"Ni goli halali kabisa na ifike wakati sasa Watu wajitahidi sana Kusoma Sheria na Kanuni mpya za FIFA ili likitokea Jambo wawe wanaweza Kulitafsiri Kitaaluma na siyo Kishabiki.
Meddie Kagere...
Kwangu nadhani ili Tanzania tuweze kupiga hatua, VAR ni kitu cha baadaye sana. Kwanza inabidi tuwekeze kwenye kuendeleza kiwanda chetu cha michezo kabla ya masuala mengine ambayo yanaweza...
Ziko timu ambazo zitashuka daraja kwa kupokwa ushindi na waamuzi dhidi ya timu kubwa nchini.
Round ya pili hata kama hakutakuwa na VAR lakini iwepo TV inayoweza kutumika watu kuangalia slow...
MKUTANO ULIFANYWA NA MWENYEKITI, WA young africans sports club.
kupitishwa kwa ajenda kulitolewa na Mwenyekiti, WA YOUNG africans sports club.
Wanachama walikubaliana kuipitisha Ajenda...
Mmiliki wa Kampuni za GSM, Ghalib Said Mohamed ametangaza kujiuzulu nafasi ya kuwa Mwenyekiti na Mjumbe wa Kamati ya Ushindi ya Taifa Stars.
Hayo yamesemwa na Afisa Biashara Mkuu wa GSM, Alan...
VAR ije Tanzania ili iweje?
Matukio tata kwenye ligi yetu yanatokea ni kwasababu tu MAREFA hawajui kutafasiri Sheria za mpira unakuta refa hajui kuwa mkono hauhusiki kwenye offside.
Mimi labda...
Pamoja na kuwepo timu bora kama Egypt, Morocco, Tunisia na Algeria lakini naamini wana wa Senegal watabeba kombe la Afcon 2022
Kameroun ataondolewa robo fainali
Wewe utabiri wako ni yupi atabeba?
MKITAKA UBINGWA FANYENI HIVI.
Nimesikia mazungumzo kibao kuhusu Matarajio ya Simba SC kutwaa ndoo msimu huu. Cha kushangaza zaidi hakuna anaye fahamu nini kifanyike ili muwe tishio katika mbio za...
FISTON MAYELE - Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC mwezi Januari, 2022
FRANCIS BARAZA - Kocha Bora wa Ligi Kuu ya NBC mwezi Januari, 2022.
JOHN NZWALLA - Meneja Bora wa Uwanja kwa mwezi Januari...
Pamoja na wachambuzi wenu kuwatetea utopolo kuwa eti wameonewa na waamuzi, wakisahau makosa yale yale waamuzi wanayafanya kwa timu nyingine, ukweli ni kwamba Yanga wameanza kuchoka. Na kama ilivyo...
Itakuwa kazi bure kuwekeza sana kwenye timu za ligi luu bila kuangalia pia eneo la waamuzi ubora wa ligi.
Maamuzi mabaya viwanjani yanatia karaha watizamaji wa mpira. Kuna watu wasiopenda karaha...
Mara baada ya Simba kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mbeya Kwanza, bao ambao lilizua utata kutokana na baadhi kuamini kabla ya tukio hilo kulitokea Meddie Kagere kuwa offside kisha Clatous Chama...
Rais wa Senegal Macky Sall, ametangaza leo Jumatatu Februari 7, 2022 kuwa ni siku ya mapumziko maalum nchini kwake kwa ajili ya kusherehekea ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika #AFCON2021...
#TeamSenegal imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) baada ya kuifunga #TeamMisri kwa penati 4-2 katika mchezo wa fainali ulichezwa kwenye Uwanja wa Olembe jijini Yaounde...
Imekua kawaida sasa simba hii ya sasa yaani msimu huu kuwa na wakati mgumu kuliko pengine wakati wowote ndani ya miaka mitatu iliyopita.
Simba sasa imekua inashindwa kutengeneza chance za...
Timu ndiyo zinaingia uwanjani, muda wowote mchezo huu wa Ligi Kuu Bara utaanza hapa kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam.
KIPINDI CHA KWANZA
Mchezo umeanza.
Dk 1: Mwamuzi anapuliza kipenga cha...
Hivi unawezaje kuvumilia odds zinapopanda ghafla bila ya ku-cashout?
Binafsi nawapongeza sana jamaa wanaoweza kuvumilia odds zinapopanda kufika mpaka 10 with in a second bila ya kucashout...
Hakika huu wimbo kwa Sasa hauishi utamu NIBEBE NIBEBEE
Si viwanja vya mpira Wala makanisani
Ngoma in vibe sana hi
Asante Rose na ndoto yako ya kuolewa na mzungu itimie
Kikubwa ushindi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.