naomba leo Simba SC tufungwe au tutoke tu Sare na Police Tanzania ili Hasira zangu za Kufungwa 'Kimipango' na Jwaneng Galaxy nizijumuishe na za...
5 Reactions
39 Replies
4K Views
Mo kusema Simba inajiendesha kwa hasara makanjanja ya media na wapuuzi wako naye bize kwelikweli, ila injinia wenu aliposema hivyo last year mkakausha kimya. Mo Dewji hii dhambi aliyoifanya kuipa...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Bado siamini nilichokiona.Yaani mchezaji mkubwa km Ali Sonzo,mchezaji ambaye amepata kucheza timu ya Taifa na Club kubwa km Yanga maiti yake kubebwa kwenye Kirikuu km kitanda cha msela anaehama...
26 Reactions
50 Replies
4K Views
Naomba nipate ufafanuzi.Iwapo Simba inapata hasara kwa uwekezaji wa Bilioni 20 +25 tunazoambiwa,je huyu Azam media angepata faida gani kuwekeza bilioni 48 kwa Simba? Je, Simba ikiamua kutangaza...
9 Reactions
64 Replies
4K Views
Kesho asubuhi. Israel adesanya vs Robert Whittaker. Mtanange wa kufa mtu. Live from Australia. Team Adesanya tujuane mapema
1 Reactions
2 Replies
826 Views
Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ni Msemaji (Mzungumzaji) mzuri, ametulia, hana papara, anajua nini cha Kuongea na wakati gani, ana PR nzuri, Mtanashati kuanzia katika Mavazi, Akili na Mvuto hivyo...
15 Reactions
38 Replies
2K Views
Refa aliyeinyima bao Yanga aondolewa kwenye Ligi Kuu
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Ni jambo ambalo lipo wazi ,tumeona majibu kombe la mapinduzi kelele kibao ila ni timu ya kawaida pamoja na kuwapamba wachezaji wao, muda unavyoenda Simba inaimarika na Yanga inadhoofika. Kwanza...
11 Reactions
41 Replies
3K Views
Mashindano ya Jumuiya ya Madola yanatarajiwa Kufanyika Birmingham,Uingereza na Mashindano ya Dunia Kufanyika Oregon, Marekani Mapema Julai Mwaka Huu. Hivyo, Baraza la Michezo Tanzania (BMT)...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mashabiki waiponza Yanga, yapigwa faini, Dickson Job AFUNGIWA MECHI TATU, refa wa Simba naye ametumbuliwa
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Hivi Dickson Job alifanya kosa gani kubwa mpaka afungiwe mechi 3 na faini juu?
2 Reactions
40 Replies
2K Views
Caroline Nassoro Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi imepangwa kufanyika mjini Beijing, China, mwezi Februari, na maandalizi yote kwa ajili ya michezo hiyo yamekamilika. Lakini baadhi ya...
1 Reactions
5 Replies
629 Views
Beki wa KMC, Ally Sonso amefariki dunia leo katika Hospitali ya Muhimbili alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na jeraha la mguu. Marehemu enzi za uhai wake aliwahi kuchezea timu za Yanga, Lipuli...
7 Reactions
84 Replies
11K Views
Back
Top Bottom