Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Na msisahau hata Boss wao Mkuu kwa upande wa Tanzania ni Mheshimiwa Mbunge wa Kinondoni na mwana Yanga SC lia lia Tarimba Abbas Tarimba lakini bado waliweza Kuzungumza na Simba SC na Wakafanikiwa...
9 Reactions
22 Replies
2K Views
HONGERA SIMBU. TAIFA TUJITAFAKARI UPYA KWENYE RIADHA Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi. Leo nina furaha kiasi na huzuni pia. Ninaandika kwa furaha baada ya kijana wetu Alphonce Simbu...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Ni baada tu ya CAS kutoa hukumu ya Kesi ya Mwamba mwenye akili kuwazidi Kile kikundi chote, ndipo waliamua kutangaza kuwa wadhamini wenza wa NBC premier league, ukweli ni kwamba walitaka...
1 Reactions
4 Replies
752 Views
Kwa mapenzi makubwa kwa mashabiki wa timu hii kubwa zaidi nchini, Rais wa heshima, @moodewji amepunguza kiingilio cha eneo la Mzunguko kutoka Tsh. 5,000 hadi Tsh. 3,000. Nunua sasa tiketi yako...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Soka la Kiafrika ni la aina yake kabisa. Soka la Kiafrika lina utamaduni wake na mambo yake tofauti na soka la mataifa ya Ulaya. Ukifuatilia sana masuala ya ndani kwenye soka la Kiafrika unaweza...
16 Reactions
127 Replies
10K Views
Kampuni ya GSM imetangaza kujiondoa katika udhamini mwenza wa Ligi Kuu Tanzania Bara, hiyo siyo habari mpya kwa sasa, lakini kilichopo nyuma ya pazia na sababu kubwa ni wapinzani wao wa jadi Simba...
5 Reactions
57 Replies
6K Views
Tangu mkataba usainiwe Kati ya GSM na TFF na kushirikisha vilabu 15 ,vilabu havijapata mgawo ndani ya miezi yote mitatu . Tulisema mkataba wa GSM ni wa kihuni na hawana huo ubavu kudhamini ligi ...
11 Reactions
128 Replies
7K Views
Kinachoendelea ni kwamba kuna genge linaloongozwa, au kama si kuratibiwa na (Mdau mmoja wa michezo mkubwa kutoka radio iliyoko Maeneo ya DARAJANI Barabara ya KAWE). Kwa kutumia watu wanaopatikana...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Ligi kuu yetu imetawaliwa au niseme inaathiriwa na usimba na uyanga, na baada ya GSM kujitoa, mdhamini yoyote ataefuata hataaminiwa na atatuhusishwa na Simba na mgogoro utaanzia hapo (kukomoana)...
8 Reactions
43 Replies
3K Views
Watu wameanza, oh kuondoka kwa GSM ni jambo baya wadhamini wataogopa kujitokeza[emoji3] Sikilizeni, hakuna mdhamini atakaye ingia mkataba halali na ligi yetu ambaye atasumbuliwa, ila ukiingia...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakati wapenzi wa soka tukihema kwa kuzani tumepata nafuu,mala ghafla ndoto inazimika na kubaki hiatoria. Tuna mengi ya kujifunza hapa kuliko kubaki tumehamaki tu,na tunabaki na maswali na kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amefunguka mambo kadhaa kuhusu udhamini uliositishwa. Ni kuhusu GSM kutangaza kuvunja mkataba wa kuwa mdhamini mwenzake wa Ligi Kuu...
21 Reactions
51 Replies
4K Views
Tuliposema hapo awali ya kwamba udhamini wao haukuja kusaidia klabu zote kuendeleza mpira Tanzania ila walilenga kuweka logo yao kwenye Brand ya Simba SC baadhi walipinga vilivyo. Ukisoma sababu...
17 Reactions
44 Replies
4K Views
Andiko la Ali Kamwe 1. Mechi zote za nyumbani zinazoihusisha Simba zimekuwa zikichezwa bila ya nembo ya GSM kwenye mbao za matangazo hii ni kunyume na kifungu namba 4.1 na 4.8 cha makubaliano ya...
10 Reactions
76 Replies
6K Views
Home shoping center,silent ocean ,GSM ni wahuni waliivamia mpira ,famikia yao wanazi wa simba ila wanafadhili yanga kimaslahi tu Baada ya uhuni uliofeli na kuepuka aibu wiki hii ,wakawatuma rafiki...
11 Reactions
33 Replies
2K Views
Amini usiamini hawa jamaa wanadai ni kampuni iliyoko serious na ilikuwa inataka kufanya kazi na simba ili biashara yao itangazwe..anyway sishangai sana maana wao hata kuikongoroa logo ya NBC...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Nimependa nilipoona TFF imetoa ONYO juu ya Upuuzi huu wa Wasemaji na Wazee wa Yanga SC ila nashangaa na nasikitika mpaka leo Wizara husika ya Utamaduni, Sanaa na Michezo na BMT wakiwa Kimya kitu...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Mshambuliaji wa Simba, Bernard Morrison ameomba radhi kwa wachezaji wenzake, benchi la ufundi pamoja na kwa uongozi wa klabu yake kwa utovu wa nidhamu aliouonyesha. Imeelezwa kuwa Morrison ambaye...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Kazi kwenu Tff piga faini malopolopo hayo ya utopwinyo
4 Reactions
12 Replies
749 Views
Sadio Mane ametimiza ndoto yake ya kihistoria ya kuisaidia timu yake ya taifa Senegal kushinda kwa mara ya kwanza taji la AFCON. Mane ambaye ni staa wa Liverpool ana utofauti na mastaa wengi...
11 Reactions
12 Replies
3K Views
Back
Top Bottom